Top Tweets for #SpriteBballKings
Mashindano ya mpira wa kikapu ya SPRITE BBALL KINGS mara ya mwisho yalifanyika mwaka gani?
Weka comment yako hapa chini π
#DondooZaMichezo #SpriteBballKings #MpiraWaKikapu

Mkali wa mchezo wa kikapu Tanzania ambaye aliwahi kung'aa na mashindano ya #SpriteBballKings chini ya usimamizi wa #EastAfricaTV na @earadiofm Baraka Sadick amezungumzia jinsi alivyowavutia wadau mbalimbali kwa kipaji chake nchini Ujerumani kwenye mashindano ya majeshi.
#VIDEO MVP wa #SpriteBballKings 2019 Baraka Sadick ateuliwa kwenda Nairobi Kenya :- https://t.co/OP4cawP7Rc
Mabingwa wa Sprite Bball Kings 2019, Mchenga Bball Stars, washindi wa pili, Tamaduni na mshindi wa tuzo ya MVP, Baraka Sadick walivyokabidhiwa zawadi zao katika ofisi za EATV & EA Radio, Mikocheni Dar es Salaam.
#SpriteBballKings
#NomaKweli

Kilichojiri kwenye fainali ya tatu ya Sprite Bball Kings 2019 kati ya Tamaduni na Mchenga Bball Stars, na Mchenga kuibuka mabingwa kwa mara ya tatu.
#SpriteBballKings
#NomaKweli
MVP wa misimu miwili mfululizo ya Sprite Bball Kings (2018 na 2019), Baraka Sadick kutoka Mchenga Bball Stars.
#SpriteBballKings
#NomaKweli


Huyu ni Baraka Sadick kutoka Mchenga Bball Stars, ndiye mshindi wa tuzo ya MVP wa michuano ya Sprite Bball Kings 2019.
#SpriteBballKings
#NomaKweli




Mchenga Bball Stars wakipokea hundi ya Shillingi milioni 10 kwa kuibuka mabingwa wapya wa Sprite Bball Kings 2019.
#SpriteBballKings
#NomaKweli

Tamaduni wakipokea hundi ya shillingi milioni 3 kwa kuibuka nafasi ya pili katika michuano ya Sprite Bball Kings 2019.
#SpriteBballKings
#NomaKweli


Holaaaa Mchenga back to back Champs !!
#SpriteBballKings
Game Over... congrats to Mchenga back to back Champs !!
Tamaduni played better today, but still fell short. #SpriteBballKings
Mchezo umemalizika muda huu kwa Mchenga kushinda kwa vikapu 115 dhidi ya 109 vya Tamaduni, Baraka Sadick akifunga pointi 52, rebounds 3 na assists 3, hivyo Mchenga wananyakua ubingwa kwa mara ya tatu.
#SpriteBballKings
#NomaKweli

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











