Top Tweets for #Tbconline
Fuatilia pia matukio mbalimbali kutoka kwenye kongamano hilo kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii za Instagram, mtandao wa X na Facebook kwa anwani ya Tbconline.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Machi 04, 2025, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia nishati ya umeme.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Wageni mbalimbali wamefika katika
Hoteli ya Johari Rotana mkoani Dar es Salaam, unapofanyika uzinduzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari leo Machi 03, 2025.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline
📸 @james_range3
✍🏻 @rahma_hussein25

Baada ya mechi ni selfie na Injinia
Baada ya mchezo kukamilika Yanga SC akiondoka na alama tatu baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Singida Black Stars
Rais wa Yanga, Hersi Said akipata picha na mashabiki wa Yanga SC.
#tbcmichezo #TBCUpdate #tbconline
Shabiki wa Yanga SC amesema mchezo wa leo dhidi ya Singida Black Stars utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani wao, huku kakijinasibu hakuna timu iliyowahi kupata ushindi mbele ya Yanga baada ya kuhamia katika dimba la KMC Complex, Dar es Salaam.
#tbconline #TBCUpdate
Nafasi ya mfungaji bora msimu wa 2024/2025 bado ipo wazi. Nani ataibuka kinara wa ufungaji bora?
#tbcmichezo #TBCUpdate #tbconline
Ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024
Unafahamu kuwa leo Desemba 27, 2024 ni siku ya ‘Ijumaa’ ya mwisho kwa mwaka 2024?
Umeitumia vipi siku hii?
✍🏻@rahma_hussein25
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Dansa maarufu, Angel Nyigu akitoa burudani ya kucheza katika jukwaa la Kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya kupikia ya ‘Rafiki Briquettes’ inayofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke mkoani Dar es Salaam.
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Mfalme wa Singeli nchini, Dulla Makabila akiburudisha wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliofika kushiriki kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia ya Rafiki Briquettes.
✍🏻@rahma_hussein25
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Meya wa Manispaa ya Temeke mkoa ni Dar es Salaam Abdallah Mtinika atakuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Wiki ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia ya Rafiki Briquettes Tupo mbashara kupitia TBC1 na TBC Online kwenye mtandao wa YouTube
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

Mmoja wa wauzaji wa chipsi akitumia mkaa wa Rafiki Briquettes kupika aina ya chips kwenye Viwanja vya Mwembeyanga Temeke mkoani Dar es Salaam.
Leo Desemba 22 mkoa wa Dar es Salaam unahitimisha kilele cha Wiki ya Nishati Safi.
#tbcupdates
#tbcdigital
#tbconline

Silent Ocean wanakwambia katika droo ya tatu washidi 11 wameondoka na zawadi kabambe ikiwemo Guta.
Endelea kuagiza na Silent Ocean ujishindie zaidi.
#tbconline #tbcupdates #tbcdigital
Iwapo Chelsea watashinda dhidi ya Brentford katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Uingereza, watakwenda kwa pointi nne mbele ya Arsenal na ndani ya pointi mbili dhidi ya Liverpool ambaye yupo kileleni.
#TBCUpdate #tbconline #tbcmichezo

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Hamis Mnyonge, ameeleza kuwa Uwanja wa KMC Complex umekuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa manispaa hiyo. Akizungumza katika kipindi cha Jambo Wikiendi cha TBC1, Mnyonge amesema:
#tbconline #tbcdigital
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kocha mpya wa kikosi cha wana Jangwani anayechukua mikoba ya Miguel Angel Gamondi kuwa ni Sead Ramovic.
#TBCdigital #TBCOnline

Mshambuliaji wa Fountain Gate FC ndiye kinara wa ufungaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa.
#NBCLigiKuu #FountainGateFC #TopScorer #TBCDigital #TBCUpdates #TBCOnline

Kocha wa Azam FC, Rachid Taussi amefanikiwa kuchukua tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba.
Rachid alijiunga klabuni hapo mwezi Septemba, 2024, hivyo amefanikiwa kuchukua tuzo hiyo kama kocha aliyeitumikia Ligi Kuu ya NBC kwa muda mfupi zaidi.
#tbconline #tbcdigital #TBCUpdate

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 29, 2024 anamwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika mkutano Mkuu wa tano wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
#tbcupdates #tbcdigital #tbconline

"Tuna furaha kubwa kuelekea kwenye ligi huku tukiwa na mchezo muhimu wa Derby. Tupo vizuri, tuna matumaini makubwa ya kufanya vizuri hapo kesho. Hatujabadilika sana kwenye maandalizi, tumejiandaa kama ambavyo tumekuwa tukifanya hapo awali".
#TBCUpdate #tbconline #tbcdigital

Shirikisho la Soka la Libya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea mchezo dhidi ya timu ya soka ya Taifa hilo katika kuwania kufuzu AFCON 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi jana Oktoba 15, 2024
#tbconline #TBCUpdate #tbcdigital

Last Seen Hashtags on Sotwe
SKIBIDITOILET
Seen from Vietnam
u字構
Seen from United States
momsonn ()*************
Seen from United States
drunk #lesbian
Seen from Netherlands
ساكا
Seen from United States
craftycorn
Seen from Australia
gaping
Seen from Brazil
سالب_الرياضً
Seen from United Kingdom
闺蜜
Seen from Canada
smno
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














