Top Tweets for #ThinkDigitalThinkofUS
Full Booked Day & Night
Digital Marketing
#ThinkDigitalThinkOFUS
Hivi Ndivyo Wafanyabiashara Wanajiibia Kwenye Matangazo ya SPONSORED ADS Wakikwepa Kuwalipa Wataalamu Wa Mtandao.
#ThinkDigitalThinkOFUS
Serena Hotel One on One Session
#ThinkDigitalThinkOfUS
Wafanyabiashara Ndio Chanzo Kikubwa Cha Vijana Wengi wanaoingia Kwenye Digital Marketing Kufeli.
Jifunze Jambo Hapa Ikiwa Unataka Kuingia Katika Ulimwengu wa Digital.
#ThinkDigitalThinkOFUS
Unataka Kuuza?
Sasa Kwenye Closing Skills
Unaambiwa atakaezungumza baada ya Bei Kutajwa ndie atakaebaki na mzigo.
#ThinkDigitalThinkofUS
Digital Skills ziko Nyingi sana, Mapema Juni 1 nitaziandika zote kwa uzuri Kabisa Kijana utachagua NICHE kisha nitakupa Course husika Buree Kabisa Ukajisomee na Ujitengemezee Kipato Mtandaoni.
#ThinkDigitalThinkOfUS
Digital Marketing ✅
Kuna Course Ukisoma Ni rahisi Kuanza Kupata Maokotto Mtandaoni.
#SaminstagramGuru #ThinkDigitalThinkofUS

Huna Pesa na Unataka Kutangaza Bidhaa Zako? Ingia YouTube Unda akaunti yenye Jina la Biashara Kisha rekodi Video Fupi posti sehemu ya YouTube Video Shorts.
#ThinkDigitalThinkOFUS
Kuna App 5 Muhimu zaidi Kwa Mfanyabiashara Sahivi.
1. @instagram
2. @facebook
3. @metaadsmanager
4. @canva
5. @Capcut
Ipi Nimeisahau?
#ThinkDigitalThinkOfUS
NJIA SAHIHI YA KUCHAGUA AUDIENCE ILI KUPATA WATEJA WENGI MTANDAONI.
Jinsi Ya Kuchagua Audiences Kwa Usahihi Katika Tangazo Lako Instagram.
#ThinkDigitalThinkOFUS
Tumepata Muitikio Mkubwa sana Darasani #ThinkDigitalThinkOfUS
Kwanini Ujiunge na darasa la Kesho?
#ThinkDigitalThinkOFUS
Software Deveroper na APP Gillbert Kawishe ni Moja ya Waalimu wa Darasa Linaloanza Kesho Agosti 2.
#ThinkDigitalThinkOFUS

Mnufaikaji wa Madarasa Yetu ya Digital Skills. Tumempa Kampuni Ya Chui Shopping na Sasa Ni Muajiriwa.
Tutakuwa na Darasa La digital Skills Kesho Agosti 2 Kupitia WhatsApp Group. Ada ya Darasa 20,000
#ThinkDigitalThinkOfUS
MINDSET TIPS
Hakikisha hizi Platform zinakuingizia Pesa, Usiwe Consumer.
#ThinkDigitalThinkOfUS
Kuelekea Darasa la Agosti 2. #ThinkDigitalThinkOfUS
PART THREE
KWANINI PESA INAKATWA ILA TANGAZO HALINA MATOKEO?
4. Kadi imechoka
- Kuna Wakati kadi inakuwa imechoka na hivyo haikatwi na hivyo Tangazo halifanyi Vizuri.
Tutakuwa na Darasa la Digital marketing agosti 2, ada 20,000 TSH
#ThinkDigitalThinkOfUS

PART TWO
UKIONA NENO BOOST LIMEFIFIA KWENYE CHAPISHO LAKO
3. UMEKUMBANA NA ACCOUNT BASED IN RUSIA
- Hii hutokana sana na Matumizi Ya VPN
Wekeni Sababu Zingine hapo Chini! 📌📌
#SaminstagramGuru #ThinkDigitalThinkOFUS
PART 3
MAONI YA MDAU KUHUSU MAOKOTO NA SPACE ZA X
Sisi Sponsored ads Tanzania Tuna Expirience Na Space za X. Ukweli wana nia Nzuri ila kuna Baadhi ya Skills zinaweza Kuajili Vijana Mtandaoni.
Next Posti Nitaelezea Kuhusu Skills zenyewe.
#ThinkDigitalThinkOFUS
Tutakuwa na Darasa Agosti 2.
Usipange Kukosa!
#ThinkDigitalThinkOFUS

Last Seen Hashtags on Sotwe
RubyGillman
Seen from Canada
Nolimits nolimits
Seen from United States
แปดริ้วนัดเยส
Seen from Thailand
momson()*+filter:native_video
Seen from Switzerland
monkeyapp girl
Seen from Argentina
รับงานสมุทรสงคราม
Seen from Thailand
horsed
Seen from United States
BrawlStarsNSFW
Seen from Turkey
teeNager
Seen from Mexico
日本人學中文
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
