Top Tweets for #TalkwithVee
Kuna vitu ambayo haupo tayari kuzungumza kwa sababu unaona vimebeba aibu, fedhea. Imefanya wengi kuendelea kuteseka na maumivu ya sirini kwa hofu ya nitaonekana vipi kwa watu. Talk about it,usikae kimya. Kuna uponyaji kwenye kuzungumza yanayokusibu.
#TalkwithVee
Ni rahisi kuigiza unafuraha kuliko kuigiza unahuzuni. Sio Kila mwenye kucheka anafuraha ya kweli, Ukiona mtu anahuzuni muamini usione anafanya mzaha wengi wanapitia magumu wanashindwa kusema kwa sababu hakuna wa kuwasikiliza wala kujali maumivu yao.
#TalkwithVee
Unasumbuliwa na Msongo wa Mawazo? Pata Suluhisho Ndani ya Dakika 30 Tu!
Nimeandaa programu maalum ya dakika 30 ambayo itakusaidia:
✔️Kuondoa msongo wa mawazo na fikra hasi.
✔️ Kupata amani ya nafsi.
✔️ Kujihisi mwenye furaha, amani kwenye maisha yako.
💡 Anza safari
#talkwithvee

Healing and self love are key. We can find strength in letting things go and focus on our own well being . Stay strong
#HealingJourney
#TalkwithVee

Hasira ni kiashiria kuwa Kuna kitu hakipo sawa kwako, mtu/mazingira yamesababisha.Hivyo Kuna hatua unatakiwa Kuchukua ili hiyo Hali itoweke.
Ukishindwa kumudu hasira tegemea kuzalisha tatizo jipya hasa kwa watu wanaokuzunguka. Na ukiweza kumudu basi utakuwa umesolve.
#TalkwithVee

Kwa yeyote anayepitia kipindi kigumu na unahitaji mtu wa kuongea naye DM au nipigie 0712908685 . You are not alone
#FreeCall
#HealingJourney #TalkwithVee
Are you feeling overwhelmed, stressed or struggling to cope with life's challenges?
It's okay to seek support, and I'm here to help you navigate your journey towards healing and self discovery. Feel free to contact me at 0712908685
#TalkwithVee #depressionrelief #MentalWellness
Wakati mwingine watu hula kilichopo ili kupoza njaa zao.Wakijipata basi atakula kwa kuzingatia chaguo lake na yupo tayari kukitafuta kinapopatikana ili atimize haya ya Moyo wake.Maamuzi yatabaki kwako uendelee kubaki au utafute mlaji mwenye kufanana nawe.
#weheal
#talkwithVee

Changamoto nyingi za kisaikolojia zinaanzia katika experience ya mtu anayoipitia au aliyoipitia katika maisha ya kila siku.
Kuanzia anazaliwa mpaka anakuwa mtu mzima.
Matendo na tabia zinakuwa ni matokeo ya experience yake.
#MentalWellness
#TalkwithVee
You are not a bad person; somewhere in your Heart, there is still Good.
If you keep hating them, it's going to keep killing you.
#TalkwithVee

Ziko nyakati ambazo unatakiwa kufanya chaguo juu ya maamuzi utakayoamua.
Kila chaguo linakuja na matokeo yake.
Swali la kujiuliza upo tayari kwa matokeo ya maamuzi yako?
#TalkwithVee
#mwanasaikolojiaMshauri
Kuwa makini Kuna watu wanatabia ya kuwatumia wengine kutoa maumivu yao waliyoumizwa na wengine ambapo hawakupata nafasi ya kulipiza.
#Meetyourpsychologist
#TalkwithVee
Mahusiano ambayo huyaelewi kama kati yenu mko tayari kuwa pamoja, Kitu pekee unachoweza kufanya ni kuamua kusubiri au u move on.
Moving on haimaanishi utasahu kilichotokea bali ni kukubali mambo yamebadilika hayapo kama zamani. Upo tayari kuanza upya.
#TalkwithVee
You need to give someone the chance to love all of you.
They might not but you have to give them the chance.
#TalkwithVee

kuwa ulipita kwenye kipindi kigumu , ukitengwa ila Mungu hakukuacha. Look at you now, inaweza isiwe vile unapenda uwe lakin Mungu amekupigania upo hai hata kama wapo ambao hawakufurahishwa na uwepo wako.
#Talkwithvee
#mwanasaikolojiamshauri
To anyone going through a difficult time, May God give you the strength and courage to move on and heal.
#TalkwithVee

Why not give it a trial?
Healing takes time, but it starts from somewhere.
Admitting that you need healing is a big step.
I'm here for you; let's talk about it.
#TalkwithVee
#stressrelief

Sometimes stress is difficult to avoid. Whatever happens, try to accept the fact that you can't control everything and feel free to express your feelings openly.
#TalkwithVee
#depression #MentalHealthAwareness

kimya, zungumza upo uponyaji kwenye kuzungumza.
Unahitaji mtu wa kuzungumza naye? Piga 0712908685
#TalkwithVee.
#Weheal
Last Seen Hashtags on Sotwe
รับงานบึงสามพัน
Seen from Thailand
guyspooping
Seen from France
monzon2021
Seen from United States
minichat ()filter:videos
Seen from France
anxiouspanda
Seen from United States
teenageee
Seen from Australia
erzurumgay
Seen from Turkey
gaycuteboy
Seen from Egypt
konyacd
Seen from Turkey
mazière
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
