Top Tweets for #SatMediaUpdates
Dodoma kumekucha , mkutano Mkuu wa CCM Taifa Mei 29-30, 2025 katika ukumbi wa Jakata Kikwete Convention Centre.
#SatMediaUpdates #CCM

Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu katika riwaya, Maundu Mwingizi kutoka Dar es Salaam
Tuzo hizo zilitolewa jana na Waziri wa Ujenzi , Abdallah Ulega katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam
#satmediaupdates

Makala fupi ya Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Angola
#SatMediaUpdates #angola #tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.
#SatMediaUpdates #angola

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa sana ya kutuletea utalii na utalii aliouleta umezalisha fursa nyingine ya kumbi za mikutano”
Paul Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Arusha
#SatMediaUpdates #arusha #tranding
Kitunguu Saumu: Faida, Matumizi na Madhara yake
Tembelea katika YouTube Channel yetu ya Sat Media kwa Habari zaidi , pia Like, Share na comment
#SatMediaUpdates #food
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na makundi mbalimbali katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.
#SatMediaUpdates

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa jana Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.
#satmediaupdates #i̇ftar #nmb @NMBTanzania

Wakizungumza kuelekea mkutano wa hadhara wa Rais Samia unaotarajiwa kufanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani, wananchi hao wameeleza kuridhishwa na juhudi za serikali katika kuboresha miundombinu na huduma za kijamii mkoani humo.
#SatMediaUpdates #raissamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Bwawa la umwagiliaji Mkomazi, Wilayani Korogwe katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
#satmediaupdates #tanzania #mkomazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, kuendelea kutafuta fursa za kuongeza vyuo na kampasi za vyuo vikuu Zanzibar ili kukidhi mahitaji ya vijana.
#satmediaupdates
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @SuluhuSamia
#satmediaupdates #raissamia #happybirthday #videoviral
Heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#satmediaupdates #raissamia #happybirthday #Happy
Katika kipindi chake cha uongozi, Tanzania imeshuhudia mafanikio makubwa katika ukuaji wa uchumi, ujenzi wa miundombinu, maboresho ya huduma za afya, na kukuza demokrasia kupitia falsafa yake ya “4Rs.”
#satmediaupdates #ccm #uchaguzimkuu2025 #4rs #ccm

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Siku ya pili ya Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama hicho ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo January 19,2025.
##satmediaupdates

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Profesa Mohamed Yakub Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba, Wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa maoni yao.
#satmediaupdates

Siku ya UKIMWI duniani huadhimishwa tarehe 1 Desemba kila mwaka ili kueneza ufahamu wa ugonjwa wa UKIMWI unaosababishwa na uambukizi wa virusi vya UKIMWI
Ni kawaida kuwa na ukumbusho huo siku hii ili kuwajali watu ambao wamefariki kutokana na VVU / UKIMWI.
#satmediaupdates

Jumapili njema na mwezi mpya wa Desemba, SatMedia tunaianza siku hii na video ya kukumbukwa Kutoka kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambapo anatukumbusha kutoka kwenye kitabu cha YEREMIA 33:3.
Wewe je unaianza siku kwa mstari gani wa biblia?
#satmediaupdates
“Tunamshukuru Mwenyezimungu kwa uwepo wa kiongozi mmoja walioshiriki kikamilifu kuifufua jumuiya yetu Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda.” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
#satmediaupdates
Last Seen Hashtags on Sotwe
تانجو_برايفت
Seen from France
omegle
Seen from United States
omegle
Seen from Spain
病児
Seen from Colombia
rikakihira
Seen from Japan
الحوثي
Seen from United Kingdom
รับงานธัญบุรี
Seen from Thailand
nolimits()() filter:native_video
Seen from France
AIイラスト
Seen from Japan
nolimits()*******
Seen from Italy
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



















