Top Tweets for #UPSATES
#UPSATES "Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site"
"Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji, unamuuliza kwanini hapa wananchi hawapati maji wakati fedha za serikali zimetolewa bilioni 1.3, anakwambia Mheshimiwa waziri ndo maana nilitaka nikunong'oneze, Mheshimiwa Rais, Mhandisi wa maji anasema Mheshimiwa Waziri sijawahi kuona Wananchi wachawi kama katika hichi Kijiji, namuuliza anasemaje ananiambia hapa tumefanya kazi kubwa lakini usiku hapa mabomba yanapaa kama ndege"
Waziri wa Maji Juma Aweso akizungumza katika Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 toleo la mwaka 2025. #EastAfricaTV

#UPSATES Msemaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Dkt. Camilius Kasala, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia familia na vijana kama nguzo kuu za maendeleo katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Akizungumza Jumatatu, Januari 13, 2025, katika Mkutano wa Kamati ya Dini Mbalimbali Kuhakiki Rasimu ya Dira hiyo, uliofanyika Ukumbi wa TEC, Kurasini, Dar es Salaam, Dkt. Kasala ametoa mapendekezo muhimu kuhusu uwezeshaji wa makundi haya mawili ili kufanikisha maendeleo endelevu.
Dkt. Kasala ameangazia kuwa vijana ni kundi muhimu linalohitaji kupewa elimu, ujuzi, na nyenzo za kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo. Amependekeza kuwepo kwa utaratibu wa kufuatilia maendeleo ya vijana waliozaliwa kuanzia Januari 1, 2025, hadi Desemba 31, 2050, ili waweze kutoa maoni na kufuatilia maendeleo ya Taifa.
“Vijana wanapaswa kupewa mazingira, nyenzo, stadi, elimu, na ujuzi wa kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo hadi 2050. Ni muhimu kuhakikisha wanapata ajira za kipato cha uhakika kupitia vyama vya ushirika, vikundi vya kiuchumi, na shughuli zinazozingatia jeografia na hali ya hewa ya maeneo yao,” amesema.
Akizungumza kuhusu familia, Dkt. Kasala amebainisha kuwa familia ni msingi wa malezi na makuzi ya binadamu, hivyo inapaswa kuwezeshwa kwa afya bora, bima ya afya, usalama wa chakula, na kipato cha uhakika.
“Familia inapaswa kuwa na uwezo wa kushiriki katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Ni muhimu kuhakikisha familia inanufaika na elimu ya watu wazima, fursa za kiuchumi, na teknolojia mwafaka ili ijikimu na kuchangia katika maendeleo,” ameongeza.
Dkt. Kasala amesisitiza umuhimu wa kuweka mazingira bora kwa familia na vijana kushiriki katika sekta za uvuvi, kilimo, ufugaji, na ufundi kwa kuzingatia hali ya hewa na jiografia ya maeneo yao. Pia ametoa wito wa kuwepo kwa elimu ya watu wazima itakayowawezesha familia kushughulikia changamoto za kila siku za kijamii. #EastAfricaRadio

சுவிட்சர்லாந்தில் பர்தா அணியும் பெண்களுக்கு ரூ.6½ லட்சம் அபராதம்
https://t.co/deYU5Xizkl
#Switzerland #News #Upsates #Information
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




