Top Tweets for #SamiamustGo
@ikulumawasliano Baado @SuluhuSamia anatafta vitaulo vya kumfutia damu mkononi. Na chakushangza ni wasomi, njaa mbaya sana.Mtu umeshastaff vizr unarudishwa kufuta damu, mlaaniwe nyote. Hata hivo uchunguzi wowote lazima uwe ni kabla,wakati na baada! Nyie wasomi shitukeni!#samiamuuaji #SamiaMustGo

@ikulumawasliano Baado @SuluhuSamia anatafta vitaulo vya kumfutia damu mkononi. Na chakushangza ni wasomi, njaa mbaya sana.Mtu umeshastaff vizr unarudishwa kufuta damu, mlaaniwe nyote. Hata hivo uchunguzi wowote lazima uwe ni kabla,wakati na baada! Nyie wasomi shitukeni!#samiamuuaji #SamiaMustGo

@MsigwaGerson @TZMsemajiMkuu @ikulumawasliano tunahitaji mtwaml mjitokeze kutoa ufafanuzi wa Bwana jera , et "italeta shida" , "nitalaumiwa". Ndo mana nnchi itapitia shida nyingi kisaa mzanzibar #samiamuuaji #SamiaMustGo
TAL; Je, unafahamu kwamba viongozi wakuu wa CHADEMA wamezuiwa kuniona gerezani?
Bwana Jela; Hawajazuiwa.
TAL; Hivyo, John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa wanaruhusiwa na kuanzia kesho watafika gerezani kuniona.
Bwana Jela; Hawaruhusiwi hadi Mahakama itoe uamuzi katika kesi hii.
TAL; Kwa maana hiyo, mashahidi wangu katika kesi ya uhaini ambayo hukumu yake ni kunyongwa, hawaruhusiwi kuniona gerezani?
Bwana Jela; Hawaruhusiwi hadi Mahakama ikitoa uamuzi katika kesi hii.
Jaji; Mahakama gani ilitoa amri ya kuwazuia watu hao kufika gerezani kumuona?
Bwana Jela; Mheshimiwa Jaji, mimi nikiwaruhusu nalaumiwa.
Jaji; Hiyo kesi ilitolewa uamuzi na Mahakama kwamba wasifike gerezani kumuona?
Bwana Jela: hapana haijatolewa uamuzi. Lakini nikiwaruhusu italeta shida.
Jaji anavua miwani, anashika kipaza sauti vizuri. Anamuuliza Bwana Jela.
Jaji; Wewe unaieleza mahakama kwamba huwezi kuwaruhusu kufika gerezani?
Bwana Jela; Hapana Mheshimiwa Jaji. Naomba samahani.
Mahakama; KICHEKO 🤣
Jaji; Tundu Lissu, tuendelee.
Ameshakimbilia Zanzibar 😁
Tanganyika hakukaliki! Sisi kazi yetu ni kupeleka motoooo! 🔥
Hakuna kupunguza mwendo!
#SamiaMustGo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Prisca Burton Lwangili kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.

Naona Samia kaamua kukaza fuvu! Sasa mnagawa chaji za ugaidi kama pipi mnatarajia mtapata uwekezaji na watalii?
#TanzaniaIsNotSafe
#SamiaMustGo
UPDATES KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA TEMEKE
Leo Pendo Kileo pamoja na wenzake watatu ambao ni Zack Nigula Shija na Jenfrida Petro Mtuka ambao ni Wanachama na Viongozi wa Chadema Wilaya ya Mbagala na Temeke wamesomewa Mashtaka ya UGAIDI.
Ikumbukwe kwamba Julai 1, 2026 Pendo alitoa taarifa kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba maeneo ambako anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo.
Julai 4, 2026 Polisi wa Chang’ombe walimpigia simu wakamwambia kwamba aende ili waweze kumpatia mtaalam ambae ataenda nae kuangalia na kuchukua hiyo CCTV footage
Sasa badala ya kupewa msaada ambao ameitiwa, Polisi walimkamata, wamemtesa na kumpiga sana kwa siku zote walizokaa nae, hatimaye leo ndo wameamua kumbambika kesi ya UGAIDI.

Hii fursa! Wakiandamana ni kujichanganya hapo na mabango yetu 👊🏽🔥
Alomuradi wameruhusu maandamano tutaandamana sote - hakuna shida!
Safi kabisa!
Hivi hadi lini mtakubali @tanpol kuendeshwa na akili za Abdul?
#SamiaMustGo

@MariaSTsehai Si unaona hata siku ya mashujaaa hakutaka kuongea alifyatuka akakimbia . Presha iko juuu sana
Kimama haamini #SamiaMustGo
@MO29TV Jambazi la kike hili li #SamiaMuuaji lazima aachie nchi. Hatutaki hii mavi, tumeshaikataa. #SamiaMustGo #CCMmustGo
#SamiaMuuaji 🚮Jambazi lakike. Muuaji. Murderer. #TanzaniaMassacre inamhusu na atalipa TU. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Huko CCM moto unawaka Samia akatazwa kuongea wahifia atamjibu Nchimbi.
Katika hali ya kushangaza Samia ameonekana akiondoka kimyakimya Baada ya kuhitimishwa kwa sherehe za Mashujaa Dodoma.
Leo madhulumati yameombewa laana zote, vifo, stroki, yote, kuanzia Clubhouse, TikTok, kooote. Sasa nyie mliojiweka madarakani kwa kumwaga damu za #wananchi wasio na hatia #TanzaniaMassacre, mjipange. Hukumu ni hapa hapa duniani. 😆#SamiaMustGo #CCMmustGo

URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER
Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.
For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.
His continued detention has drawn widespread international condemnation:
1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.
2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.
3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.
For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.
The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.
Protect Tundu Lissu.
The world is watching.
—Admin
The person that Tanzanians want free and active in politics is in jail, while the one that all Tanzanians want in jail is prancing about cluelessly murdering and jailing innocents
#FreeTunduLissu
#SamiaMustGo

@HildaNewton21 Safiiii yeye abanie hapohapo
Na sisi wananchi tunabania kwa juuu..
Agenda zetu ni 3 tu!
#JusticeForMO29
#katibayawananchi
#reelectionTanzania2026
Huku zikiongozwa na vitendo vya MAANDAMANO na MIGOMO hadi tupate ushindi ! ¡Hasta la victoria siempre. #samiamustgo #ccmmustgo

@MwanzoTvPlus sisi wananchi agenda zetu ni 3 tu!
#JusticeForMO29
#katibayawananchi
#reelectionTanzania2026
Huku zikiongozwa na vitendo vya MAANDAMANO na MIGOMO hadi tupate ushindi ! ¡Hasta la victoria siempre. #SamiaMustGo #ccmmustgo

Kama ulikuwa hujafuatilia posts zangu narudia - huko ndani hali mbaya - vita imeshakuwa kubwa
Sisi huku nje tuendelee na mapambano dhidi ya utawala huu wa kifedhuli - atakayeibuka mshindi tutajua tutadeal naye vipi! Ila huyu kimama na genge lake wamedhihirisha wako tayari kutuua wote maana wao wanataka waibe rasilimali ZOTE za Tanganyika na watambe wao na familia zao - sisi tumegoma!
Ni mashetani wenye roho nyeusi! Kama kuna wenye roho za kibinadamu wamebaki huko ndani wapambane kwelikweli! Sisi hatujaacha kupambana 👊🏽🔥
Tumeshashinda sema mashetani wamekaza fuvu tu!
“BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya."
Kutoka 14:14

Accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #FreeTunduLissu now! #SamiaMustGo 👇🏾👇🏾 🤸🏿🤸🏾♀️🤸🏿♂️ have to stop.
‼️University lecturer charged with terrorism‼️
Kaijage was telling students that it is their constitutional right to protest - Boom 💥
He was abducted! After a huge uproar police admitted having taken him
Held him for 2 week incommunicado - I am sure he was tortured!
Now he is given terrorism charges
Now imagine you are a tourist in #Tanzania casually chatting at a restaurant with your guide and you say peaceful protest is a right! Boom💥 you could be abducted, jailed and charged with terrorism!
That is how repressive the regime of Samia Suluhu! We are North Korea level
Again STAY AWAY for now
#TanzaniaIsNOTSafe
#SamiaMustGo

Last Seen Hashtags on Sotwe
UseAmex
Seen from United States
今のアプガにはすーみんがいる
Seen from South Africa
小哭包
Seen from Singapore
BlackList2016
Seen from United States
varcasting
Seen from United Kingdom
momson(******)**************************************+filter:native_video
Seen from Denmark
momson()+filter:videos
Seen from United States
SolarBullishStock
thatmob
Seen from Belgium
سِِكُسْ_كتَاب
Seen from Saudi Arabia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers





























