Top Tweets for #TibaFasta
Unapokuwa na hasira au wasiwasi mwingi, kuvuta pumzi nzito na kuitoa taratibu ni moja ya njia bora inayoweza kukupa amani ya moyo na akili kwa uharaka zaidi. #TibaFasta https://t.co/YHrNT10GBe

UTAFITI: Wanaume kufanya mazoezi huboresha mbegu za kiume na kufanya ziongeze uwezo wa kusababisha mimba. Vitu vingine vinavyopendekezwa ni kula mlo kamili, kuwa na uzito unaoendana na kimo chako kiafya n.k! #TibaFasta https://t.co/do4lvFg2gR

@mauamasunga Faida ya kufanya tendo la ndoa; Husaidia kupunguza uzito, Hupunguza hatari ya maradhi ya moyo, saratani ya tezi dume na matiti. Unashauriwa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara moja kwa wiki.
#Fahamuzaidi
#TibaFasta

#NondoZaAfya: Wanaofanya kazi kwa hamasa na kujituma sana wana uwezekano mkubwa wa kupanda madaraja katika kazi zao na kupata mafanikio zaidi kitu kinachoongeza umri wao wa kuishi kulingana na utafiti wa wanasaikolojia. #TibaFasta

Tafiti zimedai kukumbatiana hasa ngozi kwa ngozi hufanya wahusika kuwa na amani ya akili na moyo kitu kinachowasaidia kupata usingizi haraka ikilinganishwa na wasiokumbatiana. #TibaFasta

Ikiwa una ngozi kavu kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mkavu ndani ya mwili pia, Usitumie losheni na krimu peke yake kufunika tatizo, badala yake jitahidi kunywa maji ya kutosha.
#TibaFasta
#Fahamuzaidi

Kuna imani nyingi kuhusu kucheza kwa jicho kama msiba au mkosi. Wataalamu wanadai hali hiyo inaweza kuchochewa na kutosinzia ipasavyo, matumizi ya kafeni (kahawa, chai, soda) na kuwa na stress.
#Fahamuzaidi
#TibaFasta

Faida ya kufanya tendo la ndoa; Husaidia kupunguza uzito, Hupunguza hatari ya maradhi ya moyo, saratani ya tezi dume na matiti. Unashauriwa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara moja kwa wiki.
#Fahamuzaidi
#TibaFasta

Siri za kupata usingizi haraka: Epuka kunywa kahawa mchana au usiku, Oga maji ya uvuguvugu, Zima taa, Hakikisha chumba kina hewa safi na Vaa soksi miguuni kusaidia mzunguko mzuri wa damu.
#TibaFasta
#Fahamuzaidi

Unapokuwa na hasira au wasiwasi mwingi, kuvuta pumzi nzito na kuitoa taratibu ni moja ya njia bora inayoweza kukupa amani ya moyo na akili kwa uharaka zaidi. #TibaFasta https://t.co/eS2cpNuFZo

UTAFITI: Wanaume kufanya mazoezi huboresha mbegu za kiume na kufanya ziongeze uwezo wa kusababisha mimba. Vitu vingine vinavyopendekezwa ni kula mlo kamili, kuwa na uzito unaoendana na kimo chako kiafya n.k! #TibaFasta https://t.co/gWatvkFJIv

"Matumizi ya pombe kupita kiasi hupunguza uzalishaji wa homoni ya testosteroni na kusababisha uume kutosimama sawasawa na kuchangia kupungua kwa mbegu za kiume zinazotengenezwa".
@TibaFasta
#TibaFasta
"Kusikiliza nyimbo zilizochangamka na kuzicheza baada ya kuamka huchangamsha mwili na kukuandaa vyema kufanya kazi siku nzima"
@TibaFasta
#TibaFasta
Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 9~> kuimarisha mahusiano ya kifamilia pamoja na ndugu wengine. Kuwa na ukawaida wa kuwasiliana, kukutana na kushirikiana utendaji mbalimbali kutia ndani sherehe na misiba. #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 8~> kushiriki na wengine kwenye vikundi vya kidini vyenye utendaji wa mara kwa mara mfano vikundi vya @MashahidiYehova hutembelea watu sehemu mbalimbali wanapopatikana na kuwahubiria habari njema zinazopatikana kwenye Biblia. #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 7~> kujihusisha na makundi ya kijamii yanayohamasisha afya bora mfano vikundi vya mazoezi, vikundi vya kucheza muziki n.k! Epuka makundi yasiyohamasisha afya bora kama makundi ya uvutaji sigara au bangi. #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 6~> kunywa vileo kistaarabu. Watafiti wanadai wanywaji pombe kistaarabu huishi umri mkubwa kuliko wasiokunywa kabisa, pia wamedai wanywaji pombe kistaarabu wanapunguza hatari ya kupatwa na maradhi ya moyo. #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 5~> kuweka kipaumbele kwenye vyakula vya mimea (mbogamboga na matunda) unaweza kula nyama, samaki na maziwa ila kwa kiwango kidogo. Vyakula vya mimea hupunguza hatari ya saratani, maradhi ya moyo, kisukari n.k! #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 4~> kula chakula kwa kiasi sio mpaka ushibe kabisa. Neno "Hara hachi bu" la kikonfyushasi (falsafa na maadili ya Kichina) lina maana kula chakula kidogo ushibe kwa angalau 80% na sio kushiba 100%. #TibaFasta

Siri 9 za Kuishi Maisha Marefu: 3~> kupunguza mkazo (stress) kwenye maisha yako, ina maana kuweza kuwa na wakati wa kila jambo mfano kujumuika na wengine kanisani, kwenda kupungaupepo ufukweni, kukutana na marafiki kuzungumza n.k! #TibaFasta

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






