@HecheJohn W
"Watanzania tuna wajibu wa kupiga kelele mpaka hawa majambazi wawajibishwe" JE NI NANI AWAWAJIBISHE? HUO NI MFUMO AMBAO UMEENEA HADI IKULU. TUSIJIDANGANYE KUWA WATAWAJIBISHANA. TUWAWAJIBISHEEEE...
@PMadeleka@MpingaN8675 huko unakomshauri @PMadeleka apeleke ushahidi kuko salama kwa rushwa? Hivi hujui kuwa hao TAKUKURU wakimkamata mtuhumiwa hatimaye wanampeleka mahakamani?
@MariaSTsehai Huyu Mbilu ni askofu wa jimbo gani? - ili tumsalimie vizuri yeye pamoja na 'kondoo' wake. Ametajwa sana kujaribu kusafisha genge la watawala batili...
@TitoMagoti Nyumbu๐ก..
Wengi wa wachangiaji bila shaka ni Watanganyika! Unafiki uliotopea ubinafsi. Such petty traders! Wanajipendekeza kwa 'wahuni' ambao uwepo wao kwenye utawala ni shortli-ved. Idiots๐ก
Matokeo ya mitihani ya taifa yanafanana sana na yale matokeo ya โuchaguziโ 2025.
Shule hazina walimu, vitabu, maktaba, maabara, kompyuta, viwanja vya michezo, karakana, na mengine yote ya muhimu katika issue nzima ya ufundishaji na ujifunzaji.
Cha ajabu, ufaulu 99%!
๐๐๐๐
@MariaSTsehai@HecheJohn Nyumbu, nyumbu, nyumbu (nyumbu)2. Watanganyika acheni unyumbu ๐ก mmeshasanuliwa, mmeona sura yake - shughulikeni naye km mnavyoshughulikaga na vibaka...
@HildaNewton21 Hivi kwanini sionagi makanisa yakisimama na waumini wao kama hawa? Yaani unakuta mtu ni muumini safi kabisa na fungu la kumi anatoa kanisani ila anatekwa kama hivi lakini huwezi sikia hata viongozi wa dini walienda polisi japo kuulizia au kumtafuta, inaachiwa familia tu ihangaike
@MariaSTsehai Hivi huyo Sumai Hana muingiliano na jamii?! Kwanini Watanganyika tumechagua kuwa km nyumbu wanaoshuhudia mwenzao akiliwa na Simba mmoja?!! Kwanini tusishughulike na 'simba' mmoja once and for all ili 'nyumbu' tuishi kwa amani...
@EduTalkTz Lakini mantiki ya kusanyiko hilo la 'kupokea' gawio ni nini? Kwani gawio siyo sehemu ya hesabu za mwaka kwa taasisi husika baada ya wanahisa kukubaliana? Je, kusanyiko lile kubwa la wakubwa serikalini liligharimu kiasi gani? Je, hiyo gharama isingetosha japo madawati ya shule 1?!
MASWALI MUHIMU:
1. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna cheo cha SHEHE?
2. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KIKOSI kinaitwa MBWA MWITU?
3. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KAMANDA anaitwa SAIDI MWAIPOPO?
@MariaSTsehai Watanganyika, hata lini tutabakia kuwa kama nyumbu?! Tumeshajua kila anayechukuliwa kwa kivuli cha @tanpol anapotea yet tunaendelea kuacha uhuni huo uendelee! Wanasheri wazalendo wametufundisha taratibu za ukamataji wa polisi - TUKATAE UHUNI. Badala yake tuwateke wao period ๐ก