Top Tweets for #VIDEOITV
#VIDEOITV:Rais wa Zanzibar Dkt. Shein asema serikali yake haitishiki na tishio la kukatiwa umeme.->https://t.co/lf9NS5rbDG
#VIDEOITV:Tanzania yakabiliwa na uhaba wataalamu wa magonjwa ya figo.->https://t.co/wjLRb1dis4
#VIDEOITV:Zaidi ya watu 1000 wafunga barabara wakiitaka kamati ya bunge ya ardhi maliasili isikilize kero zao.->https://t.co/6zgaRK3fLt
#VIDEOITV:Daraja la mto Ng’ombe Tandale kwa Mtogole lajaa taka na kuhatarisha Makazi.https://t.co/498OUZIFrM
#VIDEOITV:Kamanda wa polisi Dar Simon Sirro asisitiza bodaboda kufanya kazi mwisho saa sita na sivinginevyo.https://t.co/zhadF0PEqk
#VIDEOITV:Mvua iliyoyesha kwa saa kadhaa yaacha maafa kwa wakazi jijini Dar es Salaam.->https://t.co/Bi5mnfryH5
#VIDEOITV:Jeshi la polisi limekamata shehena ya pombe kali za viroba mkoani wa Dodoma.->https://t.co/Q9znUzir57
#VIDEOITV:Serikali yaziagiza halmashauri kutenga asilimia 5 ya mapato kwaajili ya mfuko wa maendeleo ya wanawake.->https://t.co/VFUGKbfL0e
#VIDEOITV:Tizama jinsi mafuriko yalivyo kumba Bonde la Msimbazi Jangwani Dar es Salaam.https://t.co/Kl4JtK1tMt
#VIDEOITV:Waziri Mhe.Nchemba aamuru kukamatwa kwa askari watatu wanaotuhumiwa kuua wilayani Bagamoyo.->https://t.co/0B7Ya5btOl
#VIDEOITV:Jeshi la polisi mkoani kagera laanza msako kuwatafuta wafanyabiashara wanaokaidi katazo la kuuza viroba.->https://t.co/aYdFeeaQwW
#VIDEOITV:Lori lililokuwa na shehena ya mafuta limeungua moto Tegeta Kibaoni jijini Dar es Salaam.->https://t.co/sXV5XmnqN6
#VIDEOITV: Waziri Nape avitaka vyombo vya habari kuikosoa serikali kwa nia njema ili itekeleze agenda ilizoahidi
.https://t.co/TgYDVp5Nj1
#VIDEOITV: Tizama Jinsi moto ulivyo teketeza Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam leo.https://t.co/ReyyG05zgu
#VIDEOITV:Wanafunzi Bariadi waandamana kupinga mwalimu mkuu kuhamishwa.->https://t.co/snwb2hG27k
#VIDEOITV:Watu wawili wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Ruvuma.->https://t.co/M1BLxmj4Yf
#VIDEOITV:Shehena ya viroba vyenye thamani ya shilingi bilioni kumi yanaswa jijini Dar es Salaam.->https://t.co/S9SAXP210T
#VIDEOITV:Pombe za Viroba Zenye Thamani ya Shilingi Bilioni 10.8 Zakamatwa Jijini Dar es Salaam.->https://t.co/USeQGM9YdP
#VIDEOITV:Jamii ya wafugaji Wabarbaig wagoma kuzika miili ya ndugu zao wawili kwa zaidi ya siku tano.->https://t.co/2zLFaFGeQa
#VIDEOITV:Rais Dkt.Magufuli aagiza kiwanda cha Saruji cha Dangote kupewa leseni ya kuchimba makaa ya mawe.->https://t.co/QocZyXlUtv
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers
