Top Tweets for #Shafee
IMAMU #SHAFEE ANAKIRI KWAMBA ALLAH YUKO JUU #MBINGUNI📚💦
[__Na Kwamba Allah hushuka ktk mbingu ya duniani__]
Imam al-Shafi‘i (aliyefariki mwaka 204 Hijria).
Allah amrehemu, alisema:
“Kauli kuhusu Sunnah ambayo mimi niko juu yake na ambayo niliwaona wenzetu wakiwa juu yake—ambao ni watu wa Hadithi niliokutana nao na kujifunza kutoka kwao, kama vile Sufyan, Malik na wengineo—ni kukiri ushahidi kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah; na kwamba #Allah yuko juu ya Arshi Yake, katika mbingu Yake, akiwakaribia viumbe Wake kwa namna Anayotaka.”
![abusumayyah_o's tweet photo. IMAMU #SHAFEE ANAKIRI KWAMBA ALLAH YUKO JUU #MBINGUNI📚💦
[__Na Kwamba Allah hushuka ktk mbingu ya duniani__]
Imam al-Shafi‘i (aliyefariki mwaka 204 Hijria).
Allah amrehemu, alisema:
“Kauli kuhusu Sunnah ambayo mimi niko juu yake na ambayo niliwaona wenzetu wakiwa juu yake—ambao ni watu wa Hadithi niliokutana nao na kujifunza kutoka kwao, kama vile Sufyan, Malik na wengineo—ni kukiri ushahidi kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah; na kwamba #Allah yuko juu ya Arshi Yake, katika mbingu Yake, akiwakaribia viumbe Wake kwa namna Anayotaka.”](https://pbs.twimg.com/media/HUxhnwWXkAAc8bk.jpg)
IMAMU #SHAFEE(Rahimahullah) NAE ANAONA BORA KUKUTANA NA ALLAH SIKU YA KIAMA KWA DHAMBI KAMA #UZINZI,USHOGA AU WIZI KULIKO BIDAA KAMA MAULIDI NA ZINGINEZO📚💦
> > JE, HII NI ISHARA KWAMBA IMAMU SHAFEE NA YEYE NI #WAHABY⁉️🤔
Imamu al-Shafi‘i رحمه الله (aliyefariki 204 H) anasema;
قال الإمام الشافعي رحمه الله:
«لَأَنْ يَلْقَى اللَّه�� الْعَبْدُ بِكُلِّ ذَنْبٍ مَا خَلَا الشِّرْكَ بِاللَّهِ خَيْرٌ مِنْ أَنْ يَلْقَاهُ بِشَيْءٍ مِنَ الْأَهْوَاءِ»
“Ni bora mja akutane na Allah akiwa na kila dhambi isipokuwa kumshirikisha Allah, kuliko kukutana Naye akiwa na itikadi yoyote katika itikadi za uzushi(Bidaa).”
📚 Rejeo: Al-I‘tiqad ya al-Bayhaqi, uk. 158,

Imām #al_Muzanī رحمه الله ni miongoni mwa wanafunzi wakubwa wa imamu #shafee na mfuasi mkubwa wa maadhehebh ya #kishafii📚💦
>>sio muwahaby huyu kwamba i kibaraka wa watawala wala muamerika🇺🇲
🫴_huyu ni mshafee mwenzenu kama nyie kweli ni mashafee
Imām al-Muzanī رحمه الله amesema:
“Na ni kuwatii wenye mamlaka katika yale yanayompendeza Allah, Aliye Mtukufu na Aliye Juu, na kujiepusha na yale yanayomchukiza Allah.
Na kujizuia #kuwaasi wanapovuka mipaka na kufanya #dhuluma, na kumrudia Allah kwa kutubia, ili Awafanye wawe na huruma kwa raia wao.”
Sharḥ al-Sunnah, uk. 85

#ilantalirNewsUpdate
அதிராம்பட்டினத்திலுள்ள இமாம் ஷாஃபி பள்ளிக்கூடத்தின் வளாகத்தைக் கைப்பற்றும் நிர்வாக முடிவைத் திரும்பப் பெறாவிட்டால், மக்களைத் திரட்டி மாபெரும் போராட்டம் நடத்துவோம்!
- செந்தமிழன் #சீமான் வலியுறுத்தல்..
#Seeman #NTK
#school #Shafee
#ilanthalir

