Top Tweets for #USHAMBA
Huna Tofauti na Sigara Kali, Acha Kupangia Watu Maisha, kila Dei SATIVA, SATIVA, kwani huwezi Kufanya Mambo yako Bila Kutaja Taja jina Lake.
ilimradi kila Siku Uongelewe Blad-Faken, na Vile Chawa wako ni Kama Waumini wa Mwamposa Kazi yao ni Kujichekesha Kila Post..
#USHAMBA.

#TajiriLaKihaya
BARUA YA WAZI KWA WANAHARAKATI:
Naona tweets nyingi zikilaumu baadhi ya Raia kutomuunga SATIVA katika harakati zake za kudai haki na badala yake kumkebehi au wengine kupiga kimya na kujitia Hamnazo!
JE mmejaribu kujiuliza sababu ni nini?? Ikumbukwe ni hawa hawa raia ndio walipiga kelele saana wakati amepotea hadi kupatikana kwake, nini kimetokea kwa nini wamechange ghafla??
Niwarudishe NYUMA kidogo,
sativa alivyoTekwa vijana wote wa Twitter tulionesha ushirikiano ambao haujawahi kutokea humu X, tulikua na UMOJA mkubwa saana kila mtu alishangaa hadi serikali ilishtushwa mno.
Tuliacha majukumu yetu ya kila siku, tuliacha Content zetu za kila siku- POST Zote zilikua #WhereIsSativa …. SPACE Kila siku kila muda…
Hadi watu tulikua tumepigana BLOCK, tukaanza ku Unblokiana, hadi nakumbuka alivyopatikana Janja ya Timber ilichukua simu ya Sativa nakuanza ku Unblock watu kama tulivyofanya sisi….
UMOJA,USHIKAMANO ulikua wa hali ya juu💯
Alivyopatikana, Vijana tuliendelea kupush serikali kupata haki yake… tuweze kuwafaham watekaji, #Justice4Sativa …
Hadi nakumbuka kwenye space tulifikia hatua ya kupendekeza maandamano ya amani hadi kituo cha polisi oysterbay au ofisi za wizara ya ndani… tuliwabana serikali vilivyo…kila kijana alichachamaa kutaka SATIVA APATE HAKI YAKE! Kiufupi,kila mtu aliguswa.
Ila Ajabu alivyopata nafuu- ghafla akaanza kupost mikeka, wakati sisi bado tunapambana apate haki yake…
Tulipo hoji mbona mwenzetu anafanya kinyume…. ALITUJIBU MWENYEWE KWAMBA;
Anafamilia ya kuitunza,majukumu anayo mengi lazima atafute ugali na KAMARI ndio kazi yake.
Kwa hio yupo Busy kutafuta ugali wake…. Na hata juzi yeye pamoja na timber walikuja kuelezea hapa walishindwa kupambania haki yake wakati ule maana walikua mashindano ya kamari na amekuwa watatu afrika nzima- walisema mwenyewe!
Basi vijana tulitanabaishwa saana na hio kauli saana- yaani unauza haki yako kwa sababu ya mashindano?
na walioendelea kuhoji walikutana na matusi ya kila aina.
Ghafla harakati zikakata,kila mtu akashika Hamsini zake- we were very disappointed…
Kama unampambania mtu anapatikana alafu tunageukana ghafla-
Sijui nataka kusema nini…
Ila SATIVA ndio amesababisha haya… yeye mwenyewe ndio alirudisha morale ya vijana wengi nyuma…
Hata akina SOKA WALIVYOTEKWA…mnaona msukumo wa watu umekuwa mdogo saana… wachache saana walishiriki au wanaendelea kushiriki katika kuwapambania wapatikane… hakuna hashtag yoyote…
Maan wengi wanahisi hata wakipatikana itakua yale yale ya SATIVA- watu wamekata tamaaaaaaa….
Kama ambavyo SATIVA alitujibu yupo Busy kutafuta Ugali wakati ule sisi tunapambania haki yake ndio saa hizi watu wapo busy wanatafuta ugali wakati sativa ameikumbuka saa hizi kupambania haki yake…
Kiufupi amekumbuka shuka wakati kumeshakucha…. Laiti kama angetupatia ushirikiano wakati ule nahisi mambo yangekuwa mengine saa hizi… ila yeye aliona kushinda mashindano ni bora kwanza kuliko kupambania haki yake!
Hamngetumia nguvu kubwa kupost kila muda kuwaomba Raia wamuelewe sativa maana wote tulikua tayari timeelekea kibra.
In summary… VIJANA TUACHE UBINAFSI, VIJANA TUKUMBUKE FADHILA… VIJANA BADO TUNAHITAJIANA, HAKUNA ALIEKAMILIKA…
Kuna kesho.
@420Cousin Watu wanauwawa nyie mnaleta porojo kutofautiana vyama sio kuuwawa jengeni hoja watu watawakubali chadema ni ndugu zetu kabisa tunaishi nao acheni #ushamba
Kuua na
Kuteka watu tujali uhai wa mtu kwanza mengine yafate.
#uhaiwamtukwanza
Tunajua una poozeo la nyege hapa ndani
Lakini kucomment kwenye kila post ya huyo dem wako
Kuonyesha huna ukomavu kwenye haya Mambo asee
#ushamba😂😂😂
Today was harvesting day 💪
Some #Brocoli #Zucchini #ChineseCabbage #BellPeppers na #Kabej
#Ushamba #PlantationLife

In todays installment of #Ushamba
We go again, #Maize and #Sweetpotatoes down
Tuna #SukumaWiki tikingoja #Avocado

On today's installment of #Ushamba
We harvest maize
On the cards today
#MaizeOfBurnt
#BoiledMaize
#Githeri
#OnlyLegendsUnderstand

@MariaSTsehai Lengo letu sote ni kuijenga Tanzania iliyo Bora.... Hizi habari za kutekana tekana na kukamatana kisa hatukubaliana na uuzwaji holela wa Rasilimali zetu ni #Ushamba....
#JusticeForMdude
@MrIbu77 @Charllote100 Ku kiss ni kosa ndugu?? Ulimbukeni wa kurekodi ndio kinatuponza kwa dunia ya sasa watu wanaona kurekodi kila kitu ndio ujanja au ni sifa kumbe ni ulimbukeni…..Haya ndio yanapelekea mtu ana pata either ajari Badala ya kuokoa watu wanakimbilia kurekodi #ushamba


@Nyaberih_ reading through the comments allow me to stress the question was but not; how do you judge mfs who have piercings? #ushamba
Kilimo siyo #Ushamba.
Leo kilimo kimenipa marafiki pande zote za Dunia,kwangu kilimo ni Maisha kimenitamburisha kila mahala.
—@MalemboLE

#USHAMBA mzigo.
ni nini hii wabongo kuandika/kuongea kama nigerians?? lol
#USHAMBA ni nini?
Ushamba ni pale Karani wa Sensa anakuja kwako kuchukua taarifa, wewe unapambana kumpiga picha uje kurusha mitandaoni.
#KizaziChaHovyo
Last Seen Hashtags on Sotwe
Ukraine
Seen from United States
sister chudai
Seen from United States
adanatravesti
Seen from Turkey
踩射
女高
Seen from United States
政瞳
Seen from Israel
ranithisa
Seen from India
boerepiel
Seen from South Africa
nudemuscle
Seen from Italy
momson()****momson()********filter:native_video
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers



























