Top Tweets for #SUPARAP
Hongera @7donkoli kwa kuibuka mshindi #SUPARAP na kupata nafasi ya kufanya kolabo na @aytanzania.
#Airtel inakutakia mafanikio katika safari yako ya kuonesha zaidi uwezo wako na kuwa msanii mkubwa.
Cc @aytanzania
#Airtel
#SupaRapWinner

Leo saa moja kamili usiku patakuwa hapatoshi.
Hakikisha hukosi kujiunga nasi Instagram Live tukiwa na @aytanzania kushuhudia nani ataibuka mshindi wa #SUPARAP kati ya @jninetythree , @nathan_rays @7donkoli na @bravotheson na kupata nafasi ya kurekodi ngoma na @aytanzania
Leo ndio leo.
Siku tuliyokuwa tunaisubiria imewadia
Njoo ushuhudie mtanange wa wababe wanne wanaochana kwa spidi ya Supa 4G, ambapo mmoja wao atapata nafasi ya kufanya kolabo na @aytanzania
Ni leo, saa moja kamili usiku, Instagram Live ya @AyTanzania na @airtel_tanzania
#SUPARAP

Kesho ndio kesho, wababe wanne wa michano ya fasta lakini mshindi ni mmoja tu.Tukutane kesho saa moja kamili usiku, kushuhudia nani ataibuka mshindi wa #SUPARAP na kufanya kolabo na @aytanzania kama hatua nyingine ya kutimiza ndoto ya safari yake ya muziki.
Cc: @airtel_tanzania
Nani kuibuka mshindi wa kolabo na @aytanzania?
Ni alhamisi hii, tukutane tena Instagram Live kuhitimisha nani mkali wa kuchana kwa spidi ya Airtel Supa 4G?
#SUPARAP

Nani kuibuka mshindi wa kolabo na @aytanzania?
Ni alhamisi hii, tukutane tena Instagram Live kuhitimisha nani mkali wa kuchana kwa spidi ya Airtel Supa 4G?
#SUPARAP

Mshindi wa #SUPARAP wiki ya 4 @bravotheson akionesha zawadi yake ya #Airtel4GPocketWiFi baada ya kukabidhiwa leo, makao makuu ya #AirtelTanzania.
Tukutane alhamisi ijayo saa 1 kamili usiku kwenye FAINALI ya #SUPARAP tuone nani ataibuka mshindi wa kufanya kolabo na @aytanzania

Ni wakati wa kina dada.
Una maujuzi ya kuchana kwa spidi na unataka kufika mbali?
Jiunge nasi Leo saa 1 kamili usiku, Instagram Live na @aytanzania uoneshe maujuzi yako na unaweza kuibuka mshindi wa kufanya kolabo na @aytanzania au kujishindia Airtel 4G Pocket Wi-Fi.
#SUPARAP

Ni wakati wa kina dada.
Una maujuzi ya kuchana kwa spidi na unataka kufika mbali?
Jiunge nasi Leo saa 1 kamili usiku, Instagram Live na @aytanzania uoneshe maujuzi yako na unaweza kuibuka mshindi wa kufanya kolabo na @aytanzania au kujishindia Airtel 4G Pocket Wi-Fi
#SUPARAP

Tukutane saa moja kamili usiku leo kwenye Instagram Live na @AyTanzania yaani unapata burudani na zawadi juu. #AirtelSUPA4G
#SUPARAP

Imebaki siku 1 tukutane Instagram Live na @aytanzania, saa moja kamili usiku
Njoo ufurahie burudani huku tukioneshana uwezo wa kurap kwa spidi ya #AirtelSupa4G.
Zawadi matata zikiwemo Airtel 4G Pocket Wi β Fi kutolewa, pamoja na zawadi kubwa ya kolabo na @aytanzania
#SUPARAP

Je wewe ni mdada na unajua kuchana?
Njoo uoneshe kipaji chako na unaweza kuibuka mshindi wa #SUPARAP na upate nafasi ya kufanya kolabo na @AyTanzania π₯
Ni wiki hii saa moja kamili usiku, ambapo tutakuwa Instagram Live na @AyTanzania
cc @AyTanzania
Mshindi wa #SUPARAP wiki ya 3 @jninetythree akionesha zawadi yake ya #Airtel4GPocketWiFi baada ya kukabidhiwa leo, makao makuu ya #AirtelTanzania.
#SUPARAP itakuwa tena hewani alhamisi ijayo saa 1 kamili usiku kwenye mchujo wa kumpata mshindi atakaerekodi ngoma na @AyTanzania

Kama kawaida, tukutane saa moja kamili usiku leo Instagram Live na @AyTanzania yaani unapata burudani na zawadi juu huku tuki-bang na spidi kali ya #AirtelSUPA4G.
Si ya kukosa.
#SUPARAP

Imebaki siku 1 tukutane tena Live Instagram na @AyTanzania
Njoo ufurahie burudani huku tukioneshana uwezo wa kurap kwa spidi ya #AirtelSupa4G.
Zawadi matata zikiwemo Airtel 4G Pocket Wi β Fi kutolewa kwa washindi pamoja na zawadi kubwa ya kolabo na @AyTanzania
#SUPARAP

Jinoe na uwe tayari kuonesha makali yako ya kuchana kwa spidi ya #AirtelSupa4G.
Ni Alhamisi hii saa 1 kamili usiku ambapo tutakuwa Live Instagram na @aytanzania.
Zawadi matata ikiwemo kolabo na @aytanzania
#AirtelSUPA4G
#SUPARAP

Bado una nafasi ya kujishindia #Airtel4GPocketWiFi na kupata nafasi ya kurekodi ngoma na @aytanzania
Tukutane tena alhamisi, saa moja kamili usiku tukiwa Instagram Live na @aytanzania upate nafasi ya kuonesha uwezo wako wa kurap kwa spidi ya Supa 4G.
cc @aytanzania
#SUPARAP

Mshindi wa #SUPARAP wiki ya pili bwana @7donkoli (kushoto) akikabidhiwa zawadi yake ya #Airtel4GPocketWiFi na @aytanzania jana makao makuu ya #AirtelTanzania.
Kumbuka #SUPARAP itakuwa tena hewani alhamisi ijayo saa 1 kamili usiku.
#Airtel

Tukutane saa moja kamili usiku leo kwenye Insta Live na @aytanzania yaani unapata burudani na zawadi juu huku tuki-bang na spidi kali ya #AirtelSUPA4G Njoo uoneshe uwezo wako wa kuchana kwa spidi ya SUPA 4G na uibuke mshindi wa zawadi.
Cc @AyTanzania
#SUPARAP
#Airtel

Last Seen Hashtags on Sotwe
MGAI
Seen from Netherlands
omegle
Seen from Brazil
ankaragay
Seen from Turkey
bursatravesti
Seen from Switzerland
γγͺγ
Seen from Korea
淫妻
Seen from United States
incestomamΓ‘hijo() +filter:native_video
Seen from Netherlands
captions mom
Seen from Italy
mθ
Ώ
Seen from Germany
Ankarapasif
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers




