Top Tweets for #TeachingIsProfession
Nadhani kuanzia saa 9:30 alasiri na kuendelea Ruksa mwalimu kusaka hela ,maana mda wa kazi umeisha.
Ila kuendesha Boda mida ya kazi NOMA.
#TeachingIsProfession

Wearing this shirt first day of school and to school board meetings! #TeachingIsProfession
Imagine being an employee at a company that has NEVER turned a profit and showing up to work in these shirts.

I said this February 2025.
Leo hii yametimia.
UDOM wameanza kusitisha udahili wa Shahada za ualimu.
#TeachingIsProfession

Mimi sioni sababu ya Higher Learning Institutions kuendelea kudahili wanafunzi wa kozi za ualimu.
Sioni mantiki kwa HESLB kuendelea kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kusoma kozi za ualimu.
Kiufupi DUCE na MUCE zinapaswa zifungwe au zingeuzwe matumizi.
#TeachingIsProfession
Walimu tunanyanyasika sana kwenye mapenzi.
Itungwe sheria ya kutulinda walimu kwenye mapenzi.
#TeachingIsProfession

Arsenal kumfunga Madrid ni ishara tosha kuwa mwaka huu kuna maboresho makubwa sana kwenye mishahara ya walimu wa 🇬🇧.
#TeachingIsProfession

Jana Tarehe 12/04/2025 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umefanikisha mchakato wa dhamana ya Mwalimu Joseph Muhonia. Aprili 11, 2025 Mwalimu huyo alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari ili kuzungumzia matatizo yanayowakumba walimu nchini. Kabla ya kufanya mkutano na waandishi wa habari alikamatwa na kufikishwa katika kituo cha Polisi Kati Mwanza.
THRDC ilimuagiza wakili wake Edwin Hans ambaye yuko Mkoani Mwanza ambaye ameshughulikia mchakato wa dhamana na kufanikiwa kupata dhamana ya Mwalimu Joseph Muhonia. Mwalimu Muhonia alishikiliwa kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali na ametakiwa kuripoti kituo cha Polisi siku ya Jumatatu Aprili 14, 2025.
THRDC inatoa wito kwa Jeshi la Polisi kuheshimu haki ya uhuru wa kujieleza ya Mwalimu Joseph Muhonia. Haki hii ipo kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunatoa wito pia kwa Jeshi la Polisi kurejesha simu na vitambulisho vya Mwalimu Muhonia. THRDC inaendelea kufuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuhakikisha Mwalimu Muhonia zinazingatiwa.

Jambo la kushukuru.
Walimu hatujaguswa.
#TeachingIsProfession

Huwezi kupendwa na kila mtu.
Fanya majukumu yako nenda kahudumie familia yako.
Unataka mzazi akupende kwani ndio mteja wako?
#TeachingIsProfession
Good morning everyone 🙏🏆

Walimu mnahadaiwa kama watoto.
#TeachingIsProfession

Kundi C
Hapa walimu wametumika kama fursa ya watu kutengeneza pesa.
Hakuna tafiti inayoonyesha kuwa walimu stresi zao zitaondolewa kwa kuwapeleka kuwaangalia Wanyama.
#TeachingIsProfession
Kilimanjaro pointi 45
Rukwa point 42
Songwe pointi 20
Shinyanga pointi 20

Kundi C
Mama Dangote wa Same ni Risk taker.
Kilimanjaro pointi 45
Rukwa point 42
Songwe pointi 20
Shinyanga pointi 12

Kundi C
Unasoma kwa shida,unapata ajira ya ujira mdogo na bado kuna watu wanakubagua.
#TeachingIsProfession wachaga acheni ushamba.
Rukwa point 42
Kilimanjaro pointi 40
Songwe pointi 20
Shinyanga pointi 12
Kundi C
Mapenzi yatawamaliza vijana wa Kilimanjaro.
Rukwa point 42
Kilimanjaro pointi 30
Songwe pointi 20
Shinyanga pointi 12

Kijana wa Kitanzania hata hasipo eleweka na content zake, lawama kwa walimu.
#TeachingIsprofession

Na sipo hapa ili nieleweke
Kijana wa Kitanzania hata akiachwa na mpenzi wake ,lawama kwa walimu.
#TeachingIsProfession

Tafiti zinaonesha mahitaji ya walimu ni makubwa sana nchi hii.
#Accountability
#ElimikaWikiendi
#TeachingIsProfession

Kama begi uliliona Zito shule.
Basi gunia liwe jepesi mtaani.
#TeachingIsProfession
Watukana walimu MITANDAONI.
#TeachingIsProfession
Kundi E
Walimu huu mtego utawapoteza sana kuliko ule wa kuchapa wanafunzi.
#TeachingIsProfession
Mwanza pointi 55
Pwani pointi 43
Ruvuma pointi 10
Njombe pointi 3
Singida
Kundi E
Vijana wanapotezwa sana na haya Mambo na hawakomi
Pwani pointi 43
Mwanza pointi 35
Ruvuma pointi 10
Njombe pointi 3
Singida
Mambo ya mitandaoni tu haya.
Ila naamini mitaani wanawaheshimu sana walimu wao.
Kuna watu wamefundishwa namna ya kujisafisha baada ya kujisaidia na walimu wao.
kupiga mswaki na walim wao
Kutumia Ped
Kuoga
Kutoa kamasi.
Humu ndo wana keke.
#TeachingIsProfession
Mtu anaye dharau walimu wake ana matatizo sana huenda alikuwa na changamoto ya malezi utotoni huwezi mdharau mtu alikuwa anakufundisha na walimu wapo proud mno na mafanikio yetu ukitaka uamini mtembelee ukifanikiwa wana furah sana usimbeze Mwalimu ni mzazi wa pili
Mzazi kama mtoto wako amekushinda ,mwalimu nani aje kumrekebisha.
Wazazi hawatimizi wajibu kwenye malezi wanawaachia kazi walimu.
Mtoto anaiba kitu nyumbani, ila mzazi anakuja kushtaki shule...badala ya kwemda nae polisi.
#TeachingIsProfession
@bajabiri Kabisa kaka. Kuna ndugu yangu nilimuasa na kumwonyesha mifano mingi sana s'babu alikuwa akizunguzmiwa kwa kuwanyoosha watoto kwa viboko. Nashukuru amenielewa na miezi kadhaa nyuma nilienda kijijini wazee wananilaumu kwa kumpa ushauri asipige watoto wao walioshindikana.
Walimu....Hawa watoto Hawa wakifeli hamfungwi...sijawahi kusikia mwalimu amehukumiwa kwenda jela kwa sababu ya wanafunzi kufeli mtihani wa form II,IV au VI.
Ukishajua hilo ,achana na watoto wasiotimiza wajibu wao.
Utaenda jela na familia yako itataabika
#TeachingIsProfession

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.4M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.1M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.8M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.3M followers







