Top Tweets for #UTAWALABORA
Upande wa Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania imeshika nafasi ya 18, kwa Afrika Mashariki imeshika nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na Rwanda (nafasi ya 23 Afrika) na Burundi, ambayo imeshika nafasi ya 31 Afrika.
Kwa Taarifa Zaidi https://t.co/SsdUm3PbNU
#JamiiForums #UtawalaBora

Tukio hili inadaiwa limetokea Kijiji cha Nkololo, Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, kwa mujibu wa Kusaga TV ni kuwa Dereva huyo wa Bodaboda aliingilia msafara wa mbio za Mwenge.
Nini maoni yako Mdau?
Zaidi https://t.co/QofXSObqfh
#JamiiForums #JFMatukio #CivilRights #UtawalaBora
ZANZIBAR: Rais Samia amesema hayo Julai 9, 2026 wakati akishuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa baina ya Chama cha Mapinduzi (#CCM) na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Fuatilia zaidi https://t.co/MF3UsdFG8A
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora
SIMIYU: Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. Lugomela amesema maisha ya Ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai wengi wana changamoto za kifedha hasa wale wapya.
Mdau, umemwelewa Mbunge?
Fuatilia zaidi https://t.co/c1vjQVFdrw
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora
SIMIYU: Mbunge wa Maswa Mashariki kupitia CCM, Dkt. George Lugomela alizungumza hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani, Julai 3, 2026.
Mdau una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
Fuatilia zaidi mjadala, shiriki https://t.co/gWczFIGZrm
#JamiiForums #UtawalaBora #KemeaRushwa #Siasa
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma na Mwanachama wa #CCM ametoa ushauri huo alipokuwa kwenye mahojiano na M&S Podcast, kipindi hicho kilichapishwa Julai 1, 2026.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://t.co/tCYQ2ZRbcj
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora #JFSiasa
Rais wa Kenya, William Ruto aliyasema hayo Aprili 1, 2025 wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Televisheni cha Sagana.
Zaidi tembelea https://t.co/Kt7eKvUKXx
#JamiiForums #UtawalaBora #JFKumbukizi
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, aliyasema hayo alipozungumza na wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Kichangani, Iringa, Mei 23, 2026.
Nini maoni yako Mdau?
Zaidi https://t.co/6hc00HCuDy
#JamiiForums #JFNukuu #UtawalaBora

Nikichaguliwa kuwa rais, nitalinda katiba na sheria. Tutakomesha uhusiano wa kibiashara wa viongozi na makampuni yao yanayopata zabuni za serikali, jambo ambalo husababisha miradi mingi kukwama.
Video Courtesy; @RadioJamboKenya
#Ufisadi #Katiba #UtawalaBora #Serikali #HudumaKwaWananchi
UTENGUZI: Rais Samia ametengua uteuzi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dkt. James Andilile Mwainyekule.
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa atapangiwa majukumu mengine.
Zaidi tembelea https://t.co/JvzMDcNA5S
#JamiiForums #UtawalaBora

Machi 28, 2026: Moja ya Kero iliyowasilishwa na Mdau kupitia FichuaUovu ndani ya https://t.co/OgiXhqmXJu📌📌
Zaidi tembelea https://t.co/hINkW7TBql
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #UtawalaBora

Padre Prosper Kessy aliyasema hayo wakati akitoa semina katika Mafungo ya WAWATA yaliyofanyika katika Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Machi 14, 2026.
Zaidi: https://t.co/VUzTu3K5Tn
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
Mwanasiasa Tundu Lissu akiwa Mbunge wa Singida Mashariki, aliyasema hayo Bungeni Juni 19, 2015 akihoji kuhusu Wanajeshi wanaopewa vyeo Serikalini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Zaidi bofya https://t.co/QvKKFF2Vgz
#JamiiForums #JFKumbukizi #UtawalaBora #Siasa
MWANZA: Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku amesema hayo Machi 4, 2026 wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika Wilayani Ilemela.
Bofya https://t.co/g416BhZg9i
#JamiiForums #UtawalaBora
DAR: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameyasema hayo Machi 2, 2026 alipokuwa akifanya mazungumzo na Vyombo vya Habari kuhusu chanzo cha foleni katika barabara za Jijini hapo.
Zaidi https://t.co/PpjCdIysSg
#JamiiForums #JFHuduma #UtawalaBora
KILIMANJARO: Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Reuben Kwagilwa alisema hayo Februari 19, 2026 alipokuwa Wilaya ya Rombo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba.
Zaidi https://t.co/cXyOLXJziE
#JamiiForums #JFNukuu #Uwajibikaji #UtawalaBora #Transparency #JFQuote

Baadhi ya Watoto wa Wakuu wa Nchi ambao walikutana na changamoto za Kisheria na nyinginezo mara baada ya Wazazi wao kuondoka au kuondolewa madarakani Barani Afrika.
Zaidi tembelea https://t.co/obcL5lpKGZ
#JamiiForums #Governance #UtawalaBora #Accountability
Inaendelea kwenye comments👇👇

Shiriki. Toa maoni yako. Jenga mustakabali wa Kakamega.
Hudhuria public participation kuhusu CFSP ya financial year 2026/2027. Changia utawala unaowajibika ili kuboresha kakamega kaunti
#PublicParticipation #UtawalaBora
@siasaplace @TISAKenya @bajeti_hub @Kakamega_037 @TIKenya

DAR: Rais Samia ameyasema hayo leo Februari 8, 2026 wakati akizindua Soko Kuu jipya la Kariakoo.
Kupata taarifa zaidi pamoja na maoni ya Wadau tembelea https://t.co/dExZFi9qzX
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
DAR: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameyasema leo Februari 3, 2026 alipofanya mazungumzo na Mtangazaji wa Crown FM, Salim Kikeke katika kipindi cha Kigoda cha Hello Crown.
#JamiiForums #Uchumi #UtawalaBora
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers











