Top Tweets for #TLSsection4
*NI LEO!* Kongamano la Kitaifa la Wadau kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
#TLSSection4

*NI KESHO!* Kongamano la Kitaifa la Wadau kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
#TLSSection4

Muendelezo wa mada......
#TLSSection4

Mada zitakazowasilishwa na kuchakatwa katika Kongamano la Kitaifa la Wadau kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Ni jumamosi Wiki Hii...
#TLSSection4

Kongamano la Kitaifa la Wadau kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
#TLSSection4

TLS brings to you the National Stakeholders’ Symposium on 2025 General Elections in Tanzania. The symposium is scheduled to be held on 03rd May 2025 at TLS HQ (Wakili House), from 0900hrs
#TLSSection4 #GoodGovernance

Statement on Tanzania’s Violent Crackdown on Peaceful Assembly, Malicious Arrest, and Treason and Publication of False Information Charges
against Human Rights Lawyer and Opposition Leader Tundu Lissu
To download the pdf document click ==> https://t.co/xZ4FTVWElx
#TLSSection4 @L@LawyersofAfrica @ealawsociety @ug_lawsociety @SADC_News @ICJ_org @ZambiaLaw @ChademaTz @TZMsemajiMkuu @Mwabuk2Boniface @ccm_tanzania @ACTwazalendo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI TUNDU A. LISSU.
#TLSSection4 @judiciarytz @ChademaTz @TZMsemajiMkuu @ccm_tanzania @Mwabuk2Boniface

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yawaibua TLS Kanda ya Bagamoyo.
#TLSSection4
https://t.co/m1p47MSsTg

Rais wa @TanganyikaLaw wakili @Mwabuk2Boniface akiwakaribisha mawakili na wanataaluma kwenye mkutano wa Anuai za Kitaaluma utakaofanyika jijini hoteli ya Lush Garden jijini Arusha kuanzia tarehe 11 - 16 Novemba 2024.
#DiverstyConference #TLSSection4
Wajumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wamekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa TLS wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo tarehe 16 Oktoba 2024 makao makuu ya chama hicho Wakili House jijini Dar es Salaam.
#TLSSection4

Wanachama wa TLS mkoa wa Ubungo wamejumuika katika Wakili Bonanza iliyohusisha michezo mbalimbali iliyolenga kuwakutanisha mawakili na kuchangamana. Sambamba na burudani mawakili wamepata fursa ya kupewa elimu ya Afya ya Akili kutoka kwa mtaalamu wa Afya ya Akili.
#TLSSection4

Matembezi ya Amani na Msaada wa Kisheria kutolewa bure katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam. Wanawake Wanasheria wa TLS, wakishirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria wanakukaribisha kwenye Matembezi hayo yenye kulenga kupinga Ukatili dhidi ya Watoto. #TLSSection4

@Mwabuk2Boniface Point Noted ✍️
"Ukiwa Kiongozi Punguza Kuongea Sana, BALI FANYA VITENDO ZAID"
Mr. President @Mwabuk2Boniface
Tunaomba utusaidie: Weka Legacy Chief ili tukukumbuke;
Shawishi vyama 4 VIUNGANE kumfurusha POLICCM ili Tupate Katiba Mpya.
Bila CCM kupisha! No way Out
#TLSsection4
@John_Pambalu @DEUSDEDITHSOKA Nilimkumbusha mhe Rais kwa Aya hii hii tarehe 8 Sept Tena kwa kiswahili, kwahiyo kaka @john_pambalu mwenyez mungu anasema "kumbushaneni hakika ukumbusho huwafaa walio wema" umefanya wema wako kaka ktk hafla ya #TLSsection4

Advocacy around enforced disappearances @Advocate_Kisabo @abdulnondo2 #TLSSection4 #WakoWapi @TanganyikaLaw
Huwezi kumtenganisha mafwere na @SuluhuSamia hawa ni kitu kimoja kwenye mipango yote ya matukio ya utekaji, huyu mafwere pamoja na kutajwa kote kuhusika na utekaji na mauaji bado haguswi sbb anapata backup toka kwa @SuluhuSamia mwenyewe!

Last Seen Hashtags on Sotwe
gay #nude #sex
Seen from France
mitb
Seen from Turkey
متحول
Seen from Algeria
nalgasyalgomás
Seen from United States
monkeyappwinsFull
Seen from Spain
omegle() +filter:videos()
Seen from Mexico
bigprolapse
Seen from Turkey
Omegle video
Seen from United States
vrep
Seen from United States
TheDomeTower
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.7M followers























