Top Tweets for #WANAUME
#wanaume hatuongei tunafanya vitendo🤣🤣🤣.

• Kutegemea muonekano pekee bila tabia.
• Kushindwa kuwasiliana kwa uwazi na ufasaha.
• Kuchagua starehe badala ya ukuaji wa kifikra.
• Kutegemea matokeo makubwa bila jitihada.
• Kukwepa kuwajibika kwa makosa yao.
#Wanaume #Maisha #Ukuaji #SuccessTips
Wanaume hulinda mioyo yao zaidi kuliko miili yao. 🛡️❤️
Moyo wa mwanaume ndio mali yake ya thamani, akikupa, amekupa sehemu ya maisha yake.
Chagua unayempa moyo wako kwa uangalifu.
🎧 #MenemenThePodcast
🔗 https://t.co/Hf77KNS4P1
#wanaume #afyayakihisia #mapenzi
Anakuita BESTIE kwa sababu hajawahi kukuona kama MWANAUME.
Na huwezi kulalamika juu ya FRIENDZONE ambayo uliijenga kwa mikono yako.
— Coach Joram
#DatingTips #Wanaume
#Wanaume
Kanzu Za Kuvaa Siku Ya EID Ni WHITE Na Off white tu, Hizo kanzu za Blue, n.k Subirini Siku Ya Maulidi✅

Kuchukua hatua ni muhimu kuliko kujidanganya kwa maneno matupu. @Lwidiko anazungumzia umuhimu wa kufanya kazi halisi na kuacha visingizio kwenye #menthepodcast episode 96. Sikiliza/ Tazama hapa: https://t.co/AwPpXj8KBb
#kuchukuahatua #doingthework #wanaume #menthepodcast
Dr. @Lwidiko anatusaidia kuelewa maana ya kufurahia safari ya maisha bila kujisikia kuzidiwa. Je, unaishi kwa furaha au survival mode? Sikiliza/ Tazama #menthepodcast episode 96 hapa: https://t.co/AwPpXj9iqJ
#wanaume #menthepodcast #maishaniSafari

Sadick anazungumzia athari za kulelewa kwa upendo wa kupitiliza. Je, hili linachangia baadhi ya wanaume kukosa uthabiti wanapokuwa wakubwa? Sikiliza au tazama hapa: https://t.co/AwPpXj8KBb
#menthepodcast #malezi #wanaume #uthabiti #uhalisia
#appreciation tweet kwa #wanaume wote mnaojitoa na kujitolea ili kunasua, kuokoa na kuopoa walionasa kwenye kifusi cha ghorofa #Kariakoo
Tunaona ulazima wa kuwa na wanaume, pia tunatambua na kuheshimu jitihada zenu! Asante kwa #jamii iliyowafunza kujitoa kwa ajili ya wengine. Inspired by @jaliluzaid post
Wanawake wapo kwaajil yetu #wanaume

TUNU kamtunuku LUKA … 🤭
Ila Luka naye😂 #wanaume njooni mumshauri #churchboy chakufanya 😁
#MMBJUAKALI
#MMB160
#maishamagicbongo
NGUVU YA BUKU 10 🔥
Msimu mpya upo uwanjani, #epl #laliga #seriea kwa mtonyo wa buku 10 tu unashudia mbungi kababe
#wanaume ni muda wa kuomba visa mapema na #wanawake ni muda wakuwa waelewa na subra 😁
Piga *150*53# kulipia mapema.
#mbungibampa2bampa
#mfalmewasokanidstv

Je, Spain kuondoka na ushindi wa pande zote 2??
Usikose kufuatilia fainali za mechi za #wanawake kati ya Spain vs Germany na #wanaume Spain vs France leo ndani ya ch. 229.
#Olympics2024 #Paris

Swali kwa #Wanaume,nambie unajisikiaje mwanamke akikutongoza? Ushawahi katalia pisi au kumjibu unamfikiria akupe mda?
Je, #Wanaume Wana jukumu gani katika kuhakikisha #AfyaYaHedhi kwa wanawake?
#Tuandikie Maoni yako. Ili kufahamishana mtazamo na mazingira halisi ya afya ya #Hedhi. #Namthamini2024 #NguvuZaidi #KunaKituKitatokea.

Last Seen Hashtags on Sotwe
BaduvsEverything
Seen from United States
shemale fuck guy
Seen from United States
marochienne
Seen from Canada
Limitlessrp
brosis
Seen from Ireland
オナペ
Seen from Japan
porn
Seen from Netherlands
snapchat(*)********************************************
Seen from Spain
minichatt
Seen from Belgium
小屌
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


















