Top Tweets for #Utepeni
Asanteni wakaazi wa Kisii kwa mapokezi mema na kujitokeza kwa wingi wenu.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne

"Wacha madharau ya hawa majamaa... kuja hapa, pangana na William Ruto." Simba Arati amshauri Fred Matiang'i.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne
"Siasa ikuwe na maadili, sio fujo." Simba Arati, Gavana, Kisii.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne
"Utamaduni ni hali ya maisha... sisi tunazingatia heshima ya kijamii." Elijah Obebo, Naibu Gavana, Kisii.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne
Magari ya polisi kukosa mafuta nyakati za matukio:
"Jijini Kisii tuko na Magari ambayo yanatumiwa katika doria ya usiku... kukitokea jambo tunafikiwa." OCPD Kisii.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne
@ngetichfred
@COjiambo
Gavana Simba Arati asema kuwa ujenzi wa soko na barabara utaendelea katika maeneo mbalimbali, Kisii.
Utepeni, Kisii.
#Utepeni
#RadioNumberOne

Ungana nasi Jumamosi, 12 Septemba, katika Ukumbi wa ATC, #Kisii, kuanzia saa moja jioni hadi saa tatu jioni, pamoja na Christine Ojiambo na Fred Ng'etich kwa mazungumzo ya wazi. UTEPENI β Sauti ya Mwananchi, Majibu ya Uongozi.
#Utepeni
#RadioCitizen

Ungana nasi Jumamosi, 12 Septemba, katika Ukumbi wa ATC, #Kisii, kuanzia saa moja jioni hadi saa tatu jioni, pamoja na Christine Ojiambo na Fred Ng'etich kwa mazungumzo ya wazi. UTEPENI β Sauti ya Mwananchi, Majibu ya Uongozi.
#Utepeni
#RadioCitizen

Ungana nasi Jumamosi, 12 Septemba, katika Ukumbi wa ATC, #Kisii, kuanzia saa moja jioni hadi saa tatu jioni, pamoja na Christine Ojiambo na Fred Ng'etich kwa mazungumzo ya wazi kuhusu maendeleo ya Kisii. UTEPENI β Sauti ya Mwananchi, Majibu ya Uongozi. #Utepeni #RadioNumberOne

Ukitaka kupata huduma kutoka kwa SHA lazima ujisajili - David Rotich, Kamishna wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
Ardhi la wakaazi lilikuwa linaenda kuuzwa lakini Rais William Ruto ameingilia kati. Ardhi hiyo sasa itaweza kugawiwa wakaazi wa kwale - Fatuma Achani, Gavana wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
Lengo la Mheshimiwa Rais William Ruto kwa SHA ni kusaidia kila mwananchi. Tujisajili na tulipie SHA ili tukaweze kusaidika. Fatuma Achani, Gavana wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
SHA ambayo Rais William Ruto ameleta, imeletwa kwasababu ya kusaidia mkenya kupata nafuu katika tiba. - Fatuma Achani, Gavana wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
Kama singepata support, kutoka kwa serikali ya kitaifa ya Rais Dr William Samoei Ruto, kuna mengi yasingefanyika - Fatuma Achani, Gavana wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
Serikali ya kitaifa na serikali ya kaunti ya Kwale imesaidia wakaazi kupata ardhi zilizonyakuliwa na mabwenyenye - Fatuma Achani, Gavana wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
"Serikali ya kitaifa inatumia pesa jumla ya bilioni 13.3 kutekeleza miradi ya barabara hapa kaunti ya Kwale" - David Rotich,Kamaishna wa Kaunti ya Kwale.
#RadioNumberOne
#Utepeni
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






