Top Tweets for #TheGuardianDigitalUpdate
#TheGuardianDigitalUpdate Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango wa TAKUKURU, Kulthum Mansoor amesomewa mashtaka 8 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha zaidi ya Bilioni 1.4, Mshtakiwa amekosa dhamana kwa sababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kumpatia.

#TheGuardianDigitalUpdate "Hongereni sana Kamishna Diwani na Bregedia Jenerali kwa kufanya kazi nzuri sana sana fedha mlizookoa zitatumika kununulia madawa au kupeleka watoto shule na shighuli nyingine za kijamii," @MagufuliJP
#KuapishwaIkulu

#TheGuardianDigitalUpdate Rais @MagufuliJP amesema ndege iliyokuwa ya Rais aliyoagiza itumike kubeba abiria, imeshapakwa rangi na nembo kwa gharama ya Sh5M, tofauti na Sh60M kama ingepelekwa nje kama ilivyopendekezwa na wataalamu.
#KuapishwaIkulu

#TheGuardianDigitalUpdate “Ukimkuta mwana @ccm_tanzania anakula rushwa shika,ukimkuta @ChademaMedia shika,hata asiye na chama we shika tu,rushwa haina chama," @MagufuliJP

#TheGuardianDigitalUpdate Kamishna wa TAKUKURU ukimkamata mtu anashiriki katika rushwa ukishindwa kutumia sheria za TAKUKURU, tumia hata za @tanpol washughulikie hasw," @MagufuliJP
#KuapishwaIkulu

#TheGuardianDigitalUpdate "Mkurugenzi Mkuu ameniambia kuna mtu ameagiza magari 194 bila hata ya kulipa kodi na kama angelipa ni karibu shilingi bilioni 8 na kuna watu wanamtetea kweli kweli," @MagufuliJP
#KuapishwaIkulu

#TheGuardianDigitalUpdate Polisi wamezingira eneo la makao makuu ya chama cha ACT-Wazalendo zilizopo Kijitonyama, Dar es salaam na kuzuia mkutano wa viongozi wa chama hicho na waandishi wa habari. Wamewatawanya watu waliozunguka nje ya ofisi hiyo.
#NipasheMwangaWaJamii

#TheGuardianDigitalUpdate Kuanzia leo kwa Mamlaka niliyopewa na katiba ya Chama chetu na Vikao vya Chama Cha @ACTwazalendo tumemteua ndugu Juma Duni Haji kuwa Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo. @zittokabwe
#ZittoPress

#TheGuardianDigitalUpdate ''Tunajua wanaogopa kuwa hawatashinda uchaguzi wa #Zanzibar mwaka 2020 na kuna mtu wanamwogopa lakini yule ni Mtanzania kama Watanzania wengine," @zittokabwe @ACTwazalendo
#ZittoPress

#TheGuardianDigitalUpdate "Namshauri #Msajili wa Vyama vya Siasa afanye mambo anayoyajua na aache mambo asiyoyajua kwa wenye uelewa wa mambo hayo," @zittokabwe @ACTwazalendo
#ZittoPress

#TheGuardianDigitalUpdate Msajili amejipa kazi ya Kadhi kutoa tafsiri ya maneno ya Dini ya kiislamu ndani ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa hakuna kadhi. Basi hili tumpe kazi Mufte atoe tafsiri ya matumizi ya maneno ya kiislamu yasitumike katika mikutano siasa @zittokabwe

#TheGuardianDigitalUpdate "Mimi nafahamu #Msajili si mhasibu wala si #Mkaguzi na sijui ofisini kwake kabla ya kutuandikia barua aliyotuandikia alishauriana na Wahasibu wake, sina hakika kabla ya kutuandikia barua aliwasiliana na Mkaguzi wa Hesabu," @zittokabwe
#ZittoPress

#TheGuardianDigitalUpdate "Tangu #CAG aanze kukagua chama chetu ndicho chama chenye hati safi," @zittokabwe @ACTwazalendo
#ZittoPress

#TheGuardianDigitalUpdate Kiongozi wa ACT Wazalendo, @zittokabwe akiwa na Maalim Seif katika ofisi za chama hicho tayari kwa kumkabidhi kadi ya chama hicho.
#NipasheMwangaWaJamii

#TheGuardianDigitalUpdate #MahakamaKuu Kanda ya Dar es Salaam, imekubali uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Ibrahimu Lipumba kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF).

#TheGuardianDigitalUpdate Viongozi waandamizi wa Chama cha CUF wakiwa ndani ya #MahakamaKuu kusubiria hatma ya Lipumba ndani ya CUF ambapo hukumu juu ya uhalali wa #Prof Lipumba utajulikana leo @MazruiNassor @IsmailJussa @SeifSharifHamad @andersonndambo1 @Mbaralagande

#TheGuardianDigitalUpdate "Wanasema mambo ya ngoswe muachie ngoswe ndiyo maana tukampatia nafasi Stella Ikupa kushughulikia eneo hilo. Wengine tunaweza kujisahaulisha lakini kamwe Stella hatoweza kujisahaulisha kwa kuwa anajua uchungu wenu" @SuluhuSamia

#TheGuardianDigitalUpdate "Nampongeza Dk. @regmengi kwa kuweka mipango endelevu kwa ajili ya walemavu" - @SuluhuSamia

#TheGuardianDigitalUpdate "Tukikumbuka kuwa sote ni walemavu watarajiwa hakuna mwenye hakika, wanasema kabla hujafa hujaumbwa, sote ni watarajiwa ni jukumu letu sote kujenga mifumo wezeshi, kwasababu yoyote yule anaweza kuingia muda wowote ule".Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

#TheGuardianDigitalUpdate "Nimpongeze sana Kaka @regmengi kwa kujitolea kwa walemavu kwa takribani miaka 30 sasa".-Makamu wa Rais @SuluhuSamia

Last Seen Hashtags on Sotwe
maltepetravesti
Seen from Turkey
diyarbakirescort
Seen from United States
reggietravers
Seen from United States
vazados
standingdoggy
Seen from Bahrain
goKnighthawks
Seen from United States
bop
Seen from Greece
autogestorsacudam
Seen from United States
filipina #bwc
Seen from Korea
1st_penguin1111
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




