Top Tweets for #Samia4
Hizi hapa jitihada zilizofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kipindi cha miaka 4 katika kukuza sekta ndogo ya umeme nchini.
Kudos Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga
#Samia4
#KaziIendelee
Chukua muda wako kusikiliza na kutazama kazi zilizofanywa na Baraza la Usimamizi wa Mazingira @NemcTanzania katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.
#Samia4
#KaziIendelee
Tunaanza safari ya kuwa na gridi ya maji.
Asante Mheshimiwa Rais kwa maono haya makubwa. TUPO TAYARI.
#Samia4
#KaziIendelee
Kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, tumerejesha utoaji wa ruzuku ya mbolea, tumemgusa na kumwezesha mkulima.
Hongereni Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)
#Samia4
#KaziIendelee
Sikiliza na tazama kazi kubwa iliyofanywa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#Samia4
#KaziIendelee
Haya hapa mafanikio makubwa ya Bohari ya Dawa Tanzania @MsdTanzania katika miaka minne ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#Samia4
#KaziIendelee

Hongereni wa Wakunyumba Songea kwa kufanikiwa kupata suluhisho la maji.
Shukrani nyingi kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa changamoto hii ya miaka mingi. Mimi ni shuhuda wa namna Wanasongea walivyotaabika kwa miaka mingi
#Samia4
#KaziIendelee
ππ½ππ½ @CloudsMediaLive #Kurasa365
TUNAHIFADHI ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (NCAA), WATALII WAMEONGEZEKA NA MAPATO YAMEONGEZEKA.
Msikilize Mhifadhi Mkuu wa NCAA Dkt. Elirehema Doriye.
#Samia4
#KaziIendelee
Hongereni Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWASSA) kwa hatua hii kubwa ya kuwafikishia maji wananchi kwa asilimia 85.
#Samia4
#KaziIendelee
Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi akidadavua mafanikio makubwa ya hospitali hiyo katika miaka minne iliyopi.
#Samia4
#KaziIendelee
Sikiliza kishindo cha miaka 4 ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ujenzi wa barabara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
#Samia4
#KaziIendelee
Last Seen Hashtags on Sotwe
FabiSaal
Seen from United Arab Emirates
ππππγ‘γ’
Seen from Japan
ΰΈΰΈΰΈΰΈͺΰΈ£ΰΈ°
Seen from Thailand
RacePlay
Seen from Singapore
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈ΄ΰΉΰΈΰΉΰΈΰΉΰΈ§
Seen from Thailand
sexydance
Seen from France
ΩΎΨ³ΨͺΨ§Ω
Seen from Bahrain
hijaputa
Seen from United States
NOlimit filter:videos
Seen from United Kingdom
audrisummers
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.5M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers
