Top Tweets for #SupaTuesday
Je, unajua kuwa video na picha kwenye WhatsApp zinaweza kumaliza bando lako bila wewe kujua?
Cha kufanya zima media auto download ili kudhibiti matumizi ya data:
Ingia Settings > Storage and Data > Media Auto Download > Chagua “Never”
#SupaTuesday #datamanagementtips

Ndani ya M-Pesa Supa App ni huruma gani unaipenda zaidi na inakurahishia mambo yako haraka?
#pamojatunaweza #supatuesday

Dondosha jibu hapo chini kwenye comments, bando gani na Kwanini 😆.
#Supatuesday

Dondosha jibu kwenye comments.
#SupaTuesday


Mwezi mpya umeanza!
Hii message ushaipokea? 😆
Tuambie hapo chini kwenye comments.
#SupaTuesday

Katika siku ya Kimataifa ya Faragha, acha tukupe michongo ya kulinda taarifa zako za binafsi ukiwa mtandaoni 😌
#SupaTuesday

Wafanyakazi oyeee!
Haya tuambie hapo chini kwenye comments kutumia GIF, kazi yako ya kwanza ulikuwa unafanya nini?
#SupaTuesday

Tuambie hapo chini kwenye comments, kitu gani ulichojifunza shuleni ujawahi kukitumia ukubwani? 👀😂
#SupaTuesday

Msimu huu wa Shangwe tunakufuata muda wowote popote ulipo na M-Pesa ofa kama zote!
Embu tuambie hapo chini kwenye comments, ukipewa punguzo la 10% bolt safari ya kwanza ni wapi?
#shangwepopote #SupaTuesday

Showmax Imefika!
Furahia EPL mubashara, filamu kali, tamthilia na vipindi vya kusisimua, katuni za watoto na burudani zingine kibao!
Tuambie hapo chini kwenye comments, ukipewa MB za kutosha ni movie gani utaiangalia bila kuchoka?
#ShowmaxImefika #SupaTuesday

Wangapi tumetamani kuwa na uwezo wa kumpigia mtu yoyote bila kikomo?
Ukipata bando hilo unampigia nani kwanza?
#SupaTuesday
#MtuniConnection
#VYB

Tumerudi na kichemsha bongo kidogo tu 😆
Tuambie hapo chini kwenye comments, namba gani inafuata kwenye mtiririko huu?
#SupaTuesday

Ni kipande kipi kinakamilisha mchoro huu kati ya A, B na C?
Tuambie kwenye comment chini hapa 👇
#SupaTuesday

Huku Vibe Ni Balaaa!
Tuambie wimbo mkali unaokuvusha wiki hii 😄
#SupaTuesday

Zingatia ni mwisho wa mwezi, tuambie salio lako la M-Pesa kutumia GIF hapo chini kwenye comments 🤣
#SupaTuesday
#NiBalaaa

Cheka na vifurushi bomba vya Cheka kutoka Mtandao Supa!
Kuna vifurushi vya siku, wiki na mwezi! Je, unajua bei zake?
Tuambie hapo chini kwenye comments.
#SupaTuesday

Hebu tuambie kwenye comments, ni malipo gani uliyafanya kwanza baada ya kupokea mshahara mwezi uliopita?
#SupaTuesday

''Pong’ chunywa gi hera mosiko okinyi kokinyi, mondo wawer kendo wabed mamor kuom ngimawa duto.'' Zaburi 90:14 #NguonoMarNyasaye Obed Kodi ndalo duto mag ngimani.
Machiegni wapak Jawar an
@victorjuma1 #Kogwen2024
#SupaTuesday
Photo:Courtesy

SImu yako ina % ngapi ya chaji?
Tuambie kwenye comments kwa kutumia GIFs 🤔😂
#SupaTuesday

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers






