Top Tweets for #SimbaYetu
Miongoni mwa makosa makubwa kufanyika ni hiki kitu...Unawaacha wachezaji wazuri ambao wangepata muda wa kutosha na kocha mzuri wangeleta kitu cha faida kwenye timu halafu unaleta watu wa ajabu🚮
#SimbaYetu

Kocha kaanza na viungo wengi halafu anaanza na Freddy, kuna watu kama kapombe na Inonga wamekosa mbadala wa uhakika🤔
#SimbaYetu

Leo wanacheza vizuri kesho hovyo, timu imekosa consistency, kocha hajapata first eleven mpaka leo.... Ule mpira wa Simba kuweka mali chini na kupiga birian haupo tena saiv watu wanabutua tu, wanaenda kuchagua uwanja wa kipuuzi kama uwanja wao wa nyumbani!
#SimbaYetu

Hatuwezi kuweka battle na Utopolo washatuzidi sana sema tu hatutaki kukubali, halafu moja kati ya kosa kubwa tulofanya ni kutaka matokeo ya haraka pasipo kuwekeza kwa vijana huku tukiwaondoa wazee taratibu, mfano leo hii Chama akiondoka nani atabeba majukumu yake?
#SimbaYetu

@SaddickAdams Tanzania kumbe tunajidharau saana ila mambo ya ligi yetu yanavyosemwa huko ndio tunaanza kujiogopa. Soma comments @Tanfootball @shaffihdauda1 @SimbaSCInBlood @DannyAggy @tplboard @CharlieBihemo @Roma_Mkatoliki #simba #Yanga #azam #kumbe #simbayetu
Huwa nawaza sana kwa kichwa changu "Hivi Moses Phiri bila majeruhi yale aliyoyapata katikati mwa msimu kiatu cha mfungaji bora angekikosa kweli??? Pia Simba Sc angekosa kweli kutinga fainali Caf??"
"HAPANA"
Huyu ni GINNI #MosesPhiri mfungaji tishio EA
#WenyeNchi
#SimbaYetu

Watu tumevaa jersey tofauti tofauti cha msingi iwe nyekundu au nyeupe #ajax#sevilla#man u#liver# arsenal#coastalunion na nyingine za timu mbali mbali ht km ya yanga ila iwe nyekundu tu😂😂 #SimbaDay2022 #oneteamonedream #simbayetu #tunaenjoy
At first I used to be offended by some comments on my time line but I later realized that sometimes it’s just a language barrier issue , people don’t mean bad ... I appreciate your comments , keep them coming #SimbaYetu
Hard fought victory , we are through to the next round of the #AzamSportsFederationCup, Hongereni @SimbaSCTanzania family #ASFC @TZSportPesa @azamtvtz #Metl #Uhlsports #NguvuMoja #MlipiNipo #SimbaYetu

Wanasimba mliopo Dodoma tumewafikia. Jumatano Januari 29, 2020 tutakuwa Makao Makuu ya nchi 🇹🇿 kufanya uzinduzi wa kadi za Mashabiki Kanda ya Kati na mgeni rasmi akiwa ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai. Usipange kukosa siku hii ya kihistoria kwa mabingwa wa nchi. #NguvuMoja
Kama bado hujapata kadi yako ya Mashabiki muda ni sasa. #NguvuMoja

@SimbaSCTanzania Huyu Sven atatusaidia sana..kocha yeyote mwenye malengo huwa anaonekana tangu mwanzo tu! Anajitahidi kujaribu kila mchezaji ili atengeneze kikosi chake bora kabisa @SimbaSCTanzania tumpe ushirikiano huyu atatuvusha #NguvuMoja 💪#simbayetu #mustwingame
Appreciation tweet to all @SimbaSCTanzania fans and followers , my VVIP’s - you keep me motivated , your support for this club is unimaginable. I know I speak for everyone from President to our Dada in the office. It’s match day 58 @Uhuru #SimbaYetu #NguvuMoja #MlipoNipo

This is Simba , we take it , one game at a time , tomorrow on Christmas 🎄 day we are at it again at #UhuruStadium @SimbaSCTanzania vs Lipuli FC #NguvuMoja #MlipoNipo #SimbaYetu #Operation3points
Muda wa 📸 #NguvuMoja
This is not just any other fan’s card , it’s a #Visa bank card that can be used #worldwide , bank , transact , swipe and show your support #SimbaYetu #CardiYetu
Jumatano tunamtangaza rasmi Kocha Mkuu. #NguvuMoja
"Tuna mchezo muhimu na watani wa jadi mwezi Januari. Napenda kuwahakikishia kuwa maandalizi na mambo yote ya mchezo huo yapo tayari. Wachezaji watakuwa kambini na tangazo la nani atakuwa kocha mkuu mpya na benchi la ufundi litatoka rasmi Jumatano ijayo."- CEO Senzo. #NguvuMoja

It was a grate day , My VVIP , fans of @SimbaSCTanzania had a field day Selfies all round #NguvuMoja #MliloNipo #SimbaYetu #BunjuYetu #Tanzania 🇹🇿
Tunajiachia tu kwenye uwanja wetu 😂😂 wengine vitu hivi wanaviona tu kwenye picha 🙈 #NguvuMoja

Last Seen Hashtags on Sotwe
momson() *+Filter:native_video
Seen from United States
omegle
Seen from Mexico
แฉะหมดแล้ว
Seen from Thailand
เกย์รับอ้วน
Seen from Thailand
Ukraine
Seen from United States
Momson
Seen from United States
胸の谷間
Seen from Germany
desipunjabi
Seen from India
شطايا
Seen from United Kingdom
nolimit() +filter:native_video #omegle
Seen from Belgium
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers













