Top Tweets for #Subiri
فَاصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ وَلَا تُطِعْ مِنْهُمْ آثِمًا أَوْ كَفُورًا..."
"Na #subiri juu ya hukumu za mola wako Wala usimtii miongoni mwao mtu mwenye #dhambi au mwenye #kufuru."
BALI HIYO AYA WANACHUONI WA TAFSIRI WOTE WAMEIFASIRI KWAMBA
1_kwanza kwanini mtume kaambiwa afanye subra?⁉️
_afanye subra juu ya makadirio ya Allah juu yake, asubiri juu ya utii kwa Allah ...kwani kama huna nguvu ya kuondoa munkar ..sheria haikukalifishi kwahilo...fanya subra mpaka Allah atakapoleta hukmu yake
🔹️Ima uamrishwe kupigana nao au Allah akawaangamiza au upewe nguvu ya kupambana nao
_
2_pili iliteremshwa makka kipindi ambacho mtume hakua na dola wala hakuamrishwa kupigana jihaad ...alikua dhaifu ...sasa hii aya haikua kipindi mtume ana nguvu madina
Tunajifunza kwanza kipindi hatuna nguvu juu ya watawala waovu au makafiri..tunatakiwa tufanye subra kama aya ilivyoanza mwanzo "fanya subira juu ya hukmu za Allah"
🫴subira yenyewe ;
🔹️ ni kwamba utafanya maamrisho ya Allah kama swala na ibada zingine..lakini muda huo ukiwa chini ya utawala wa kikafiri au mtawala muislam muovu....usije ukamtii kwenye maovu au maasi ...bali utatii tu kwenye mema
🔹️kwasababu huwezi ukawa chini ya mtawala muovu ispokua lazima kuna amri na sheria atakua kaziweka juu yako ...kwahiyo utalazimika mambo mawili uzitii sheria za kikafiri au usizitii ukumbane na adhabu
🫴kama ilivyokua kwa mtume pale makka
"Allah akamwamrisha asitii kwenye maasi pekee...hakuambiwa kwamba asiwatii kwenye kila kitu hata kama ni wema" kama wanavyodai makhawaarij
3_Tatu sababu nuzuul yake
Anasema imam al qurtuby ktk tafsiri yake
فروى معمر عن قتادة قال :
قال أبو جهل : إن رأيت محمدا يصلي لأطأن على عنقه . فأنزل الله - عز وجل - : ولا تطع منهم آثما أو كفورا .
ويقال : نزلت في عتبة بن ربيعة والوليد بن المغيرة ، وكانا أتيا رسول الله - صلى الله عليه وسلم - يعرضان عليه الأموال والتزويج ، على أن يترك ذكر النبوة ، ففيهما نزلت : ولا تطع منهم آثما أو كفورا .
🫴ilishushwa aya hiyo kwa ajili ya #abujahal au #utba bina rabia
Abu jahal alitaka kumzuia mtume asiswali kwenye alkaaba akadai kwamba akimuona basi atamkata shingo yake
Utbah bin rabia yeye alisema kumwambia mtume hivi;
"Nataka nikuozeshe mtoto wangu wa kike mzuri kuliko wanawake wote hapa makka au nikupe mali zangu zote ilo uache kuhubiri Mungu mmoja"
🫴Ndio Allah akashusha aya hii kwamba;
وَلَا تُطِعْ مِنْهُمْ آثِمًا أَوْ كَفُورًا..."
"Wala usimtii miongoni mwao mtu mwenye #dhambi au mwenye #kufuru."
🤏Kwahiyo Allah akamwamrisha mtume afanye subra juu ya maudhi yao lakini asiwatii kwenye hayo maasi wanayotaka wamwamrishe ...kwa maana aache swala au aache kitangaza Tawheed
🔹️kwa maana asiwatii kwenye hilo wanalomwitia la kuacha kuswali na kuacha kulingania #tawhwed
🫴SASA HII AYA HAIJAJA KUKATAZA KUWATII WATAWALA KWENYE MAMBO YASIO NA MAASI
🔹️imekuja kukataza kuwatii kwènye yale #maovu tu kama yalivyoainishwa na imamu al qurtuby ktk tafsiri yake
Kwasababu pia mtume alikataza kutii kwenye masasi na akamrisha kutii kwenye mema
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ ﷺ:
"لا طاعة لمخلوق في معصية الخالق"
(رواه الترمذي وصححه الألباني)
Kutoka kwa Abu Hurayrah (r.a), Mtume wa Allah ﷺ amesema:
"Hakuna utii kwa kiumbe katika kumfanyia maasi Muumbaji(Allah)"
HADITHI INGINE
"Ni juu ya mtu(muislamu) #Kusikiliza na #kumtii katika mambo yote anayopenda na anayoyachukia, isipokuwa pale anapoamriwa kufanya maasi; basi hakuna kusikiliza wala #kumtii."
«السمعُ والطاعةُ على المرءِ المسلمِ فيما أَحبَّ وكَرِهَ، ما لم يُؤمرْ بمعصيةٍ، فإذا أُمِرَ بمعصيةٍ فلا سَمْعَ ولا طاعةَ».
[[رواه البخاري برقم: (7144) واللفظ له، ومسلم برقم: (1839)، من حديث ابن عمر -رضي الله عنهما-.
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @BlackWolfBeast @IsaRouhan13797 @jtalb8 @khilafah8 @Matallahkhamis @Rahim_Meghji
@AbuuSumayyah10 @HashimuMok23111 @Mbwana_1
@CharlieBihemo Ww jamaa umejifanya kupost na kuweka alama ya kuuliza #wakati ww ndie umeedit vipande vipande vya sauti ya Mhe.@TunduALissu haina shida #Subiri mkijibiwa muanze ndururu

#NowPlaying Matajiri wawili kwenye ngoma moja ni tajiri wa mahaba, @KassimMganga na tajiri wa sauti @BellaChristian1 wanakwambia #Subiri ipo hewani muda huu ting'ani #EastAfricaTV wakati ukisubiri kutazama kipindi cha #DADAZ
#TBT #TogetherTunawakilisha
@MariaSTsehai Nikwel kabisa Shangazi @MariaSTsehai CCM sii watu wa kuwaamini kabisa wamejaa Ulaghai mwingi sana ,..Uzuri nikwamba kilakukicha ndio wanazidi kujianika waziwazi ,Ila naamini Mungu keshaawafikisha mwishoni kabisaa #subiri 2025 utaamini hili ,salama yao ni mseto au laah ndio byebye
@BukasaGlory Apprenez à prier avant de dormir, ça vs évitera ce rêve. #subiri l'heure n'a pas encore sonné
Last Seen Hashtags on Sotwe
momson((())) filter:videos
Seen from Argentina
momson()*+*+*+filter:native_video
Seen from Turkey
ometv
Seen from France
Ginger
Seen from Turkey
BulandshahrMurder
Seen from Canada
fethiyetravesti
Seen from Turkey
lxlii filter:videos
Seen from Argentina
momson()&nolimit()*** +filter:native_video
Seen from United States
teenage momson
Seen from Turkey
Marloe
Seen from Italy
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers






