Top Tweets for #SamsonMbembela
Jinsi ya Kuilinda Account Yako ya Instagaram isiibiwe.
#CyberSecurity #SamsonMbembela #SponsoredAdsTanzania #InstagramGuru
Umuhimu wa Kutumia Mtandao Kurusha Matangazo ya Kulipia na Kuuza Mtandaoni.
Nilieleza haya Mapema Leo Asubuhi January 17, Katika Kipindi cha Digital Voice Pale Mlimani FM.
#SamInstagramGuru #SamsonMbembela #SponaoredAdsTanzania
Hapa X inaonekana ni Kazi sana Kupata Maokoto ya Elon, Hebu fikilia Uwe na 2000 Verified Followers na 5M impressions.
Kuna haja ya Mimi Kuendelea Kupambana na Sponsored ads yangu Kule Instagram X Kwenu Pagumu sana.
Bora Monetaisation za Facebook!
#SamsonMbembela #SamInstagramGuru
Kusoma kozi za mtandaoni kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) kutaboresha wasifu wako na kukusaidia kupata kazi za NGO.
Hizi hapa tovuti 14 za kupata kozi hizo bure
⤵️
#SamsonMbembela #SanInstagramGuru
#Three CREATOR ACCOUNT
Hii ni akaunti ambayo imekusudiwa Kwaajili ya Waundaji wa Maudhui, Kwa Kutumia akaunti Hii Unaweza Kurusha Matangazo lakini ina Features Nyingi Kuliko Business Account.
Wewe Unatumia Aina Gani Kati ya Hizi?
#SM #SamsonMbembela #SamInstagramGuru #DigitalSkills
TYPES OF ADS ACCOUNT
1. Instagram ads account
2. Facebook ads account
Kwenye Instagram Yako Unatumia Ipi Kati ya Hizo Mbili?
#SamInstagramGuru #SponsoredAdsTanzania #Samsonmbembela
Qualities of a Digital Marketer
1.Creative
2.Excellent problem solver
3.Adaptive
4.Enthusiastic
5.Collaborative
6. Smart
#DigitalMarketing #SamInstagramGuru #SamsonMbembela #SponsoredAdsTanzania
UKIFUATA HATUA HIZI UTAUZA - Hizi Ndizo Sifa za Mtaalamu wa Matangazo ya Kulipia Yaani Sponsored ads atakusaidia ili ufikie Mauzo Makubwa Mtandaoni.
#SponsoredAdsTanzania #InstagramGuru #Samsonmbembela

MDA WA MAOKOTO
Hatujawahi Kuwaangusha, Leo Mtu Mmoja anajishindia 10,000 TSH.
Dondosha Utabiri wa Mchezo wa Yanga SC Vs Vital’o Utabiri wa Mapema zaidi ndio Umeshinda.
Nafasi ya Kushinda ni Kwa Walio LIKES, COMMENT & RETWEET
#SamsonMbembela #SponsoredAdsTanzania #YangaSC #Vital’o

USIANDIKE NO REFUNDS
Tukiona Mambo haya 3 Tunagundua Kuna sehemu Una shida Kwenye akaunti Yako!
#Samsonmbembela #InstagramGuru #SponsoredAdsTanzania
AIRTIME
Natoa Bando la Bukubuku Kwa Watu 10 Wa Kwanza. Like, Retweet Kisha andika Namba Yako na Jina Linavyotokea.
Uwekewe Buku Mda huu.
#SponsoredAdsTanzania #SamsonMbembela #InstagramGuru

Haya Ndio Makato Utakayokutana nayo Kwenye Matangazo Yako.
Apple Charges 33%
V.A.T 0.18
10% kwenye Kila Transaction
Ipi Tumeisahau?
#SponsoredAdsTanzania #SamsonMbembela
MCHONGO
inahitajika akaunti ya Instagram Yenye 10K - 20K Really Followers, Ofa 100,000 njoo na Screenshot ya IG yako hapa 0674695549
Akaunti itakaguliwa Kabla ya Kuinunua ikiwa sio Bolt followers.
#Samsonmbembela #SponsoredAdsTanzania
Last Seen Hashtags on Sotwe
TEENAGER filter:videos
Seen from Turkey
92i
Seen from France
BigStacks
Seen from Germany
minichat #snapchat() +filter:native_video
Seen from India
brunette
Seen from Algeria
snapchat
Seen from Canada
britishchav
Seen from Germany
QoH
Seen from Canada
trabzontravesti
Seen from Turkey
mom #bully #captions
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



