Top Tweets for #UwezoProgram
Shule ya sekondari Kitanga Kisarawe kutoka wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani tayari imeshafikiwa kwa ajili ya kushiriki #uwezoprogram2025.
@karimjeefoundation @segalgoundation @tve
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezoclubs #uwezokinara #chukuahatuaoneshauwezo

Jaji wa #uwezobonanza2024 na msanii wa Bongo Fleva @fobyofficial akitoa maoni yake juu ya tamasha la #uwezofestival2024 lililofanyika viwanja vya Posta Kijitonyama siku ya tarehe 9/11/2024.
#uwezofestival #uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #chukuahatuaoneshauwezo #vijana
Kwenye fashion and design kulikua na balaa zito sana, wanafunzi walijiandaa vilivyo. Pichani ni wanafunzi wa shule ya sekondari Benjamini William Mkapa kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam kwenye jukwaa la #uwezofestival2024
#uwezoprogram #chukuahatuaoneshauwezo

Kwenye #uwezobonanza nako hapakupoa hata kidogo. Ngoma za asili zilichezwa vilivyo na hawa ni wanafunzi wa shule ya sekondari Buyuni kutoka manispaa ya Ilala ya jijini Dar es salaam, wakicheza Ngoma za asili. @bajolu2230
#uwezofestival2024 #uwezoprogram #chukuahatuaoneshauwezo

#uwezoclub kutoka shule ya sekondari ya wasichana Jokate Mwegelo kutoka wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nayo haipo nyuma katika kufanya miradi ya #uwezoaward. Mwaka huu shughuli ni nzito!....
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo #ujuziwakijasiriamali

Shule ya sekondari Mchanganyiko kwenye mradi wa #uwezoaward 2024.
@karimjeefoundation @segalfoundation
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezoclubs #uwezokinara #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu #ujuziwakarneya21 #ujuziwakijasiriamali #uwajibikaji

Wanafunzi wa shule ya sekondari Buyuni kutoka manispaa ya Ilala ji wakiwa kwenye moja ya mradi wao walioufanya kwenye #uwezoaward2024. Wamechukua hatua na kuleta mabadiliko.
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo

Jukwaa pekee linalowakutanisha wanafunzi wa sekondari wenye vipaji Tanzania 😁 #uwezobonanza na mwaka huu ni kubwa zaidi...kaa mkao wa kula.
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu

Heri ya siku ya vijana Kimataifa
#uwezoprogram #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu #uwajibikaji #maendeleo #ujuziwakarneya21 #ujuziwakijasiriamali

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Wakulima #NanenaneDay2024
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezokinara #chukuahatuaoneshauwezo #ujuziwakijasiriamali

Mkuu wa shule sekondari ya wavulana Wal ul asr seminari kutoka wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani akitoa mtazamo wake kuhusu mradi wa #uwezoaward.
@karimjeefoundation @segalfoundation
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #ubunifu
Moja ya washiriki wa mradi wa #uwezoaward 2019 kutoka shule ya sekondari ya Fray Luis Amigo kutoka manispaa ya Kigamboni mkoa wa Pwani akielezea mradi walioufanya shuleni kwao.
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclub #chukuahatuaoneshauwezo
Mkuu wa shule ya sekondari Dar es salaam akitoa maoni yake juu ya mradi wa #uwezoaward ambao wanfunzi wake waliweza kushiriki na kushinda mwaka 2017.
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo #ujuziwakarneya21 #ujuziwakijasiriamali
Ule mzuka wa maandamano ya siku ya kutoa tuzo za #uwezoaward.
@karimjeefoundation @segalfoundation @tvetanzania
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclub #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu

Shule ya sekondari Nyumbu kutoka halmashauri ya mji wa Kibaha mkoa na washindi wa kwanza kwenye kipengele cha michano kwenye #uwezobonanza2023 wanasema mwaka huu pia wapo na wanakuja kivingine.
#uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezoclub #chukuahatuaoneshauwezo
Washindi wa 2 kwenye #uwezoaward2023 Kibaha sekondari na mradi wao umesharekodiwa kwa ajili ya kumbukumbu. Kwa miradi zaidi iliyorekodiwa tembelea ukurusa wetu wa Youtube #GREATHOPEFOUNDATION #uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji

Zoezi la ugawaji wa zawadi limeendela na sasa ilikua ni zamu ya shule zilizoshinda tuzo za #uwezobonanza2023 zinazopatikana ndani ya jiji la Dar es salaam.
#UwezoProgram #uwezoaward #uwezobonanza #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu #uwajibikaji #maendeleo

Jumamosi hii ya tarehe 16/3/2024 tutakuwepo Kibaha sekondari kuzungumza na wanafunzi wote wa shule za sekondari za wilaya ya Kibaha. Hii ni #UwezoProgramTour2024
#UwezoProgram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezokinara #uwezoclubs #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji

Shule ya sekondari Waliul asr boys Seminari kwenye #uwezoaward
2019: Mshindi wa 7 kati ya shule 100
2020: Mshindi wa 4 kati ya shule 150
2021: Mshindi wa 2 kati ya shule 250
#UwezoProgram #uwezoaward #uwezobonanza #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu

Last Seen Hashtags on Sotwe
ke08
Seen from Indonesia
toilet spy
Seen from Mexico
vore
Seen from United States
美杜莎
parkjihoon
Seen from Germany
รับงานเครือสหพัฒน์
Seen from Thailand
nolimit()********************************************
Seen from Switzerland
momson
Seen from Italy
nolimit Teenage*
Seen from Egypt
killercross
Seen from Malaysia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers


































