Top Tweets for #VIUNGOPROJECT
"Maamuzi ya #ViungoProject kuwezesha kilimo cha Umwagiliaji ni maamuzi sahihi kusaidia wakulima kujiimarisha kiuchumi kwa kuzalisha mazao mengi kwani ndiyo changamoto kubwa inayowakabili wakulima wetu kushindwa kuzalisha kwa wingi," Salama Mbarouk, RC Kaskazini Pemba @EUinTZ

Katibu mkuu wizara ya kilimo #Zanzibar, Seif Shaban na Anna Constantini, kutoka @EUinTZ wakikagua shamba la Vanilla la kikundi cha Vanilla Growing Cooperative katika Shehia ya Donge Mbiji, wilaya ya Kaskazini B ambao ni wanufaika wa #AGRICONNECT๐ช๐บ๐น๐ฟ kupitia #VIUNGOPROJECT

Zanzibar chini ya programu hiyo kwa ufadhili wa @EUinTZ
Mrisho Suleiman, mkulima wa Viungo katika shehia ya Bungi, wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja mnufaika wa #VIUNGOPROJECT ametembelewa na ujumbe huo kuona namna mradi huu umesaidia kuendeleza shughuli zake za kilimo

Ziara hiyo imeanza kwa kutembelea kituo cha kukaushia mazao ya #Viungo kilichojengwa na #VIUNGOPROJECT na kukabidhiwa Ushirika wa Wazalishaji wa Mazao ya Viungo Pemba kilichopo shehia ya Gando, Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba.
@TAMWA_Zanzibar @PdfTanzania @CanadaTrees

Today 10, January 2023, the VIUNGO Project management team under the support from @EUinTZ hosted a one-day planning meeting in Pemba to share achievements, challenges and set priorities for 3rd year of #ViungoProject implementation.
@TAMWA_Zanzibar @PdfTanzania @CanadaTrees

BADO SIKU 05 #TukutaneChamanangwe
SIku zimebaki chache, na kila kitu kipo tayari kwaajili yako Mkulima wa Viungo, Mboga na Matunda #Zanzibar. #AgriConnect chini ya #ViungoProject imejiandaa vyema kutupatia mbinu mpya na bora za kilimo. @EUinTZ

JIANDAE KUTEMBELEA BANDA LETU .
MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI PEMBA.
#AgriConnect #VIUNGOZanzibar #ViungoProject
@EUinTZ
@TAMWA_Zanzibar @CanadaTrees @PdfTanzania @taha_tanzania @solidaridad_esp @EU_Commission

#ViungoProject supporting beneficiaries with Kitchen garden farming skills to ensure access of enough #vegetables for household use to improve family nutrition in the Isles.
VIUNGO project implemented in #Zanzibar under #AgriConnect #Tanzania program funded by @EUinTZ

Equipping farmers with Good Agricultural Practice skills is an important tool for #ViungoProject under #AgriConnect achieving its goals in improving #horticulture farming #Zanzibar.
This is jointly project implemented by @pdf_tz @TAMWA_Zanzibar & @CFP with funding of @EUinTZ

This session was aimed at introducing the work done by the #VIUNGOPROJECT in #Zanzibar under @EUinTZ's #AgriConnect program in #Tanzania as well as the project expectations for the remaining period of implementation.
@TAMWA_Zanzibar @PdfTanzania @CanadaTrees

"In the implementation of this #ViungoProject, we've seen a huge loss of crops especially during harvest and processing, so the project decided to come up with packaging containers that is friendly to farmers to help them overcome such problem," Mkombozi Nzoya," Nutrition Officer

The #ViungoProject is supporting spices farmers in #Zanzibar to improve their #Vanilla farming activities using good agricultural practices skills. #climatesmartagriculture
#AgriConnect program funded by @EUinTZ
@PdfTanzania @TAMWA_Zanzibar @CanadaTrees

In Zanzibar, the #ViungoProject under #AgriConnect program funded by @EUinTZ is supporting #horticulture farmers to engage in #vanilla farming to unlock the potential markets of horticulture products in Zanzibar.
Implemented in partnership @TAMWA_Zanzibar , @PdfTanzania and CFP

Chief Project manager @ViungoProject, Amina Ussi briefing the President of Zanzibar @DrHmwinyi after
his arrival at the #ViungoProject pavilion during the exhibition at Zanzibar Annual NGOs Forum 2022 held at the Golden Tulip Kiembe Hotel.
#AgriConnect funded by @EUinTZ

"We have developed three curriculums; Climate smart, Food security & Nutrition and Permaculture kitchen garden curriculum. Will be printed and disseminated to all agriculture extension officers through @wizarakilimo for use in farmers training," Amina Ussi, CPM #ViungoProject

"Kupitia utalamau niliojifunza na kujiendeleza zaidi kupitia mradi wa Viungo sasa hivi naweza kuufanya mti wa mchungwa kuzalisha Machenza, Machungwa na Ndimu kwenye mti mmoja," Kurwa Othman Chande mnufaika #ViungoProject. #ShambaLanguMtajiWangu
#AgriConnect funded by @EUinTZ

"Kupitia #ViungoProject nimeweza kuzalisha miti mingi ya matunda na umefungua fursa zaidi kuzalisha miche mengine ambayo hata hapa Zanzibar haipo, mfano nazalisha mishokishoki kutoka Bangkok ambayo haikuwepo kabisa visiwani mwetu," Kurwa Othman #ShambaLanguMtajiWangu @EUinTZ

"Kupitia mradi huu wa Viungo nilipata miche 200 ya Vanila na mimi mwenyewe nikaongeza 400, hivyo kwenye shamba hili la eka 3 tayari nina miche 600" Aviwa Ali Songoro, mkulima kutoka Kizimbani. #ShambaLanguMtajiWangu
#ViungoProject inafadhiliwa na @EUinTZ

Anna Constantini kutoka @euintanzania akimsikiliza kwa makini mkulima wa Vannila, Hajji Abdallah Abeid katika shehia ya Kizimbani Wilaya ya Magharibi B, alipofanya ziara ya kutembelea wakulima wa #ViungoProject unaotekelezwa na @TAMWA_Zanzibar PDF na CFP
@CanadaTrees

Last Seen Hashtags on Sotwe
manavgattravesti
Seen from Turkey
kaavaala
Seen from India
Snapgodโ
Seen from Singapore
hamile
Seen from Turkey
aunty
Seen from India
anxiouspanda(***************************()******)filter:videos
Seen from United States
FloodRiskUP
Seen from United States
eลdeฤiลtirme
Seen from Turkey
chudai
Seen from Indonesia
ๆดๆตทไนๆ
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



















