Top Tweets for #WatU

#watu wakuwe safe kwa site , one week safety workshop on first aid ,fire etc

TUTASHINDA. MSIOGOPE.
Nelson Mandela alisimama mahakamani mara nne katika maisha yake ya mapambano. Siyo kwa sababu alikuwa mhalifu, bali kwa sababu alisimama imara kupinga mfumo dhalimu uliowanyima watu utu, haki, na sauti.
Kabla ya kesi maarufu ya Rivonia ya mwaka 1963/64, Mandela alikuwa amefungwa gerezani mara mbili. Kila kifungo kilikuwa ujumbe: dola ilitaka kumvunja moyo, kumchosha, kumkatisha tamaa. Lakini haikufanikiwa.
Hukumu ya miaka 27 gerezani haikuwa tu adhabu kwa mtu mmoja, Mandela; ilikuwa jaribio la kuzika ndoto ya ukombozi wa Waafrika Kusini. Mandela alitengwa, akanyimwa uhuru, familia, na maisha ya kawaida.
Miaka mimgi ilipita taratibu, siku zikafanana, mateso yakawa sehemu ya ratiba. Lakini hata ndani ya kuta za gereza, wazo la uhuru halikufungwa. Ndoto ya uhuru haikuzima. Mawazo hayawezi kufungwa kwa minyororo.
Mapambano hayakulipuka mara moja baada ya hukumu hiyo. Ilichukua takribani miaka kumi kabla ya wafuasi wa ANC na jamii ya kimataifa kuamka kwa nguvu mpya, kwa uelewa mpana zaidi, na kwa mshikamano wa kweli.
Mabadiliko ya kweli mara zote huchelewa, lakini hayapotei. Mbegu inapandwa leo, lakini huota kwa wakati wake. Ndiyo maana hatupaswi kukata tamaa. Ikiwa leo tunaona giza, haimaanishi alfajiri haitafika.
Ikiwa juhudi zetu zinaonekana kama hazina matokeo, haimaanishi kuwa ni bure. Historia inaonyesha kuwa wale wanaodumu, wanaostahimili, na wanaokataa kukata tamaa, hatimaye hubadilisha mkondo wa mambo.
Maumivu tunayopitishwa si laana; ni somo. Ndiyo yanayotujenga, yanayotufundisha uvumilivu, na yanayotupa mizizi ya uimara. Bila maumivu, dhamira hubaki dhaifu. Bila mateso, ushindi hukosa maana.
Kama Mandela alivyosimama tena, nasi pia tunapaswa kusimama—si mara moja, bali kila tunapoangushwa. Bado hatujachelewa. Wakati bado upo. Kile tunachopitia leo kinaweza kuwa msingi wa ushindi wa kesho.
Kinachotakiwa si kukimbia maumivu, bali kuyavumilia kwa hekima na kuyageuza kuwa nguvu. Historia inawaandika kwa heshima wale wanaodumu, si wanaokata tamaa njiani na kukimbia mapambano.
Tundu Antiphas Mughwai Lissu anatimiza siku 284 gerezani, amevunja rekodi ya kuwa kiongozi wa kwanza wa juu wa chama cha upinzani Tanzania kuwekwa kizuizini kwa muda mrefu zaidi tangu mwaka 1992
Dola katili la CCM haliwezi kuzuia na kuzima ndoto za kuitafuta Tanzania inayoheshimu haki za watu, misingi ya utu, usawa na uwajibikaji. Tundu A.M Lissu sio mhaini. Tundu Lissu arejeshewe uhuru wake. #FreeTunduLissu

@Osama_otero Hiyo agenda ya shule mmewezwa majamaa because you can't argue with the truth and facts, #watu wasomee kwao#
🚨SECURITY WARNING🚨
🚫 DO NOT CLICK ANYTHING IN OUR OLD DISCORD.
The server was hacked and is being used to push scams. We have zero control over it anymore.
Leave, report, and warn others.
Official updates will ONLY come from this X account
#rebelrabbits #hack #WATU
Kati ya #watu ambao nimewashindwa duniani na nimewanyooshea mikono ni #masufy📚💦
>> mtu anaitumia Quraan kwenye ramli na albadiri na uganga...wakati Quraani mekataza ushirikina kwenye kila sura na aya asilimia 98
🫴masufy wana uthubutu ambao hata shetani mwenyewe hawezi
☠️💀🚮
@BlackWolfBeast @Matallahkhamis @khilafah8 @EsirEid @HabiibYahyaa @IsaRouhan13797
#Mobile | Inclusion numérique : Watu a financé 1,4 million de smartphones en Afrique en 2024
Digital Mag vous dit tout ici... https://t.co/EUE1pkIF1V
#Digitalmagci #Afrique #Connectivité #Economie_Numérique #Services_Numériques #Smartphones #Watu
#UKALI AU UPOLE AU #HEKMA HAUNA MAANA HAKI IFICHWE KWENYE KIVULI CHA UMOJA📚💦
Shaykh al-ʿAllāmah Dkt. Muhammad Amān al-Jāmī (aliyefariki 1416 H)
amesema:
“kufanya Upole kwa #watu haimaanishi kuficha #ukweli, kujizuia kuubainisha ukweli, na kuwakusanya watu kwa jina la Uislamu bila kubainisha kwamba kuna ʿaqīdah sahihi na ʿaqīdah potovu, kwamba kuna madhehebu yaliyopotea, na kwamba kuna manhaj sahihi.
Hili lazima libainishwe.”
Chanzo: 🫴📗
[Sharḥ al-Fatwā al-Ḥamawiyyah al-Kubrā, uk. 7] 📚💦
![abusumayyah_o's tweet photo. #UKALI AU UPOLE AU #HEKMA HAUNA MAANA HAKI IFICHWE KWENYE KIVULI CHA UMOJA📚💦
Shaykh al-ʿAllāmah Dkt. Muhammad Amān al-Jāmī (aliyefariki 1416 H)
amesema:
“kufanya Upole kwa #watu haimaanishi kuficha #ukweli, kujizuia kuubainisha ukweli, na kuwakusanya watu kwa jina la Uislamu bila kubainisha kwamba kuna ʿaqīdah sahihi na ʿaqīdah potovu, kwamba kuna madhehebu yaliyopotea, na kwamba kuna manhaj sahihi.
Hili lazima libainishwe.”
Chanzo: 🫴📗
[Sharḥ al-Fatwā al-Ḥamawiyyah al-Kubrā, uk. 7] 📚💦](https://pbs.twimg.com/media/GyNp6nPWsAAt5wq.jpg)
Style meets performance! Upgrade to a smartphone that delivers power, elegance, and value in one sleek design, only at Sulak Communication Solutions Masindi.
#CityMedia #CityTV #SulakCommunicationSolutionsMasindi #citymediamarketingagency #affordablephones #watu #takenow

Ready to talk politics?What exactly is happening in our country right now, and what it means for you?Be part of this engaging conversation !
Join us for a live discussion -
https://t.co/2DvlqIaQcg
#building #juliet #watu #bbtvi #wantam #BURSAYANIYOR #LaVeladaDelAnoV #WEURO2025
@Labella_Mafia95 Huyu dogo kaingia kwenye wale watoto ambao majibu yao ya shule yanasubiriwa..
Ili watu waanze ngonjera alafu baada ya mwezi life utaenda...
#watu
Music video director @director_deemoolah amemtambulisha rasmi msanii wake @lamapozzafrica na tayari ameachia goma jipya #Watu akiwa amemshirikisha msanii @jaycombat_
Powered by @yastanzania_ @rich_msafii @februaryomar @mauki_tz @officialdjdea
#PlanetBongo #EastAfricaRadio

Do you know how to ride an electric bike 🚲?
We have the experts leading Africa’s E-Mobility Revolution from the Pearl at #NSW25.
@eBee_Africa⚡️
@SafeBoda ⚡️
@gozembo ⚡️
#Watu ⚡️
The Future is Now. Driving Uganda into the Future, Silently, Sustainably & Electrically.

Last Seen Hashtags on Sotwe
momson()********************************************
Seen from Germany
نيج_عراقية
mommy
Seen from Turkey
submissivemale
Seen from Turkey
สีชมพูนัดเย็ด
Seen from India
monkeyappfeet
Seen from Greece
디시인사이드
Seen from Korea
露出
Seen from United Arab Emirates
帰町燈
Seen from United States
professoresse #eredita
Seen from Italy
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

































