Top Tweets for #SHIMIWI


AGRICOM SHIMIWI 2022
Tutafanya maonesho ya vifaa vya kilimo kwenye mashindano ya SHIMIWI 2022 Mkoani Tanga kwenye uwanja wa Mkwakwani.
Tarehe 5 Oktoba - 15 Oktoba
#shimiwi
#shambapesa

#Shimiwi
Timu ya Uchukuzi kushoto wakivutana na @WizaraMNN katika mchezo wa nusu fainali wa kuvuta kamba kwa wanaume katika michuano ya SHIMIWI uliofanyika leo kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani. Sekta ya Uchukuzi iliibuka kidedea kwa 2-0.

#Shimiwi
Bingwa wa mchezo wa baiskeli kwa wanawake, Scolastica Hamis wa timu ya Uchukuzi akimaliza kwa mbwembwe kilometa 24.5 zilizoanzia Njiapanda ya Kilosa na kumalizikia eneo la kituo cha ukaguzi wa magari cha Mafiga ikiwa ni mwendelezo wa michuano ya SHIMIWI mkoani Morogoro

#Shimiwi
Mchezaji Bakari Kibiki wa Ofisi ya Makamu wa Rais (kushoto) akichuana na Ambakisye Mwasunga wa Uchukuzi katika mchezo wa bao wa hatua ya makundi kwa wanaume kwenye michuano ya (SHIMIWI) inayoendelea kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. Mwasunga ameshinda 2-0.

#Shimiwi
Timu ya wanawake ya Uchukuzi kushoto wakivutana na Wizara ya Kilimo katika mchezo wa kuvuta kamba katika michuano ya Shirikisho la michezo ya Idara na Wizara za Serikali (SHIMIWI) uliofanyika leo kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani. Uchukuzi waliibuka kidedea kwa 1-0.

#Shimiwi
Afisa Elimu Shule za Sekondari mkoa wa Morogoro, Mussa Mnyeti (kulia) akichuana & Ambakisye Mwasunga wa (Uchukuzi) katika hatua ya makundi ya mchezo wa karata kwa wanaume wa michuano ya Shirikisho la michezo ya Idara na Wizara za Serikali (SHIMIWI) uliofanyika Morogoro

#Shimiwi
Michuano ya Shimiwi inaendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambako Timu ya mpira wa miguu, kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi) wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Wakala wa Usalama na Afya
#Shimiwi
Timu ya mpira wa pete, kutoka Wizara ya UjenziΒ na Uchukuzi( Sekta ya Ujenzi), yatia fola kwa kuvuka na kuingia katika hatua ya pili ya mashindano kwa kufunga michezo yote iliyochezwa.Β
Katika hatua hiyo, timu ya mpira wa pete ilianza michuano
#Michezo Wizara ya Fedha na Mipango yashiriki michezo ya SHIMIWI mkoani Morogoro. #SHIMIWI #mofURT #HazinaYetu

Last Seen Hashtags on Sotwe
dipford
stw hijab
Seen from United States
ankaraescort
Seen from Turkey
snapchat()++++++++++++++++++++++++++++filter:native_video
Seen from United States
fivem18
Seen from Thailand
smno
Seen from Brazil
minichat
Seen from Malaysia
fugamelodiesofsteel
Seen from Japan
minichat
Seen from Switzerland
GangBang
Seen from Peru
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers










