Top Tweets for #THEinterview
#TheInterview | Jerome Isaka, mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam, akitoa maoni yake kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027 moja ya matarajio yake kwenye Bajeti ya leo ni kuona bajeti inayomuangalia sana Mwananchi wa kipato cha chini zaidi.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview | Jerome Isaka, mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam, akitoa maoni yake kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027.
Anasema huduma za afya bado ni changamoto kwa wananchi wengi, akieleza kuwa wakati mwingine kwenda kumuona daktari kunaweza kuchukua hadi saa mbili kutokana na msongamano wa wagonjwa na upungufu wa huduma.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview | Jerome Isaka, mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam, akitoa maoni yake kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027. Anazungumzia matarajio yake kwa Wizara ya Ujenzi na jinsi bajeti yake itakavyoweza kugusa maisha ya mwananchi wa kawaida kupitia maendeleo ya miundombinu na huduma za usafiri.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview | Mchambuzi wa masuala ya uchumi Buberwa John Mwombeki anasema Bajeti itakayowasilishwa leo Bungeni kuwa kicheko au kilio kwa Mwananchi inategemeana na matumizi binafsi ikiwa matumizi yanazidi kipato basi lazima iwe kilio.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview | Makamu Mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa Dar es salaam Serikali ya mtaa wa Feri Kigamboni Razolous Mwakiposa anasema kwa kawaida Mwenyekiti hana mshahara bali ana posho tu kwa mwezi ambayo ni shilingi elfu hamsini.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview | Makamu Mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa Dar es salaam Serikali ya mtaa wa Feri Kigamboni Razolous Mwakiposa anaweka wazi kwa kusema kwenye utaratibu wa kawaida Mwenyekiti wa mtaa ana siku mbili tu za kuzungumza au kusikiliza kero za wananchi.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview by @kthaparoffice:
"The real Trinamool is Mamata Banerjee and she will return to power; the BJP is my enemy till death": @MahuaMoitra
Watch: https://t.co/kXYHZFv9tB
Today on #TheInterview, we discuss protecting vulnerable groups, including children, the elderly, and persons with disabilities, during fire emergencies. How can we ensure no one is left behind in a crisis?
Join Abiodun Adelowore and Amodu Shakiru at 9:00 AM WAT.

#TheInterview | @exaudwamtei ameuliza swali kubwa na muhimu ambalo kila mmoja wetu angependa kufahamu ‘’Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa/Kijiji jukumu lake kubwa ni lipi?’’ na hapa Mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa Dar es salaam Serikali ya mtaa wa Feri Kigamboni Juma Abas anatupa majibu yake.
#EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #TheInterview
#TheInterview |@exaud_msaka_habari alipomuuliza Said Issa Mohammed, kada aliyetimuliwa CHADEMA kuhusu ukaribu wake na wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amekiri wazi kuwa urafiki wake si tu CHAUMMA hata kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
#SupaBreakfast | #EastAfricaRadio | #TheInterview
#TheInterview | Said Issa Mohammed, kada aliyetimuliwa CHADEMA anaweka wazi sababu ya kutokwenda Mahakamani kusikiliza kesi ya inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ni kukosa ushirikiano kutoka kwa wanachama wenzake.
#SupaBreakfast | #EastAfricaRadio | #TheInterview
#TheInterview | @exaudwamtei ameuliza swali kwa Said Issa Mohammed, kada aliyetimuliwa CHADEMA kutaka kujua kitendo cha yeye kukipeleka chama Mahakamani kitachukuliwa kwenye sura gani na Mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe ikiwa madai yake yalikuwepo hata kipindi Mbowe ni Mwenyekiti wa chama hiko.
#SupaBreakfast | #EastAfricaRadio | #TheInterview
#TheInterview | Said Issa Mohammed, kada aliyetimuliwa CHADEMA anasema kilicho mshtua zaidi siyo kufukuzwa ndani ya chama bali ni chama ambacho kinapambania haki lakini kimeikanyaga Katiba yake.
#SupaBreakfast | #EastAfricaRadio | #TheInterview
#TheInterview | Said Issa Mohammed, kada aliyetimuliwa ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mara baada kesi ya mgawanyo wa mali kufutwa na Mahakama anaweka wazi kuwa dhamira yake hiyo ya kwenda mahakamani haikuwa na msukumo wa mtu yoyote nyuma ni maamuzi yake binafsi.
#SupaBreakfast | #EastAfricaRadio | #TheInterview
#TheInterview | One of the world's largest armies, a massive deployment of security forces, years of operations, and yet Manipur continues to struggle with violence, mistrust, and deep ethnic divisions. Why has lasting peace remained so elusive? Is this merely a law-and-order challenge, or does the crisis reveal deeper political, social, and strategic fault lines that military deployments alone cannot resolve?
Watch The Interview with @kumkumchadha as she speaks to a key voice at the heart of the debate, examining why peace remains out of reach in Manipur and what it will take to break the cycle of conflict.
Holy fuck I’m getting honeypotted #theinterview
🎥#WATCH | Why does Manipur remain trapped in conflict despite a massive security presence? In this segment of #TheInterview, the spotlight is on the stark contrast between India's response to the Pahalgam terror attack and the prolonged crisis in Manipur. From hostages and armed groups to the Kuki-Naga conflict and questions over Delhi's silence, this conversation explores the uncomfortable questions surrounding one of India's most unresolved crises.
Watch The FULL interview with @kumkumchadha 👇
https://t.co/UyWKMdAA4i

#TheInterview | Has Manipur's conflict evolved from a two-sided ethnic confrontation into a far more complex and dangerous multi-front crisis? As tensions between Kuki and Naga groups intensify, concerns are growing over competing territorial claims, historical grievances, and allegations that long-simmering disputes are now resurfacing in the shadow of the larger Kuki-Meitei conflict. While Naga groups insist they remained neutral during the peak of the violence and often acted as mediators, they now claim that expanding demands over land and political influence have brought them into direct conflict with Kuki organizations.
Watch The Interview with @kumkumchadha this Sunday at 11:00 AM.
Know more: https://t.co/ZtYliltm2i
#TheInterview By Karan Thapar:
@kthaparoffice is joined by @sidhant_sarthak to discuss how vulnerabilities in the CBSE’s OSM portal and concerns over its service provider prompted him to investigate the tendering process behind the system.
Out Now: https://t.co/nt05iqSU6p
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.3M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.8M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.4M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.1M followers





