Top Tweets for #ShikaMoSundayService
"Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu." Bwana Yesu asifiwe? Umeamkaje msikilizaji? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService Wategea kutoka wapi? ibada wapi leo?
#ShikaMoSundayService
@francismandi
Gaza Operation Iron sword

“Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake,
jina la Bwana linapaswa kusifiwa." Bwana Yesu asifiwe? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService na #Mtumishi @francismandi Waskiza kutoka wapi? Jiunge nasi tumtolee Bwana Mungu wetu Ibada ya Shukurani kwa Mengi Mema na Makuu ambayo ametenda katika amaisha Yetu. Unahudhuria ibada wapi leo?

karibu katika awamu ya kwanza ya #ShikaMoSundayService naye Mtumishi @francismandi. Leo unamtukuza Mungu ukiwa wapi? listen to Barakafm through https://t.co/USuXR5kBaV





"Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA." Bwana Yesu asifiwe? Umeamkaje msikilizaji? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService na @francismandi Wategea kutoka wapi? Unahudhuria ibada wapi leo?
#ShikaMoSundayService
#Mtumishi @francismandi

"Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu." Bwana Yesu asifiwe? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService na @francismandi Wategea kutoka wapi?
Call; 0722 479 800/ 0733 579 800
#ShikaMoSundayService
#Mtumishi @francismandi




@BarakaFmKe @francismandi Diani south coast locked ndani hadi huku nikijiandaa kushiriki Ukunda P.A.G #ShikaMoSundayService
"BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu." Bwana Yesu asifiwe? Karibu katika ibada yetu ya ShikaMo Sunday Service na Mtumishi wa Mungu @francismandi. Leo unahudhuria ibada wapi?
#ShikaMoSundayService
#Mtumishi @francismandi

Kipindi ukipendacho cha #ShikaMoSundayService kipo hewani hadi 10am nami @francismandi. Jumapili njema kaka na dada popote ulipo jumapili hii. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema."Unasikiliza kutoka sehemu gani?
#ShikaMoSundayService
@francismandi

Bishop #MaryKagendo kutoka kanisa la kisima cha Neema yupi studio kukuombea. Hitaji lako la Maombi ni Lipi ndani ya #ShikaMoSundayService nami @francismandi
#MtumishiFrancisMandi
#ShikaMooSundayService

"Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na mengine Mtazidishiwa." Bwana Yesu asifiwe? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService ukiongozwa na Mtumishi wa Mungu @francismandi Wategea kutoka wapi?
#ShikaMoSundayService
#MtumishiFrancisMandi

"Kila chenye pumzi na kimsifu BWANA." Bwana Yesu asifiwe? Karibu katika ibada yetu ya #ShikaMoSundayService na Mtumishi @francismandi Unahudhuria ibada wapi leo?
Call; 0722 479 800/ 0733 579 800 SMS/WhatsApp 0748 312 175
#ShikaMoSundayService
#MtumishiFrancisMandi

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



