Top Tweets for #TBCDigital
ππππ ππππππππ!
11.04.2026 | Saa 2:00 Asubuhi
#TBCTaifa #TBCDigital #YASC


@MsLACampaign @SuluhuSamia @ikulumawasliano @KassimMajaliwa_ @DBiteko @Hakingowi @j_kabudi Msaada wa kisheria wa Mama Samia kwa haki, usawa, amani na maendeleo
@MsLACampaign @sisiniTanzania @ikulumawasliano @matokeochanya @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
.
.
.
#TBCDIGITAL #tbc_online #wasafifm

Fuatilia pia matukio mbalimbali kutoka kwenye kongamano hilo kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii za Instagram, mtandao wa X na Facebook kwa anwani ya Tbconline.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Machi 04, 2025, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia nishati ya umeme.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Wageni mbalimbali wamefika katika
Hoteli ya Johari Rotana mkoani Dar es Salaam, unapofanyika uzinduzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari leo Machi 03, 2025.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline
πΈ @james_range3
βπ» @rahma_hussein25

Mkutano huo utafanyika Jijini Mbeya kuanzia Februari 17 hadi 21, 2025 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie; 0765 288 798 au 0655644248
#Washitiri2025 #TBCupdates #TBCdigital
Ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024
Unafahamu kuwa leo Desemba 27, 2024 ni siku ya βIjumaaβ ya mwisho kwa mwaka 2024?
Umeitumia vipi siku hii?
βπ»@rahma_hussein25
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Dansa maarufu, Angel Nyigu akitoa burudani ya kucheza katika jukwaa la Kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya kupikia ya βRafiki Briquettesβ inayofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke mkoani Dar es Salaam.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Mfalme wa Singeli nchini, Dulla Makabila akiburudisha wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliofika kushiriki kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia ya Rafiki Briquettes.
βπ»@rahma_hussein25
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Meya wa Manispaa ya Temeke mkoa ni Dar es Salaam Abdallah Mtinika atakuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia ya Rafiki Briquettes Tupo mbashara kupitia TBC1 na TBC Online kwenye mtandao wa YouTube
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Mmoja wa wauzaji wa chipsi akitumia mkaa wa Rafiki Briquettes kupika aina ya chips kwenye Viwanja vya Mwembeyanga Temeke mkoani Dar es Salaam.
Leo Desemba 22 mkoa wa Dar es Salaam unahitimisha kilele cha Wiki ya Nishati Safi.
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Silent Ocean wanakwambia katika droo ya tatu washidi 11 wameondoka na zawadi kabambe ikiwemo Guta.
Endelea kuagiza na Silent Ocean ujishindie zaidi.
#tbconline #tbcupdates #tbcdigital
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Hamis Mnyonge, ameeleza kuwa Uwanja wa KMC Complex umekuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa manispaa hiyo. Akizungumza katika kipindi cha Jambo Wikiendi cha TBC1, Mnyonge amesema:
#tbconline #tbcdigital
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kocha mpya wa kikosi cha wana Jangwani anayechukua mikoba ya Miguel Angel Gamondi kuwa ni Sead Ramovic.
#TBCdigital #TBCOnline

Mshambuliaji wa Fountain Gate FC ndiye kinara wa ufungaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa.
#NBCLigiKuu #FountainGateFC #TopScorer #TBCDigital #TBCUpdates #TBCOnline

Kocha wa Azam FC, Rachid Taussi amefanikiwa kuchukua tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba.
Rachid alijiunga klabuni hapo mwezi Septemba, 2024, hivyo amefanikiwa kuchukua tuzo hiyo kama kocha aliyeitumikia Ligi Kuu ya NBC kwa muda mfupi zaidi.
#tbconline #tbcdigital #TBCUpdate

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 29, 2024 anamwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika mkutano Mkuu wa tano wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Usikose kutazama Kipindi cha Tunatekeleza leo Oktoba 23, 2024 ifikapo saa 12:30 jioni.
Ni kupitia TBC1 na mtandao wa YouTube wa TBC online.
#Tunatekeleza #TBCupdates #TBCdigital

Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimit()+*+*+filter:native_video
Seen from Indonesia
AnasuyaBharadwajHot
Seen from India
Bikereg
Seen from United States
pedowhore
lindus
Seen from Italy
ΰΈΰΈ§ΰΈ’ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ£ΰΈ΅ΰΈ’ΰΈ
Seen from Thailand
latexhood
Seen from South Africa
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈͺΰΈΰΈ’ΰΈΰΈ²ΰΈ§
Seen from Thailand
rr34 nsfw animation
Seen from Brazil
gay ngocok
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers















