Top Tweets for #OneIn10Million
Proud of the young people driving real change in our communities.
Impact is action. Be the change you want to see.
Well done, @justgreentz 💚
#Onein10million #MoCares
Jana tuliwapokea washindi wa #OneIn10Million ofisini na kupata fursa ya kusikia moja kwa moja kazi kubwa wanayofanya kwenye jamii zetu.
Inatia moyo kuona watu wanaoleta mabadiliko pale yanapohitajika zaidi.
Tuendelee kujenga, kusaidia, na kuinua wengine 🙏🏽
Yesterday, we welcomed the #OneIn10Million winners and had the opportunity to hear firsthand the incredible work they are doing across our communities.
Proud to support those who are creating change where it matters most.
Let’s keep building, giving, and uplifting 🙏🏽
#MoCares

Congratulations to the winners of the #OneIn10Million campaign.
Let’s continue supporting our communities, serving others with intention, and creating meaningful impact in the lives of many.

Maisha ni ya kupita, lakini athari ya kuwahudumia na kuwainua wengine ndiyo hudumu.
Tuendelee kujenga kwa kusudi, kuimarisha jamii zetu, na kuacha urithi wa mema utakaodumu milele.
#OneIn10Million #Jamii #MoDewjiFoundation
Life is temporary, but the impact we create through service lives on.
Let’s continue building with purpose, strengthening our communities, and leaving a legacy that goes beyond us.
#OneIn10Million #CommunityImpact #MoDewjiFoundation
Giving is a blessing.
“The example of those who spend their wealth in the way of Allah is like a seed that grows seven ears; in every ear is a hundred grains. And Allah multiplies for whom He wills.”
— Qur’an 2:261
Grateful to everyone who took part in the #OneIn10Million Community Giving campaign. Let us continue to lead with compassion, strengthen our unity, and invest our energy into uplifting our communities.
Winners will be announced soon, Insha’Allah 🤍
#jummahkareem
Kutoa ni thawabu.
“Mfano wa wanaotoa mali zao katika njia ya Mwenyezi Mungu ni kama chembe iliyochipua masuke saba…”
— Qur’an 2:261
Asante kwa wote mliochangia kwenye kampeni ya #OneIn10Million Community Giving. Tuendelee kuwa na moyo wa kujali, kuimarisha umoja, na kuweka nguvu katika jamii zetu.
Washindi watatangazwa hivi karibuni, Insha’Allah 🤍
#jummahmubarak

Shukrani kwa followers milioni 10 katika majukwaa yote.
Kusherehekea hatua hii, kupitia kampeni ya #OneIn10Million nimeamua kuchagua na kusaidia jamii 10 halisi ndani ya Dar es Salaam.
Natafuta shule, vituo vya afya au watoto yatima, vikundi vya vijana au wanawake, NGO za kijamii, au miradi ya jamii inayowanufaisha watu wengi — si maombi binafsi wala biashara. Mahitaji yanapaswa kuwa ya vitendo na yanayoweza kutekelezwa kwa haraka, kama elimu, maji, afya ya msingi au vifaa vya vijana; si ujenzi mkubwa wala ufadhili wa muda mrefu.
Jinsi ya kushiriki:
• Follow kurasa zangu zote
• Share post hii
• Comment ukitag jamii na kueleza hitaji lao kwa ufupi
Jamii zitachaguliwa kulingana na athari (impact), uhitaji wa haraka, uhalisia, na uwezekano wa kutekelezwa. Kampeni itaendelea kwa siku 3 hadi Ijumaa tarehe 20, kabla ya kutangaza jamii 10 zitakazopata msaada.
Milioni 10 imejengwa na watu, tuendelee kujenga na kuinua jamii zetu kwa pamoja. 🙏🏽
#OneIn10Million #MoCares

We adore @dore_suzie, not just for al that She does, but for all that She is.
#beauty #power #perfection #Onein10million #bestfootGoddessever

Want to be part of a worldwide sisterhood? CGI are looking for new members join up now and be #OneIn10Million members, make friends, learn new skills & enjoy the great outdoors! Contact your local unit or email [email protected] https://t.co/1mEZZUSird #GirlsLeadingTheWay




Last Seen Hashtags on Sotwe
momson()*** filter:videos
Seen from Turkey
adigang
Seen from United Kingdom
zombies5cast
Seen from United States
soles() +filter:videos
Seen from United States
cholitas
Seen from Argentina
teenager
Seen from Indonesia
奶子
Seen from Thailand
iespablopicasso
Seen from United States
interfaithxxx
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers





















