Top Tweets for #SamiaDAY
Wingi wa watu ni sauti ya umma, Profesa Samia Suluhu Hassan ndiye chaguo letu!
#TunatikiSamia #TikiTatu #SamiaDay

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na wananchi mara baada ya kufunga Kampeni za Uchaguzi za CCM uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza tarehe 28 Oktoba, 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

Mwenyekiti wa UVCCM Komredi Mohamed Kawaida akitoa salamu mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa siku ya kesho itapewa jina la #SamiaDay ambapo itapewa nguvu na challenge ya #WinoChallenge
#SamiaDAY
#WinoChallenge
#Tukutane kituoni✅✅✅
DKT. TENGECHA: SITAKI KUWA SEHEMU YA WATEKAJI NA KUISINGIZIA SERIKALI
Dkt Tengecha Ambaye alikuwa mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa, na Pia alikuwa
Mjumbe wa Kamati kuu Taifa ameamua kuchukua Maamuzi ya Kuhamia CCM.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅
𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗞𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗧𝗘𝗡𝗗𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 - 𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜
𝘼𝙢𝙨𝙝𝙪𝙠𝙪𝙧𝙪 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙪𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅
SAMIA DAY YANG'ARA NDANI YA CCM KIRUMBA
Mwananchi Tunakukumbusha kuwa Jumatano 29 Oktoba, 2025 Ni Samia Day.
Tukutane Kituoni kwa Maendeleo Endelevu ya Tanzania Twenzetu Kituoni Tukatiki na Kukamilisha Jambo letu la #SamiaDay
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki ✅✅
𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗞𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗧𝗘𝗡𝗗𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 - 𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜
𝘼𝙢𝙨𝙝𝙪𝙠𝙪𝙧𝙪 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙪𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

SAMIA DAY YANG'ARA KILELE CHA CCM MWANZA.
Tunakukumbusha kuwa Kesho 29 Oktoba, 2025 Ni Samia Day.
Tukutane Kituoni kwa Maendeleo Endelevu ya Tanzania, Twende zetu Kituoni Tukatiki na Kukamilisha Jambo letu la "Samia Day"
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki ✅✅✅

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Ali Kawaida akitoa salamu mbele ya Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa siku ya kesho itapewa jina la #SAMIADAY ambapo itapewa nguvu na challenge ya #WinoChallenge
#SamiaDay
#WinoChallenge
#Tukutanekituoni
KAWAIDA AMESHIRIKI UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM 2025
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Comrade Mohamed Ali Kawaida, ameshiriki kwa uchangamfu mkubwa katika Ufungaji wa Kampeni za CCM 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

KAWAIDA AMESHIRIKI UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM 2025
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC), ameshiriki kwa uchangamfu mkubwa katika Ufungaji wa Kampeni za CCM Mwanza.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

CCM KIRUMBA IMETEMA KIJANI NA NJANO
Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kufunga Kampeni za CCM katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza tarehe 28 Oktoba, 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

Muite Injinia wa maendeleo, muite Suluhu za changamoto za Watanzania, ama muite Mama mchapakazi mwenye roho ya kipekee mwenye kujali, kuthamini na kuinua Utu wa kila Mtanzania. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili CCM Kirumba.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Ndugu. Kassimu Majaliwa, alipowasili na kupokelewa na maelfu ya wananchi wa Mwanza, uwanja wa CCM Kirumba, leo Oktoba 28, 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Ndugu. Philip Isdor Mpango, alipowasili na kupokelewa na maelfu ya wananchi katika uwanja wa CCM Kirumba, leo Oktoba 28, 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Doto Biteko, amewasili katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza tayari kushiriki ufungaji kampeni za uchaguzi mkuu 2025 kupitia CCM.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili na kupokelewa na maelfu ya wananchi wa Jiji la Mwanza tayari kwa ufungaji wa kampeni za uchaguzi mkuu kupitia CCM, leo tarehe 28 Oktoba 2025.
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki

Unapozima ukiwasha tuu ni Kijani. Tunaposema rangi zote zitazimwa hatuchekeshi, bali tuna kila sababu za kuzimika rangi hizo. Kijani kimeweza kutekeleza Ahadi zake zote zilizotolewa ndani ya miaka 5 iliyopita (2020-2025).
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅✅✅
SAMIA DAY, OKTOBA 29
Ewe Mwananchi Tunakukumbusha kuwa Jumatano 29 Oktoba, 2025 Ni Samia Day...
Tukutane Kituoni kwa Maendeleo Endelevu ya Tanzania Imara, Twende zetu Kituoni Tukatiki na Kukamilisha Jambo letu la "Samia Day"
#SamiaDay
#TukutaneKituoni
#TokaNitokeTukatiki✅

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers





































