Top Tweets for #PrayForHanang
Haya majanga ya Landslide yanazidi kuongezeka,,, ni vema zaidi wananchi mlio katika maeneo hayo kuchukua tahadhari zaidi ,,, isije kutokea kama ya Hanang ,,kudharau tope kuwa kila mwaka linatokea ,,lkn baada ya muda kidgo #PrayforHanang
Mbeyaa. 🥲
Hii hashtag umeitumia hapo sio nzuri kwa banter,kwasababu ilitumika kwenye kipindi Morocco wapo kwenye maafa, same na wao uone right now waandike #PrayforHanang will it sound nice to you🤔. Banters zipo nyingi lakini usicheze na hisia za vifo na maafa kwa wengine.
Kama una imani na matumaini hata 1% RT. #PrayForMorocco

Mama Samia S. Hassan Leo amewatembelea Watanzania walioathirika na maporomoko ya udongo yaliotokea Hanang, Manyara.
Hakika Tanzania Ina mlezi Bora!
#PrayForHanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,“Comforter-in-Chief” Mhe. Dkt.@SuluhuSamia amewasili Arusha kulekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa. #prayforhanang #floods #tanzania #kaziiendelee
📸@ikulumawasliano

@MwanaFA @ReganTesha_ Wakati bado una akili kichwani😂
Rice Luton #أبوعبيدة #motorin #SuhanaKhan #Gaza #TheArchies #ไบร์ทวิน #r4today #Gaza_Genocide #Gaza_Genocide #TECNOAFCON2023 #BlueJays #PrayForHanang #PrayForTanzania Hanang Lakers

Tunatoa salamu zetu za Pole kwa wananchi wote na Familia zilizopoteza wapendwa wao katika mafuriko Hanang Mkoani Manyara.
....
#afyaradio #PrayForHanang

Safe Haven Foundation Sends Thoughts of Resilience, Hope and Solidarity to Everyone in Hanang. May Those Impacted by The Flood Find Comfort in The Midst of This Hardship.
#PrayForHanang #SafeHaven #Zanzibar #Tanzania

Tuendelee kuwakumbu ndugu zetu hawa katika maombi, Mungu awape Faraja waliopoteza ndugu zao, pia waliojeruhiwa wapate uponyaji wa Haraka.
#prayforhanang
Klabu kubwa hufanya mambo makubwa. Hongera sana Rais wetu na Klabu...🔥🟢🟡 #PrayForHanang
Rais wa Young Africans SC na mwenyekiti wa vilabu vya soka barani afrika ( ACA ) Mhandisi Hersi said @Caamil8 leo ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha Katesh wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na kutoa pole kwa waathirika wote wa mafuriko hayo.
Akiunga mkono wito wa Mh. Rais @SuluhuSamia na kwa kushirikiana na @GSMFoundationTz klabu yetu ilichangia vitu vyenye thamani ya Tshs. 40,000,000 pamoja na fedha taslim Tshs. 10,000,000 kupitia Akaunti ya Mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa.
Msaada huo ulipokewa na Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) akiambata na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. @queen_sendiga pamoja na viongozi mbalimbali walioko hapa Katesh kusaidia zoezi zina la uokozi.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko


@nyabuya_p Vita inapiganwa Gaza… siyo Israeli yote.. Je, kuna watu wa Israeli au West Bank wametembea na hashtag ya #PrayForHanang or #PrayForTanzania?
Je, umefanikiwa popote pale kuona #PrayForHanang #PrayForTanzania kutoka Israel or Palestine kama ambavyo sisi tulipambania hashtag za #PrayForPalestine au #PrayForGaza or #PrayForIsrael? Unajua kwanini hazipo? Tafakari. Chukua hatua.
PLEASE REPOST 🙏
PRICE 230 M
Range Rover Vellar 2018 ✅
Full option with R Daynamic Option
Diesel engine 2.0
imported from United Kingdom 🇬🇧
Also exchange allowed
Location Sinza ✅
CALL 0693111003
#PRAYFORHANANG 🙏

Last Seen Hashtags on Sotwe
รับงานสวรรคโลก
Seen from Thailand
aslibekirogluifsa
Seen from Turkey
jeans ass sex
Seen from Oman
minichat() filter:videos min_likes:5000
Seen from Switzerland
sexylapdance
Seen from Pakistan
sexytoys
Seen from United States
nsfw
Seen from Netherlands
sloppy bbw
Seen from United Kingdom
anxiouspanda
Seen from United States
lesbiantonguekissing tongue
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


































