Top Tweets for #SemaNami
Je, wajua? 86.4% ya vijana katika tathmini yetu walikuwa na simu za mkononi, huku 56.8% wakiwa na smartphone. Teknolojia inaweza kuwa daraja muhimu la kuwafikishia vijana taarifa sahihi na rafiki kuhusu afya ya uzazi.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je, wajua? 75.6% ya vijana katika tathmini yetu walipendelea kujifunza kupitia vikundi. Hii inatukumbusha umuhimu wa kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kujifunza, kuuliza na kujadiliana bila kuhukumiwa.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je wajua, Vijana walio nje ya shule wanaweza kuwa katika mazingira hatarishi zaidi. Katika tathmini yetu, tulibaini kuwa wanaweza kukosa fursa za kupata taarifa, malezi elekezi na mitandao ya kuwasaidia kufanya maamuzi sahihi.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je, wajua? 85.6% ya vijana katika tathmini yetu waliamini kuwa kukosa mahitaji ya msingi kunaweza kuwafanya vijana kuingia kwenye mahusiano ili kupata msaada wa kifedha. Afya ya uzazi haiwezi kutenganishwa na hali ya kiuchumi.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je, wajua? vijana 4 kati ya 5 tuliozungumza nao wanajua mahali pa kupata Elimu na Huduma za afya ya uzazi. Hata hivyo, hofu ya kuhukumiwa /kunyanyapaliwa (judgement & stigma) bado ni vikwazo vya kupata huduma.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je wajua, Dhana kwamba “dawa za asili zinaweza kuzuia mimba kuliko uzazi wa mpango” bado ipo kwenye jamii. Changamoto si upatikanaji wa taarifa pekee, bali kujua ipi ni sahihi pia.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

Je, wajua? Hofu ya kuhukumiwa inaweza kuwazuia vijana kuuliza maswali kuhusu afya ya uzazi. Vijana wanahitaji taarifa na huduma zinazolinda usiri wao, zisizowahukumu na zenye mazingira rafiki. Kuuliza hakupaswi kuleta hofu.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami

#SemaNami
Kuna mtu hapa anatamani kukata tamaa kwa ajili ya Biashara yake.
Anaona mambo hayaendi, amefanya Kila namna wateja hawapati, wafanyakazi wanamuibia, matumizi ni makubwa kuliko kipato. Pamoja na changamoto nyingi.
Tafadhali kama unapitia situation kama hiyo, na huna wa kuongea nae, hujui suluhu ya hayo yote, tafadhali ni-DM.
Nimetenga muda wa kuwahudumia watu wenye changamoto hizi FOR FREE ila kupitia simu tu!
Na jambo hili nitalifanya kwa wiki hii pekee, hadi Ijumaa!
Njoo useme nami, yawezekana nikakupa SOLUTION ya mahali pa kuanzia.
HAKUNA KUKATA TAMAA

@ELTIEMPO Tan raro, en mis propias encuestas es al contrario. #ElTiempoMienten #CaracolMente #RCNMiente #SemanaMi
@AlexKleinO Los medios empiezan y cierran el ciclo de la corrupción. Montan gobernantes, aplauden licitaciones, vuelven héroes a lacras que inauguran obras fraudulentas, puentes que se caen, escuelas paupérrimas, casas ratonera. Los medios SON cómplices. #CaracolMente #SemanaMi
Los banqueros desangran al estado con coimas y no apoyan el pago de horas extras ,el recargo nocturno y el contrato laboral indefinido tienen sus senadores que frenan las reformas pero que aceleran las coimas para seguir acabando a Colombia . #CaracolMienten #semanami
Obvio que nuestro presidente no estaría en un congreso donde el pueblo trabajador es explotado y humillado se oponen a pagar el recargo nocturno las horas extras y no quieren acabar el contrato de prestación de servicios fuerza Colombia 🇨🇴🇨🇴💪. #CaracolMiente #semanami
Yesterday Sema Nami was well represented at #AfricaChildrenSummit organized by @HAARTKenya. Children are our future and we must protect them at all cost. #semanami. https://t.co/sJMniML5ER

@HopeFMLive @jackton_omusi Amen.
Good evening brother JACK
Thika is in worship 🙌
Please play for me #SEMANAMI BY PST LAVENDER OBUYA w'l be blessed
Last Seen Hashtags on Sotwe
st站
Seen from Germany
malayhijab
Seen from Malaysia
murrsuit #ebony
Seen from United States
dandysworldnsfw
Seen from Mexico
türkporno
Seen from Turkey
吃瓜
Seen from France
minichat(((((((***(**)*****))))))) +filter:native_video
Seen from Switzerland
minichat()()()()******* filter:videos
Seen from Turkey
精神小妹
Seen from Singapore
selffuck
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














