Top Tweets for #SHANBreaking
Wakati huo huo, Mohsen Rezaei amesema Iran inaendelea na diplomasia huku ikijiandaa kwa “vita ya kuamua”.
#SHANBreaking #Iran #UN #USA
Kwa takribani miongo miwili, Ronaldo amekuwa akitambuliwa katika hafla za tuzo za soka nchini Ureno.
#SHANBreaking #CristianoRonaldo #SHANSports
🚨SHAN BREAKING: 🔴 DEAL DONE!
Mikel Arteta amekubaliana na Arsenal kuhusu mkataba mpya wa muda mrefu, ukiwa na ongezeko la mshahara. ✍️🤝
Saini rasmi inatarajiwa hivi karibuni.
ARTETA 🤝 ARSENAL.
#SHANBreaking #SHANSports #Arsenal #Arteta

akitaja ajira, uchumi, utalii, Uchumi wa Buluu, uwekezaji na huduma za kijamii kuwa maeneo ya kipaumbele.
#SHANBreaking #Zanzibar
Taarifa za awali: lori lilifeli breki likishuka mlima. Watu 2 wanadaiwa kujeruhiwa.
SHAN Media inaendelea kufuatilia taarifa rasmi.
#SHANBreaking #SHANMedia #Iramba
Amesisitiza kuwa akaunti yake rasmi ni @simai_msaid, baada ya jina lake kutumika kwenye taarifa zilizomchafua Waziri Mkuu.
#SHANBreaking #Simai #Tanzania #UsalamaMtandaoni
🚨SHAN BREAKING: Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Olivanus Thomas, ameagiza TARURA kuchukua hatua za kufuta mkataba wa Madunda Construction na TAKUKURU kuanza uchunguzi wa ujenzi wa barabara ya Kigasi–Milo.
#SHANBreaking #Ludewa #TAKUKURU
🚨SHAN BREAKING: Mkazi Power Mabula ameomba kuingizwa katika kamati za usalama ili ashiriki katika hatua za kuzuia athari za mafuriko na radi, kufuatia tahadhari ya Serikali kuhusu uwezekano wa mvua kubwa zinazohusishwa na El Niño mwaka huu.
#SHANBreaking #Bukombe #Geita
🚨SHAN BREAKING: Dr. Rugemeleza Nshala amesema Kamati Kuu inaamini kuwa Tume hiyo inalenga kuwasafisha watawala na Serikali ya Samia Suluhu Hassan na kuwabebesha wengine lawama kuhusu mauaji au vurugu.
#SHANBreaking #Tanzania
Last Seen Hashtags on Sotwe
sange
Seen from Indonesia
HandmadeSlippers
Seen from Mexico
SunnahIsCure
Seen from United States
tiaysobrino
Seen from Argentina
ትግራይዲያስፖራዎች
Seen from United States
anxiouspanda
Seen from United States
봄날봄걸
Seen from Korea
gymgirl
Seen from Singapore
milf
Seen from United States
minichat
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