#NSTnation Shafee argued that the witness failed to provide specific documents to this investment for the court and the defence to scrutinise
#1MDB #court #Shafee
https://t.co/8YbTmqM6N3
He allegedly received a cheque for RM4.3 million on Sept 13, 2013, and another for RM5.2 million on Feb 17, 2014.
#theSun #theSunMY #LocalNews #prosecution #shafee
https://t.co/yNAW5qoq0i
The Kuala Lumpur High Court rejects lawyer Muhammad Shafee Abdullah's argument of special circumstances warranting a stay of the proceedings.
#MalaysiaNow #News #FlashNews #Malaysia #Shafee #LHDN #incometax
https://t.co/NfFunzZkPl
#NSTTV Senior lawyer Tan Sri Muhammad Shafee Abdullah was visibly upset upon being repeatedly asked by newsmen about Datuk Seri Najib Razak's condition today.
#Shafee #NajibRazak #1MDB
Read here: https://t.co/nrdITkdfIi
https://t.co/byroq3bzBu
The Federal Court has set 10 days in August to hear the final appeal by Najib to quash his conviction and sentence of 12 years in jail and RM210 million fine.
#theSun #theSundaily #najib #shafee #zaidibrahim #court #src #news #Malaysia
https://t.co/yyBPJzmF1E
#NSTnation Najib's other lawyer Wan Aizuddin Wan Mohammed said Muhammad Shafee was tested positive for Covid-19 on May 31.
#Shafee #NajibRazak #Court #Covid19
https://t.co/cwwzuiy6eH
#NSTnation Shafee said Laidlaw is specialised in business and financial crimes and has consistently been ranked by the UK legal directories as one of their ‘star silks’.
#Shafee #NajibRazak #JonathanLaidlaw #Lawyer
https://t.co/elN7bxb5NZ
#NSTnation Shafee's lawyer Wee Yeong Kang when contacted said Judicial Commissioner Datuk Mohd Ariff Emran Ariffin fixed the date during case management today.
#Shafee #Court #IRB #Taxes
https://t.co/iAtfjem7Fg
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

![abusumayyah_o's tweet photo. IMAMU #SHAFEE ANAKIRI KWAMBA ALLAH YUKO JUU #MBINGUNI📚💦
[__Na Kwamba Allah hushuka ktk mbingu ya duniani__]
Imam al-Shafi‘i (aliyefariki mwaka 204 Hijria).
Allah amrehemu, alisema:
“Kauli kuhusu Sunnah ambayo mimi niko juu yake na ambayo niliwaona wenzetu wakiwa juu yake—ambao ni watu wa Hadithi niliokutana nao na kujifunza kutoka kwao, kama vile Sufyan, Malik na wengineo—ni kukiri ushahidi kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah; na kwamba #Allah yuko juu ya Arshi Yake, katika mbingu Yake, akiwakaribia viumbe Wake kwa namna Anayotaka.”](https://pbs.twimg.com/media/HUxhnHUWsAAsu1U.jpg)
![abusumayyah_o's tweet photo. IMAMU #SHAFEE ANAKIRI KWAMBA ALLAH YUKO JUU #MBINGUNI📚💦
[__Na Kwamba Allah hushuka ktk mbingu ya duniani__]
Imam al-Shafi‘i (aliyefariki mwaka 204 Hijria).
Allah amrehemu, alisema:
“Kauli kuhusu Sunnah ambayo mimi niko juu yake na ambayo niliwaona wenzetu wakiwa juu yake—ambao ni watu wa Hadithi niliokutana nao na kujifunza kutoka kwao, kama vile Sufyan, Malik na wengineo—ni kukiri ushahidi kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah; na kwamba #Allah yuko juu ya Arshi Yake, katika mbingu Yake, akiwakaribia viumbe Wake kwa namna Anayotaka.”](https://pbs.twimg.com/media/HUxhmbMWYAEqWVM.jpg)
![abusumayyah_o's tweet photo. IMAMU #SHAFEE ANAKIRI KWAMBA ALLAH YUKO JUU #MBINGUNI📚💦
[__Na Kwamba Allah hushuka ktk mbingu ya duniani__]
Imam al-Shafi‘i (aliyefariki mwaka 204 Hijria).
Allah amrehemu, alisema:
“Kauli kuhusu Sunnah ambayo mimi niko juu yake na ambayo niliwaona wenzetu wakiwa juu yake—ambao ni watu wa Hadithi niliokutana nao na kujifunza kutoka kwao, kama vile Sufyan, Malik na wengineo—ni kukiri ushahidi kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah; na kwamba #Allah yuko juu ya Arshi Yake, katika mbingu Yake, akiwakaribia viumbe Wake kwa namna Anayotaka.”](https://pbs.twimg.com/media/HUxhlqcW8AAkt0j.jpg)













