Top Tweets for #PlusXtraUpdates
Yanga yapata ushindi wa goli moja dakika za mwisho dhidi ya Dodoma Jiji, Chamazi Complex
FT: YANGA 1⃣ - 0⃣ DODOMA JIJI
#PlusXtraUpdates

Yanga na Kagera Sugar wagawana pointi baada ya kusuluhu katika uwanja wa Kaitaba.
FT: Yanga 0⃣ - 0⃣ Kagera Sugar
#PlusXtraUpdates

Azam Sports Federation Cup 'ASFC'
FT: Simba SC 4⃣ - 0⃣ Tembo fc
#PlusXtraUpdates

Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Halaand (23) raia wa Norway rasmi amerejea mazoezini baada ya kuwa nje ya uwanja kwa majuma kadhaa kutoka na majeraha.
Kocha Pep Guardiola amethibitisha kuwa ataanza kumtumia mshambuliaji huyo kwenye mchezo ujao.
#PlusXtraUpdates

Nyota huyu raia wa Switzerland (35) aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Sevilla kwa sasa ameamua kuachana na waajiri wake hao na kujiunga na klabu ya Al Shabab iliyopo nchini Saudi Arabia kwa muda wa mwaka mmoja mpaka Juni, 2025.
#PlusXtraUpdates

Hassan Mwakinyo ndiye bondia bora kuwahi kutokea nchini?
#PlusXtraUpdates

"Hongera Taifa Stars, mmeonyesha ukuaji na uvumilivu. Ghana katoka, Algeria katoka. Sisi ni nani?" - Zitto Kabwe
#PlusXtraUpdates

Klabu ya As Roma imeachana na aliyekuwa mkufunzi wakez Jose Mourinho raia wa Ureno kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo wa klabu hiyo.
#PlusXtraUpdates

Umegundua nini kupitia picha hii?
#PlusXtraUpdates

Wananchi wa Jamhuri ya Kenya ambao timu yao ya Taifa haijafuzu michuano dume ya AFCON mwaka huu, wataweza kupata darasa la namna ya kucheza michuano hiyo mubashara kupitia Tanzania na mataifa mengine makubwa yaliyofuzu LIVE kupitia television yao ya Taifa ya KBC
#PlusXtraUpdates

Wakenya kutazama Tanzania ikihangaika huko AFCON kupitia KBC bila malipo
https://t.co/OZ8rwPDMWv

Unadhani hakustahili kuwepo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania cha AFCON?
#PlusXtraUpdates

Hali ikoje huko Zanzibar?
#PlusXtraUpdates

Nyota wa Nyasa Big Bullets ya Malawi, Yamikani Fodya ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa.
Nyota huyo ambaye ni kipenzi cha mashabiki wengi wa soka nchini Malawi amestaafu akiwa na umri mdogo wa miaka 32 tu.
#PlusXtraUpdates

Umewaagiza nini?
#PlusXtraUpdates

Tusaidieni matokeo ya Mapinduzi Cup huko Amaan Complex kwa wanaofahamu.
#PlusXtraUpdates

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Ia Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa katika kuijenga nchi hiyo kisasa wapo mbioni kuboresha usafiri wa umma kwa kuwa na mabasi ya umeme, treni pamoja na Taxi za baharini.
#PlusXtraUpdates

Viashiria vya upimaji wa utendaji kazi wa walimu kuanzia Januari hadi Desemba 2023 vimeonyesha kuna ongezeko la wanafunzi wa darasa la kwanza wanaomudu stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kutoka asilimia 35 hadi 94.4.
#PlusXtraUpdates

Nani amepiga free-kick nzuri zaidi.
#PlusXtraUpdates

Mshambuliaji mpya kinda wa FC Barcelona, Vitor Roque ni rasmi sasa atavaa jezi namba 19 ndani ya klabu hiyo kuanzia hivi sasa baada ya kukamilisha rasmi dili ya kujiunga na wababe hao wa Catalunya akitokea Athletico PR ya nchini Brazil.
#PlusXtraUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
pawg
フィギュア ぶっかけ
Seen from Germany
istanbultraveſti
Seen from Turkey
anxiouspanda #brosis video()
Seen from Turkey
คลิปหลุดวัยรุ่น
Seen from Thailand
minichat
Seen from United States
ensesttürbanlı
Seen from Turkey
colombiagay
Seen from Colombia
nolimit
Seen from United States
强制高潮
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


