Top Tweets for #ToBeIsToDo

D’ERLANGERのツアーも残すは渋谷2公演♪
最後まで強火🔥でお願いしま~す(ノ*°▽°)ノ⟡.·
これまでの各公演のダイジェストで気持ちup‼️👀⟡.·
#DERLANGER
#tobeistodo
D’ERLANGER公式YouTube
⇒ https://t.co/XisGXOsdIG…
D'ERLANGER
tobeistodo -UNKNOWN- 2025
1121/1122 Veats Shibuya
いよいよtobeistodoも2本!
黄昏の秋が瞬きひとつで終わってしまい冬がやってきたけど〜
アヂー音出しますよ!
あとは2025も聖夜までお預けなんでね・・・
c u guys this weekend!


Tukipata #KatibaMpya itatuwezesha , kulinda na kudai haki zetu nyingi ambazo hazipo kwenye katiba ya 1977. Haki zilizoingizwa kwenye katiba mwaka 1977 ziliingizwa kisiasa na baadhi ya haki kuachwa. #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya #ToBeIsToDo

Awareness ya wananchi kuhusu mambo yanayohusu nchi yao mnaita fujo na uchochezi? Anahoji @godbless_lema #MariaSpaces #KatibaMpya
https://t.co/rSmki1lRcp #ToBeIsToDo
HAKI ZA WANANCHI 2; Msingi mama katiba bora ni Haki na Usawa . #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo

HAKI ZA WANANCHI 1; Katiba bora hutambua na kulinda, uhuru,utu, usawa pamoja na haki zote za kimsingi za wananchi wote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo

“Mkataba huu ulipopitishwa imeunganisha pia na kazi ambazo zimeshanya kabla ya kuingia mkataba huu kwa kifupi tunakabidhisha bandari, vizazi vyetu vitarithi nini? Viongozi hawafikiri” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Njia pekee ya kujiondoa kwenye mkataba huu ni DP World kusema hatuna uwezo wa kuendelea na mkataba, hatuwezi kuwa na mkataba wa aina hii” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Nchi ambayo ina mfumo wake wa kuhalalisha mikataba ya kimataifa itatumia mfumo huu ikiwepo kupeleka katika Taasisi za kufanya hivyo mfano Bunge, ndio maana walikimbiza bungeni baada ya kuvuja” @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Katika vitu ambavyo havitaweza kuvunja mkataba hata ikitokea diplomatic problems au machafuko, huu ni mkataba wa hovyo kuwahi kutokea” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Siku ambayo tutapata mabadiliko ni hata CCM wenyewe wataachwa na mshangao kwa kuwa wamezoea wana wananchi wasiochangamka, huo wakati na sasa tusmame ili kukomboa Taifa letu na kupata #KatibaMpya ” — @SPKwete #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Hatupaswi kugawanyika katika suala hili la bandari tunatakiwa kuhakikisha tunashinda dhidi ya watu wanaotetea mkataba huu” — @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Tulichogundua ni kwamba CCM wameshayumba kwa kuwa wanavyopoishama na kuhaha kujibu hoja za mkataba wa bandari, ni lazima uzidi kupinga mkataba huu ulio kinyume cha katiba” — @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/2Qr2tl5wK0

“Tusikubali kuingia uchaguzi wa 2025 bila #KatibaMpya kwa kuwa tutapata viongozi walewale watarudi madarakani na watakuwa na uongozi wa kibabe uleule” — @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

“Ccm hawawezi kutupatia #KatibaMpya kwa hiari yao ni lazima wananchi tupiganie” — @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

“Maandamano husaidia sana kuleta mabadiliko, Watanzania bado ni waoga tuvue woga kwa mabadiliko ya Taifa” — @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

“Kuna mtu alikwenda mahakama kuu kuomba kufungwa kwa maandamao ambayo yako kikatiba katiba ibara ya 37, lakini Jaji alisema hawezi kuzuia maandamano kwa kuwa atakuwa anaivunja katiba” — @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

“Kenya mahakama ziko huru kwa kuwa majaji hawateuliwi moja kwa moja na Rais” — @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

“Tunatakiwa kujua chama tawala hata kama kinamiliki bunge zima hakiwezi kupeleka mambo wanavyotaka bila utaratibu wa kisheria”— @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ToBeIsToDo VIDEO : https://t.co/HqOD6XqNIf

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.4M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.2M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.8M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.3M followers





