Top Tweets for #RadioNumbeOne
Kamau the violinist- plays a violin to honour the late Raila Odinga. The song Raila Lovedπ
Listen to the end
@mzaziwillytuva
#MamboMseto
#RadioNumbeOne
Happy Tuesday! Unapokea baraka za asubuhi ukiwa wapi?
Tegea #Pambazuka na Senje @JeridahAndayi
#RadioNumbeOne

@RadioCitizenFM @MwambodzeMkalla @mwanahamisi254 @DavidAsimba @KNdhundhi Senator Alfred ooga nyamira Loaded locked in #RahaKaraha #RadioNumbeOne
Mibibi na Mijizee ni ile mida ya kujiunga naye Kamau Munyua kwenye makala ya #GoodEveningKenya 8pm-12am Jared Nyambega Ekwinini
Leta Porojo zako twende kazi #GoodEveningKenya #RadioNumbeOne

Gumzo Mtaani: Kalonzo Musyoka arudi Azimio ama aendeleze azma yake ya kuwania urais?
#JamboKenya
#RadioNumbeOne
Ni wakati wa kuwadrive home ndani ya #DriveOnReloaded kwa hivyo kama position twende nalo hadi tamati mwa kipindi @OgalTina @abdimunai @nyambega_jared Unaingia ndani ya show ukiwa wapi? #DriveOnReloaded #RadioNumbeOne

Wikendi yako ilikuwaje? ikiwa ni Jumatatu nyingine njema karibu kwenye mpango wa #DriveOnReladed naye @OgalTina @abdimunai @nyambega_jared Unatupa ukiwa wapi? #DriveOnReloaded #RadioNumbeOne

Ni jioni nyingine maridadi na ni matumaini yetu kwamba siku yako imekuendea vyema na popote ulipo karibu kwenye #DriveOnReloaded naye @abdimunai @tinaaogal @jarednyambega #DriveOnReloaded #RadioNumbeOne

@kukyofficial___ Kuna umuhimu wa kuwawezesha wasani chipikizi @mzaziwillytuva @sellyamutabi @djflashkenya @nyambega_jared #MamboMseto #RadioNumbeOne
#MamboMseto tumewasha moto awamu ni ya pili na pia mgeni @brucemelodie ashafika mjengoni kwa hiyo kaa mkao wa kula its big and better in here @mzaziwillytuva @sellyamutabi @djflashkenya @jarednyambega #MamboMseto #RadioNumbeOne

Usiku wa leo kwenye kitengo cha Alamsiki tunazungumza naye Hon Jeremiah Kioni na kumtakia usiku mweme, una swali lolote kwake? Jk Kamau Munyua @nyambega_jared #GoodEveningKenya #RadioNumbeOne

"Nionje Unitafute" Mary anaeleza alivyoanza kuuza madawa ya kulevya hapa jijini Nairobi @abdimunai @OgalTina @nyambega_jared #DriveOnReloaded #RadioNumbeOne
Leo tunapiga story na wanabodaboda na watafungukuka kuhusu masaibu ambayo wanapitia @mzaziwillytuva @sellyamutabi @djflashkenya @nyambega_jared #MsetoTBT #RadioNumbeOne
#MsetoTbT inaingia awamu ya pili kwa kishindo awamu ambayo unapokea madude hatari kutoka kwa kikosi hatari @mzaziwillytuva @sellyamutabi @djflashkenya @jarednyambega Itisha request yako ya TBT na tutakudondoshea #MsetoTBT #RadioNumbeOne

Ni awamu ya #DriveaOnReloaded na popote ulipo ni wakati wa kuingia ndani ya show mzima mzima tukupeleke nyumbani taratibu baada ya pilka pilka za mchana kutwa @OgalTina @abdimunai @nyambega_jared #DriveOnReloaded #RadioNumbeOne

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.3M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.7M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.3M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60M followers



