Top Tweets for #SimbaPress
"Wydad watakutana na moto wa volcano, siku hiyo lazima wakae na tushinde. Mechi hiyo inawahitaji zaidi Wanasimba. Ni mechi yakutengeneza njia ya kwenda robo fainali, Simba sio timu ya kuishia hatua ya makundi." -Ahmed Ally.
#SimbaPress #NipasheMwangaWaJamii #NipasheMichezo

SIMBA SC WAKO LIVE: Endelea kufuatilia matangazo #mbashara ya utambulisho wa Kocha Mpya wa Simba SC na Benchi lake la Ufundi muda huu kupitia #AzamSports1HD
#SimbaPress

#MICHEZO MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula akikabidhi Tuzo ya Mashabiki Bora wa AFL 2023 kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally kwa ajili ya kuipeleka kwa mashabiki wa Simba mtaa kwa mtaa.
#SimbaPress
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari

(๐๐ฆ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐๐๐ญ๐ฎ)
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa mgeni rasmi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kucheza Novemba 05, mwaka huu atakuwa Kibu Denis Prosper.
#SimbaPress
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheMichezo

"Tunafahamu mchezo ni mgumu dhidi ya Power Dynamos, wote mliona namna walivyotusumbua lakini wanakuja nyumbani Tanzania, sehemu ambayo hakuna aliyetoka salama na hicho hicho atakutana nacho. Bora wangekubali tukamalizana nao kwao." -Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally.
#SimbaPress

BACK TO SCHOOL: Simba wanazungumza na Waandishi wa Habari muda huu kupitia chaneli ya #AzamSports1HD
Endelea kufuatilia...
#SimbaSportsClub #SimbaPress

INONGA, KRAMO WAKO FITI KUIWINDA DYNAMOS
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amebainisha utimamu wa wachezaji wa timu hiyo, Henock Inonga na Aubin Kramo ambao wamekuwa nje kwa mechi kadhaa zilizopita kutokana na majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua.
#SimbaPress #AhmedAlly #CAFCL #LigiyaMabingwa #PowerDynamosSimbaSC
SIMBA SC ICHEZE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA YANGA SC?
Msikie Ahmed Ally akijibu swali hilo baada ya kutangaza kuwa watacheza mechi mbili za kirafiki ili kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Nini maoni yako kwenye hili?
#SimbaPress #AhmedAlly #CAFCL #LigiyaMabingwa #PowerDynamosSimbaSC
"Katika kipindi chote cha kambi tunatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki" Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akitaja maandalizi yao ya kuweka kambi kwaajili ya kuiwinda Power Dynamos ya Zambia kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
#SimbaPress #AhmedAlly #CAFCL #LigiyaMabingwa #PowerDynamosSimbaSC
Msikie Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Imani Kajula akimtambulisha Selemani Matola kuwa Mkuu wa timu za Vijana huku Patrick Rweyemamu akitangazwa kuwa Mkuu wa Programu za Vijana kwenye timu hizo.
#SimbaPress #AzamSportsUpdates @simbasctanzania
"Kuhusu majeruhi, Kanoute anasumbuliwa na nyonga na leo atawasili kambini kukutana na madaktari kama atakuwa sawa ataanza mazoezi, hivyo hivyo kwa Aishi Manula atakutana na madaktari kuangalia hali yake." -Msemaji wa Klabu ya @SimbaSCTanzaniaAhmed Ally.
#SimbaPress

"Furaha ya Wanasimba haijakamilika, wanatudai nusu fainali. Tunawaomba Wanasimba tushikamane, pamoja na ubora alionao Wydad lakini tukisimama kama Simba hakuna linaloshindikana" -Msemaji wa Klabu ya @SimbaSCTanzania Ahmed Ally.
#SimbaPress
"Wydad tunaenda kumfanyia balaa, hawataamini. Dhamira yetu ni kuvunja mwiko wa kuishia robo fainali, kumtoa Wydad. Tunakiri wametuzidi ubora lakini tunaamini tunakwenda kuwatoa. Safari hii tunaitaka nusu fainali." -Msemaji wa Klabu ya @SimbaSCTanzania Ahmed Ally.
#SimbaPress
"Mechi ya Simba na Wydad ndio mechi kubwa barani Afrika wiki hii sababu tunakutana na bingwa mtetezi lakini pia watu wanataka kuona Mnyama akivunja historia ya mwaka 2003 kumtoa bingwa mtetezi." -Msemaji wa Klabu ya @SimbaSCTanzaniaAhmed Ally.
#SimbaPress
"Mechi yetu itakuwa na VAR maofisa wake watafika kesho. Wydad AC na wao watafika kesho saa 5 asubuhi wakiwa na msafara wa watu 50 na watakuja na ndege ya kukodi. Waamuzi na wao watafika nchini kesho." -Msemaji wa Klabu ya @SimbaSCTanzania Ahmed Ally.
#SimbaPress
"Mechi yetu dhidi ya Wydad AC itakuwa ni Jumamosi Aprili 22, saa 10:00 jioni. Mnakumbuka mechi za makundi tulicheza saa 1 usiku lakini mechi hii tumepata saa 10 na hilo ni baada ya kuwaomba CAF sababu itakuwa sikukuu ili kila Mwanasimba aje uwanjani." - Ahmed Ally.
#SimbaPress

@SimbaSCTanzania @ahmedally__ "Kila Mwanasimba lazima atambue kwamba tutaingia Uwanja wa Mkapa kwenda kupambana kuingia Robo Fainali. Hatuko tayari kuishia hatua ya makundi na wakati mechi ya kutupeleka robo tutachezea Uwanja wa Mkapa." -Msemaji @SimbaSCTanzania @ahmedally__.
#SimbaPress
@SimbaSCTanzania @ahmedally__ "Akili na nguvu zetu tunakwenda kuziweka Jumamosi ili tuweze kushinda na kufuzu Robo Fainali. Ni mechi yenye namna moja pekee tu kushinda. Mechi hii inatukumbusha mechi ya AS Vita, safari hii tupo na Horoya." -Msemaji @SimbaSCTanzania @ahmedally__.
#SimbaPress
@SimbaSCTanzania @ahmedally__ "Mchezo wetu dhidi ya Horoya utakuwa ni Jumamosi hii na kikosi kimeingia kambini kujiandaa na mchezo huo. Jana Jumapili wachezaji walipumzika lakini leo tunaanza rasmi mazoezi." -Msemaji @SimbaSCTanzania @ahmedally__.
#SimbaPress
"Hawa Horoya pamoja na ukubwa wao wote tukiwapigia kelele hakuna namna wanaweza kutoka. Hawajazoea kucheza kwenye mazingira magumu ambayo tutawaonyesha siku hiyo. Ukiweza jichanganye kabisa ukiwa unakuja uwanjani." -Msemaji @SimbaSCTanzania @ahmedally__.
#SimbaPress

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers


