Top Tweets for #UTAPELI
@WilliamsRuto wa #UDAku, #Utapeli, #Kejeli, #Kiburi, #Matusi, #UONGO, #WIZI, #UUWAJI, #UTEKAJINYARA...etc Huyu mjamaa ndiye anapiganiwa na WALAFI_Walinda_Mchanga.
Uchaguzi_2027 imeenda juu Wakenya wako TAYARI kujitoza kama sadaka kuilinda Taifa lao na wazalendo wenzao
โ๐ฝ๐ฐ๐ช๐๏ธ
@gpdkaluma @JunetMohamed @gladyswanga @SimbaArati @TheODMparty #Breadbased_Tumbocrats are Discombobulated_Fools silently advocating 4 subversion of our Constitutional order thru @IEBCKenya electoral theft. No amt of illegal cross-border voter regn will work. #EWS_The6th๐ฐ๐ชโ
#UTAPELI
Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejifanya mfanyakazi wa Huduma kwa Wateja wa Yas (Tigo). Namba aliyotumia ilikuwa ya Kenya. Kwa bahati nzuri nilijua kabisa kuwa kwenye Mixx by Yas hakukuwa na hata senti, hivyo nikaamua kumsikiliza ili nijue mwisho wa mchezo wake.

"Nataka niwahakikishie kwamba serikali itachochea upatikanaji wa fursa za kiuchumi na kujenga matumaini kwa vijana, wanawake, makundi ya watu wenye ulemavu na hata wazee kuanzia mijini mpaka vijijini."- Rais Samia Suluhu akifungua Bunge la 13

VIDEO:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapitia kipindi kigumu kutokana na vifo na uharibifu wa mali vilivyoripotiwa katika vurugu za siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025, na kwamba hatua za msingi zimeanza kuchukuliwa ili kurejesha maelewano na amani.
Akizungumza Ijumaa, Novemba 14, 2025, wakati akilifungua Bunge la 13 jijini Dodoma, Rais Samia ameanza hotuba yake kwa kuwataka wabunge na wageni kusimama kwa dakika moja kuwaombea watu waliopoteza maisha.
Rais Samia ameongeza kuwa amehuzunishwa binafsi na matukio hayo, akitoa pole kwa familia zilizoondokewa na wapendwa wao, majeruhi na wale walioathiriwa kwa uharibifu wa mali.
Ameeleza kuwa Serikali tayari imeunda Tume inayochunguza chanzo na mtiririko wa matukio hayo, ili kutoa mwongozo wa hatua zitakazosaidia kurejesha utulivu.
@Mwabuk2Boniface Mwabukusi, unafahamu-fika mazingira ya Mpinzani Kutangazwa sio Rahisi, yani ili Mpinzani tangazwe ni Lazima Watu Waumie..
Sasa unaenda Kushiriki Chaguzi za Aina hyo ili Ugundue nini Labda!?
Dola inapambana na Upinzani Mazingira ya Dizaini hiyo Siyo Rafiki Kabisaaa... #UTAPELI
Hata, Mchengerwa Siku Mfumo ukimtena Je, atashangiliwa.!? coz kaharibu Mchakato wa Uchaguzi 2024.
Wahuni Wa JPM waliharibu Uchaguzi wa 2019 na 2020.
Hawa Kesho akitokea Muhuni Mwingine ambae wana Maslahi nae Watarudia zile Kauli zao za KANYAGA TWENDE huku Sisi Tukiumia #UTAPELI
UTU Gani Mnazungumzia nyie MaCCM!, wakati Kijana SOKA Mpaka Leo hajapatikana na Mamlaka Zipo Kimya... !!!
Utu unaendana na Haki, acheni PropaGanda, Mamlaka zinapo kaa kimya juu ya kupotezwa kwa kijana SOKA mnataka WanaNchi Tuwafikilie vip!? @SuluhuSamia @ccm_tanzania #UTAPELI

#Utapeli hakuna apa

@swahilitimes Hii Nchi bila Kuweka Mikakati ya Kuinua Soka la Vijana Wadogo kua na ACademy za Uhakika sio Hizi Za Janja Janja Hata Raisi Siku Akitoa Chopa Mtapigwa Tu.
Tuache Ujanja-Ujanja Mtoto akizaliwa ni Lazima apite hatua zote tatizo Sie tunataka Mtoto akizaliwa tu Basi akimbie #UTAPELI
@chechetimes Askofu kawa muongo๐๐, Mungu anaangalia ukweli na sio wingi hata kama akiwa mmoja as long as anasimama katika ukweli basi huyo n๐ wa Mungu, hamna cha sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, huo ni #UTAPELI

#FUNGUKA: Tuandikie comment yako, alafu sisi tutaruka nayo ndani ya #EastAfricaTV saa 9:00 Alasiri.
#Funguka #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Utapeli #Hatua

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat()*********************************
Seen from France
otobรผste
Seen from Turkey
เธเธนเธเธเธงเธขเนเธเธทเนเธญเธ
Seen from Thailand
ุงูุฐูุจูู
Seen from Netherlands
minichat filter:videos
Seen from Algeria
shortstack
Seen from Italy
beurettevidรฉos
farting gape
Seen from Brazil
brosis()()()()()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video
yasakaลk
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers















