Top Tweets for #TZAUpdates
#TZAUpdates Taarifa kutoka kwa Familia ya Profesa J inasema hali ya @ProfessorJayTz inaendelea kuimarika siku hadi siku.
Sala na maombi ya Watanzania vimeendelea kusaidia Afya ya Jay pamoja na huduma nzuri toka kwa Wauguzi wa Hospital ya TAIFA Muhimbili.
#TZAUpdates 'Nyimbo za Rotimi nazifahamu lakini kwenye simu yangu sina' - JUX Live on XXL ya @CloudsMediaLive .
#TZAUpdates JUX amesema kuwa yuko kwenye mahusiano kwa sasa na ukifika muda wa kujua ni kutoka ndani ya nchi au nje atawafahamisha Mashabiki zake.
Source XXL ya @CloudsMediaLive .
#TZAUpdates Mirabaha sio makusanyo ya kawaida ya kazi ya Msanii au Mbunifu.

#TZAUpdates Miaka 20 imetimia leo toka Wimbo wa kwanza wa @MwanaFA #IngekuwaVipi ft.@jaymoefamous utoke Redioni kwenye Kipindi cha #BongoFleva Cha CloudsFM.Wimbo huo ulitoka 02.02.2002 wakati Dj na host wa Kipindi akiwa ni #DjSteveB 'DjSkills'.Upi kwako ni wimbo bora toka kwa FA?

#TZAUpdates 2. COSOTA ilifanya jitihada za kupata taarifa kutoka kwa baadhi ya vituo vingine vya Redio ambavyo ama havikuweza kuwasilisha taarifa za matumizi ya muziki au taarifa zao hazikutumika vituo hivi ni Wasafi FM, na Radio Quran Dar es Salaam na C FM ya Dodoma - COSOTA
#TZAUpdates 1. Taarifa za matumizi zilitoka kwa vituo mbali mbali vilivyowasilisha ambavyo ni Clouds FM Radio,EFM Radio, TBC FM na TBC Taifa ambavyo ni vituo vinavyorusha matangazo kitaifa. Vituo vingine ni Idea Radio Arusha , Pangani FM - Pangani, TK Radio - Tanga - COSOTA.
#TZAUpdates Ninapenda kuwafahamisha kwamba katika mgawo huu jumla ya Shilingi 312,290,259 ambazo zimegawanywa kwa Wasanii na Wanufaika 1,123 wa ndani na nje ya nchi ambao kazi za muziki 5,924 zilitumika hapa nchini na nje ya nchi - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.
#TZAUpdates @MauaSama nae ni miongoni mwa wasanii waliofanikiwa kupata mrabaha kupitia kazi zake za sanaa zinazopigwa sehemu mbalimbali - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Mwanamuziki Saraphina nae amepata mrabaha wake kama sehemu ya malipo ya kazi zake kutumika kwenye Vyombo vya habari, Yeye amepata zaidi ya Milioni Moja na laki nane - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Msanii @officialnandy amekabidhiwa zaidi ya Milioni mbili kama sehemu ya mrabaha wa kazi zake kutumika kwenye vyombo mbalimbali vya habari - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Muimbaji wa Nyimbo za Injili Martha Mwaipaja yeye kwenye Ugawaji wa Mirabaha kapata zaidi ya Milioni Nne - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Emmanuel Mgogo amepata zaidi ya Milioni tano kama pesa ya mrabaha wake kutoka COSOTA - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Mwanamuziki wa Injili Ambwene Mwasongwe kwenye ugawaji wa Mirabaha amepata zaidi ya Milioni tatu na zawadi hio kakabidhiwa na DC Jokate Mwegelo (DC TMK) - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Msanii wa Nyimbo za Injili Baraka Massa kwenye Ugawaji mrabaha kapata zaidi ya Milioni 3 - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Ibra wa Konde Gang nae amepatiwa mrabaha kwenye shughuli hii ya utoaji mrabaha yeye kakabidhiwa zaidi ya Milioni nne na laki tano - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.

#TZAUpdates Mzee wa 'Commercial' @AyTanzania nae amepata mrabaha wake ambao ni zaidi ya Milioni tano na laki sita kwenye Shughuli ya Ugawaji wa mirabaha' - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.
#TZAUpdates Msanii mwingine aliekabidhiwa pesa ya mrabaha ni Rose Mhando amekabidhiwa zaidi ya Milioni tano na laki saba usiku huu kwenye Ugawaji wa Mrabaha - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.
#TZAUpdates Msanii @OfficialAliKiba amekabidhiwa Zaidi ya Milioni Saba kama pesa ya Mrabaha kutoka COSOTA - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.
#TZAUpdates Kundi la Gospel waliokabidhiwa mrabaha (Mpunga) ni Kwaya kuu ya Mtakatifu Cecilia Arusha hawa wametumika mara nyingi zaidi wamepata zaidi ya Milioni 8 - Doreen Sinare Mtendaji Mkuu COSOTA.
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichatt ((((*****))))
Seen from Ukraine
gooning()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video
Seen from United States
snapchat
Seen from United States
MGAI
Seen from United States
ไซด์ไลน์โคราช
Seen from Thailand
شيميل()()()()
Seen from Jordan
irl asian
Seen from Australia
minichat
Seen from Singapore
wifey
Seen from Netherlands
buch
Seen from France
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
