@nungwipapi Hello Ad the Professor, we understand the importance of RCS for a better messaging experience between iPhone and Android. We’re monitoring the availability and enablement of this service on our network, and official updates will be shared once available.^WC
@RaphaelMheta Pole sana kwa usumbufu unaopitia. Tunaelewa jinsi hali hiyo inavyoweza kukukwaza. Tafadhali tutumie ujumbe binafsi (DM) ukiambatanisha namba yako ya Yas, eneo unalopatikana (mkoa/wilaya), aina ya simu unayotumia, pamoja na muda ambao tatizo hutokea, ili tufuatilie na kukusaidi...
@RaphaelMheta Raphael Mheta, pole kwa changamoto hiyo tafadhali tufahamishe namba yako yenye chagamoto kwenye DM yetu au kupitia namba yetu ya whatsapp ya 0714100100 kwa msaada zaidi.
@MosesKwindi Habari Moses Kwindi, pole kwa changamoto uliyoipata. Tunapenda kukufahamisha kuwa kulikuwa na changamoto ya mtandao usiku wa leo, lakini kwa sasa huduma zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunakushukuru kwa uvumilivu wako. Asante.
@karmongo_@ClaraFundi , asante kwa kutujulisha. Tunaomba radhi kwa changamoto hiyo, tafadhali tujulishe namba yako ya simu kwa whatsapp 0714100100 kwa msaada zaidi.
@baraghashially Habari AllyGuardiola7, tunaomba radhi kwa changamoto unazopitia. Kwa sasa kuna changamoto ya kimtandao inayoweza kuathiri baadhi ya huduma zetu, na timu yetu inaendelea kufanya maboresho ili kurejesha huduma kwa ufanisi. Tunaomba uendelee kujaribu huduma baada ya muda.
@jimymassimo Baba Chi, tunapenda kukufahamisha kuwa YAS App inakuwezesha kuangalia salio, kununua na kusimamia vifurushi, huduma ya kibubu utaipata katika aplikesheni yetu ya mixx by yas, tunakushauri upakue aplikesheni hiyo na ujisajili ili kupata huduma hiyo, pia unaweza kutufahamisha n...
@jimymassimo Baba Chi, tunapenda kukufahamisha kuwa huduma hiyo ipo na inafanya kazi, tafadhali tufahamishe namba ya simu yenye changamoto kwa msada zaidi.
@Abdulkarimmanzj Hello Abdulkarim Manzi, sorry for the challenge you encountered. We would like to inform you that you are our valued customer. We kindly request that you inform us of your challenge on our dm or our whatsapp number 0714100100 so that we can provide you with further assistance.
@ndulele_nyeusi@Eggle_Vuvu@CRDBBankPlc Habari Synocial, tunaomba tufahamishe changamoto uliyopata kwenye ukarasa wetu wa whatsapp kwa msaada zaidi, na namba yetu ni 0714100100.