Top Tweets for #SmartClassThursday
#SmartclassThursday #HearFromTOs
Episode 4 |Joyceline Marealle| Div 1.7
Tanzania One akizungumza moja kwa moja kutoka Marekani.๐น๐ฟ๐บ๐ธ
Asisitiza kutia bidii katika kila kitu sio masomo tu, ndio siri ya mafanikio kwa kila kitu.๐น๐ฟ๐บ๐ธ
Full Interview : https://t.co/u7o1GJ6zNe
#SmartclassThursday #HearFromTOs
Episode 4 |Joyceline Marealle| Div 1.7
Tanzania One akizungumza moja kwa moja kutoka Marekani.๐น๐ฟ๐บ๐ธ
Asisitiza kutia bidii katika kila kitu sio masomo tu, ndio siri ya mafanikio kwa kila kitu.๐น๐ฟ๐บ๐ธ
Full Interview : https://t.co/IDi6kkUflr
#HearFromTOs | Episode 3
#SmartclassThursday moja kwa moja kutoka Chuo Kikuu @Harvard nchini Marekani.
ASTERIA CHILAMBO alisoma shule iliyopo TEGETA na sasa anasoma @Harvard
Yote ya kuzingatia unapokuwa shule amazungumza hapa >>>
YouTube Channel: https://t.co/pl5LhRKXvz
#HearFromTOs | Episode 3
#SmartclassThursday moja kwa moja kutoka Chuo Kikuu @Harvard nchini Marekani.
ASTERIA CHILAMBO alisoma shule iliyopo TEGETA na sasa anasoma @Harvard
Yote ya kuzingatia unapokuwa shule amazungumza hapa >>>
YouTube Channel: https://t.co/lv60Aly5ml
#SmartclassThursday #TBThursday
Huduma ya PRIVATE TUITION ๐kwa Cambridge Syllabus Ipo!!! (IGCSE).
Walimu zaidi ya 2,000+ wapo tayari kutoa huduma.
Home Tutoring ๐ก & Online Tutoring ๐ป.
Chagua mwalimu๐https://t.co/wNjsVHBWNp
โ๏ธ 0766390826/ 0752156253.
@smartclasstz

#SmartclassThursday #TBThursday
Huduma ya PRIVATE TUITION ๐kwa Cambridge Syllabus Ipo!!! (IGCSE).
Walimu zaidi ya 2,000+ wapo tayari kutoa huduma.
Home Tutoring ๐ก & Online Tutoring ๐ป.
Chagua mwalimu๐https://t.co/7X0RjQPxCt
โ๏ธ 0766390826/ 0752156253.
@smartclasstz

#SmartclassThursday #October1st
Katika miaka ya karibuni wasichana wamekuwa vinara katika mitihani ya kitaifa.
Je, sababu zipi zinapelekea matokeo haya chanya katika sekta ya elimu ?
Tumia #Tag, Changia Mada, Kwanzia 10:30~11:00
Cc: @KennedyMmari @rollymsouth @ayubu_madenge

#SmartclassThursday #October1st
Katika miaka ya karibuni wasichana wamekuwa vinara katika mitihani ya kitaifa.
Je, sababu zipi zinapelekea matokeo haya chanya katika sekta ya elimu ??
Tumia #Tag, Changia Mada, Kwanzia 10:30~11:00.
Cc: @CarolNdosi @MiriamMkanaka @DosaRahma

#SmartclassThursday
Alhamisi hii! 24/09/2020 hakutakuwa na mada ya โKIELIMUโ mpaka week ijayo!
Furahia alhamisi yako, Kumbukumbu za matukio yote na ahadi zote ulizo jiweke kipindi uko shuleni zinatimia??
Fanyia hilo kazi, upo imara usikate tamaa๐ช
@smartclasstz
#SmartclassThursday
Alhamisi hii! 24/09/2020 hakutakuwa na mada ya โKIELIMUโ mpaka week ijayo!
Furahia alhamisi yako, Kumbukumbu za matukio yote na ahadi zote ulizo jiweke kipindi uko shuleni zinatimia??
Fanyia hilo kazi, upo imara usikate tamaa๐ช
@smartclasstz
Kwakumalizia: Swala la gharama nafuu na Upatikanaji wa elimu kwa kaisi kuna hatua imepigwa, tunarudi bado tunachangamoto kubwa hasa kwenye ubora wa elimu yenyewe, na changamoto hii inatokana na sababu lukuki, moja ya sababu hizo ni Lugha. #SmartClassThursday
#SmartclassThursday
Wazazi wa zamani walikuwa wakitamani kweli watoto wapate kusoma hata uatakapo rudi shuleni watakutafutia walimu hata kama ni mbali ilimradi uwende ukaendele kujifunza.
lakini leo kisasa kabisa unaingia https://t.co/7X0RjQPxCt unapata mwalimu bila usumbufu.
#SmartclassThursday
Jukwaa la https://t.co/7X0RjQPxCt kwa sasa limepata kumwezesha kila mzazi wa kileo, kuweza kupata walimu bora kabisa bila usumbufu kama zamani ilikuweza kumsaidia mtoto kuweza kuendelea kujifunza na kufanya vyema shuleni ilikufika mbali kielimu.
@DosaRahma Ukuaji wa kielimu umefanya jamii kubwa kujiona kustaarabika si kufanya tena zile kazi ambazo ni asili yetu #SmartClassThursday
#SmartclassThursday
@smartclasstz malengo yetu taratibu tunavyozidi kukuwa tuweze kuifanya https://t.co/7X0RjQPxCt kuwa jukwaa bora kabisa litakalo weza kumfanya kila mtu kuhusudu elimu kama tunavyohusudu maswala mengine ya kijamii.
kwa ufupi nimeeleza sababu tatu ambazo binafsi nadhani ndizo zilizo changia sana wazazi wengi kuamka kwenye swala la kupeleka watoto shuleni tofauti na zamani.
1. Accessibility
2. Affordability
4. Perceptions Regarding decent works.
#SmartClassThursday
#SmartclassThursday
Licha ya wazazi wengi wa kileo kutambua umuhimu wa swala la elimu katika maisha ya watoto wao, imekuwa changamoto kwa upande wa vijijini bado watoto wengi kupata kuhimizwa kuhusu swala la elimu imekuwa changamoto kwao.
#SmartclassThursday
Wazazi wengi wa kileo ni wasomi, wengi wamefikia elimu ya upili, kwaiyo imekuwa kama chachu ya kutambua uzito wa swala la elimu katika maisha ya watoto wao.
Gharama nafuu, pia ni moja ya sababu ambayo imeshawishi wazazi wengi kupeleka watoto wao mashuleni, kuna baadhi ya familia zilishindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni kutokana na kuto kumudu gharama, kwa sasa elimu ni bure msingi na sekondari #SmartClassThursday (Affordability)
#SmartclassThursday
Wazazi wengi wanachukulia kwa uzito swala la elimu katika dunia ya sasa, wazazi wengi wametambua mabadiliko ya dunia katika nyanja mbalimbali za sayansi asilia na sayansi jamii, ndio maana sio ajabu kukuta mtoto wa 10 yrs anajifunza code katika miaka hii.
Last Seen Hashtags on Sotwe
เนเธเธดเธเธเธดเธ
Seen from Portugal
smallpenis
Seen from Thailand
localpashto
monkiesin
Seen from United States
HastingsDEMU
Seen from United States
minichat() +filter:native_video
Seen from Turkey
L508D
Seen from United States
ๆ่ถ
Seen from France
Plussized
Seen from Italy
zebanopoolfurniture
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









