Top Tweets for #SentroCloudsTv
VIDEO : Mwanachama wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema yupo mbioni kuanzisha Chama cha Mashabiki wa Soka Tanzania.
Mashabiki mnasema kuhusu ili mko tayari?
π₯ #SentroCloudsTv
Kuna mradi unaendelea hapa Dar na unaona gari zimejaa na hawalipi kodi lakini unasikia wamepata hasara.
#SentroCloudsTv
Ujio wa SGR hauathiri mabasi ya Dar to Morogoro na Dar to Dodoma bali hata ruti nyingine nao waathirika.
Mfano Dar to Bukoba, mtu anapanda SGR hadi Dom kisha anaunganisha na basi kutoka Dodoma hadi Bukoba
#SentroCloudsTv
Kutoka zanzibar inapotekelezwa sera ya Uchumi Buluu Makachero wa Taifa #SentroCloudsTv wameibeba ajenda ya Jumatatu na itifaki zote muhimu zitazingatiwa.
βToka mwaka 2022 mwezi wa kumi tuli-stop kupanda kwa bando, mtu aje hapa aniambie kuna bando limeongezekaβ - @Nnauye_Nape #SentroCloudsTV
"Tutarusha satellite yetu na itafanya vitu vingi sana, pamoja na mambo mengine ya utafiti lakini itakuwa mbadala kwamba ikitokea tatizo tunatumia satellite na kwa mujibu wa sayansi ipo kasi nzuri na kwa ubora kwenye cable kuliko satellite" - @Nnauye_Nape #SentroCloudsTV
"Hakuna mahali ambapo tumemkatalia Starlink, kufanya kazi nchini kwetu. Utaratibu ni rahisi sana, unaomba leseni kwenye mtandao na Mtandao unakuondoa page moja kwenda nyingine kadri unavyojaza. Wao waliomba ikafika mahali walikwama" - @Nnauye_Nape
#SentroCloudsTV
Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema kesho Tarehe 27 Aprili asubuhi saa 1:00 watafanya matembezi ya Amani ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyopeleka miradi mingi ya Maendeleo Arusha.
#SentroCloudsTv
#CloudsTvNiMkataba
Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema hakupata nafasi kwa upendeleo ila alishinda Uchaguzi na hata mpinzani wake anajua na yupo tayari kurudia uchaguzi.
#SentroCloudsTv
#CloudsTvNiMkataba
"Ubunge sio ajira ni Utumishi.
Mimi ni Mfanyabiashara na nafanya biashara mbalimbali." - Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo
#SentroCloudsTv
#CloudsTvNiMkataba

Mashuhuda wanasema walimwambia dereva wa gari la shule asirudi na njia ile apite kwengine dereva akalazimisha kupita njia ile ile mwishoni amesababisha vifo vya watoto saba na wengine kujeruhiwa.
#SentroCloudsTv
Lunch lililiwa katikati ya nchi yalipo makao Makuu ya Serikali na Ofisini kwa Wabunge wote wa Tanzania na makao makuu ya dhahabu nyeusi Dodoma
Utamu wa masotojo ya shishi Food team nzima ya Sentro ya Clouds Tv hapa @ALLYKASHMIR @farhamkiham
Iverify @CloudsTv
#SentroCloudsTv
Hii ni Operation Manyara twenzetuni tukarejeshe tabasamu na faraja kwa wenzetu na safari tunaianza hapa #SentroCloudsTv Leo.
Ikumbatie @CloudsTv
#OperationManyara
#SentroCloudsTv


Suala la mirabaha likoje,? je wasanii ambao ngoma zao zitachezwa airport watalipwa??
Haya hapa ya majibu ya Naibu Waziri mwenye dhamana ya michezo, Hamis Mwinjuma @MwanaFA
#SentroCloudsTv
"Kwa siku nzima kama haturudii nyimbo tunaweza kupiga nyimbo 480." Hamis Mwinjuma @MwanaFA Naibu Waziri wa Michezo
#SentroCloudsTv
"Muheza tuna tatizo kubwa la maji kwahiyo kwangu Mimi naona Bora mvua inyeeshe." Hamis Mwinjuma @MwanaFA Naibu Waziri wa Michezo na Mbunge wa Jimbo la Muheza.
#SentroCloudsTv
Mwamba kabisa umuonapo Kuna jambo Kachero wa #SentroCloudsTv Ally Kashmiry ameyapiga makasia zaidi ya kilometa 80 kutoka visiwa vya marashi na karafuu na amewasili Mjengoni kimwamba wala hatii huruma.
Mkononi ana ripoti ya Miaka mitatu ya Dkt Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar, ikibeba Taarifa zenye kutabasamisha kuhusu Maokoto ya Uchumi wa buluu.
Ripoti itawasilishwa #SentroCloudsTV leo na itapewa Tano 5 na bless za kutosha na Mwenye dhamana ya fedha na mipango kutoka SMZ Waziri Dr Saada Mkuya.
Ikumbatie #CloudsTv
#JumatatuYaBuluu
#SentroCloudsTV

Usikose ku-slide Sentro ya Clouds TV kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa moja na nusu jioni; @FKihamu @MamyBabyTz na @Kashmiry082 #SentroCloudsTV

Last Seen Hashtags on Sotwe
ΰΈΰΈ²ΰΈ’ΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈ±ΰΈΰΈ§ΰΉΰΈ²ΰΈ§
Seen from Thailand
ketek
Seen from Indonesia
omegleleaks
Seen from Australia
sendnudesx
Seen from Japan
momsonn()*** filter:native_video
Seen from Switzerland
nayaraassuncao
Ω
ΨΉΨ΅ΩΨͺΩ_Ψ±iΨΨͺΩ
Seen from Argentina
MDHLinlang
Seen from United States
ε°ε±ιͺθ΄§
Seen from United States
momsonn
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






