Top Tweets for #TFFPress
YANGA YAGANGA YAJAYO: "Ile shamrashamra tumeitoa kichwani" maneno ya Cedric Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga SC akizungumzia maandalizi yao kuwakabili KMC hapo kesho kwenye mchezo wa NBC Premier League.
Burudani hii itaanza saa 1:00 usiku #LIVE #AzamSports1HD
#TFFPress #NBCPL
''Kuhusu ligi kuu kurejea tunasubiri mwongozo wa serikali lakini tumefurahi Rais @MagufuliJP anania ya kurejesha ligi, hata FIFA wameeleza kila shirikisho lihakikishe linafuata maelekezo ya serikali kabla ya kurejesha ligi'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''Tunamshukuru Rais @MagufuliJP kwa mchango wake wa Bil.1 kwenye maandalizi ya AFCON ya vijana, alitusaidia sana kwa kipindi hicho ilikuwa ngumu kutafuta vyanzo vya mapato kwingine na kufanikisha ila serikali ilitusaidia sana'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''Kuhusu malipo ya waamuzi wa ligi kuu, kweli ni changamoto ambayo ipo ila ndani ya siku mbili hizi tunaanza kulipa na tutaanza na waamuzi wa ligi kuu ya wanawake na baadaye waamuzi wa ligi kuu ya soka ya wanaume VPL'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''Jana tulifanya Video Conference na watendaji wa FIFA wamekiri kuwa TFF ni shirikisho ambalo linaongozwa vizuri na lina mipangilio kuliko hata baadhi ya nchi za Ulaya na kwakweli sisi kama TFF tumefanikiwa sana'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''Fedha dola laki tano zinazosemwa zimeliwa ni zile za awamu ya pili ya Bil 2.3 za kila mwaka, kilichobadilika mwaka huu Rais wa FIFA ameamua kuzitoa kabla ya Julai kwasababu ya janga la Corona ili kusaidia mashirikisho'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''Moja ya masharti makubwa ya kupata fedha za FIFA ni kuwa na timu imara za taifa na ziwe zimecheza mechi za kimataifa zisizopungua 4, yaani timu ya wanaume, wanawake, U17, U20 na pia uwe na mfumo wa kisasa wa usajili #FifaConnect'' - Kidao Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

''FIFA kila mwaka wanaipa Tanzania Bil 2.3 ambazo hutoka kwa awamu mbili yaani Januari na Julai na huwa unafanyika ukaguzi wa matumizi ya awamu iliyopita kabla ya kupewa tena'' - Kidao Wilfred, Katibu Mkuu @Tanfootball
#TFFPress

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

