Top Tweets for #RamaMo
Madrid Na wao Kama Man U Tu Kelele Kibao
#RamaMo
Hii Timu Ukikutana Nayo PVP Unaifunga Vizuri Sana Tena Magoli Kama Yote Pass Nyingi.
Ila Usiombe Hivi Hivi Kama Ilivyo Ukutane Nayo AI.
Hakuna rangi Huto acha Kuiona ๐๐๐ฟ.
#RamaMo

Mabishano Ya Ligi Ya Zanzibar Na EPL Bado Upo
#RamaMo
๐๐ Heri ya Siku ya Wapenzi (Girlfriend Day) kwa mpenzi wetu mwaminifu Chelsea! ๐๐
Tunakuombea uendelee kuwa mwaminifu kwetu na kuendelea kutuletea furaha kwa kutupatia pointi 3 kila mara. ๐โฝ
๐โจ Happy Girlfriend Day, Chelsea! ๐
#RamaMo

Fifa boy
#RamaMo
#TajiriLaKihaya
Hapa MESSI Hakupata hata YELLOW CARD ๐
๐คฃ๐๐๐ฝ๐๐พ

Basi Tu Waafrika Hatuna Umoja Ila hapo Ilibidi Iwe kama Mechi Ya Senegal Tu Wote Turudi Home Na Timu Zetu
#RamaMo
Nimewaza hivi kazuiwa U.S.A kutokana na Sheria zao lakini WC si inafanyika kwenye nchi tatu na marefa wametawanywa sehem 3(Mexico, Canada, U.S.A) kwann wasibadilishane na refa mmoja wao ambao taifa lao lina ruhusiwa kuingia U.S.A Haiwezekani ??๐ค

Joa Pedro Mwezi Wa Sita Akijianda Kumuangalia Gabriel Martinelli World Cup ๐.
#RamaMo

Kuchati Na Mwanamke Wa Kitanzania Ni kama Interview Tu, Usipo Muuliza Maswali Hana Kitu Cha Kukwambia.
#RamaMo
Hawajui Kukaba Wanafunga Magoli Kibao Kama Lede ๐
#RamaMo

Puma Endeleni Kutoa Uzi Ivyo Ivyo ๐
Tuta watetea Mahakamani
#RamaMo

Jamaa Lina Akili Ya Biashara Ya Mziki Sana.
#RamaMo

Ukweli Mchungu.
#RamaMo

Kuna Timu Haina Mchezaji Hata Mmoja Hapa.
#RamaMo

Real Madrid WanaMvutia kasi Tu Huyu,
Akiendelea Hivi Misimu Miwili Tu Anaenda Kuchukua Nafasi Ya Octopus ๐ Madrid.
#RamaMo

โRest in Peace, Legendโ ๐
#RamaMo

Msije Kusema Sija Waambia
#RamaMo

Tumefungwa Mechi 3 Tu Kati Ya mechi 50 โก๐ฅ
Halafu Bado Kuna Wanaosema Tutafungwa Mechi 4 Kati Ya 7 Zijazo Baki ๐
๐คฆโโ๏ธ
Hiyo Ni Hesabu Ya Wapi Sasa ๐๐๐ช
#RamaMo

Manara yuko sahihi kabisa ๐ฏ๐ฅ
Mashabiki kuuwalipia wachezaji faini zao ni uzembe na kuwapa ujasiri wa kurudia makosa yale yale kila siku. Hiyo si nidhamu
Adhabu ikitoka kwenye mishahara yao binafsi ndiyo wanaelewa thamani y na heshima ya kazi yao Na pesa.
#RamaMo
๐จ๐๐๐๐๐๐
Haji Manara, amekashifu vikali kampeni ya kuchangisha fedha mitandaoni kwa ajili ya kulipa faini ya Shilingi Milioni 4 ya mlinda mlango wa Young Africans, Djigui Diarra.
Manara ameeleza kuwa kitendo cha kuanzisha michango ya "mtaani" kwa mchezaji wa hadhi ya Diarra ni kuishushia heshima klabu ya Yanga, ambayo ameiita kuwa ni taasisi kubwa yenye mifumo rasmi ya uongozi na utawala bora.
Pia Amehoji uhalali wa watu binafsi kuingilia majukumu ya klabu na kuwataka viongozi kukemea kile alichokiita "ubabaishaji" unaoweza kuharibu taswira ya klabu hiyo barani Afrika.
#MeaMswahiliUPDATES

Take ana Funga Tu.
#RamaMo

Last Seen Hashtags on Sotwe
zoophilia()+filter:native_video
Seen from Turkey
blowjob
Seen from Brazil
ุฏููุช_ุจุฏูู
Seen from Australia
goonbait
Seen from Australia
ๆฏ็
Seen from Germany
minichat()()()()************* +filter:native_video
Seen from United States
trapito
Seen from United States
barebreasts
Seen from Turkey
ๆดๅ้
Seen from Brazil
estudante
Seen from Brazil
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers







