@Dr_Thadeus_09 Naheshimu maoni yako. Lakini bila kuiona Tanzania Commercial Bank (TCB), awali ikiitwa TPBโฆ naona unadhulumu nafsi za wateja wao. TCB wana huduma bora sana kwa sasa.
@fbuyobe Mnazidi kutuletea shida ya foleni Kurasini na Mandela road yote.
Yards, ICDs ni kaa la moto kwetu sisi wakazi wa maeneo haya.
Anyways, kazi njema bro ๐
@1960Remija Remija kwa Shalulile BIG NOO.
Umemuona miaka hii miwili akicheza?
Hachezi sio kwasababu Sundowns walipata mzuri zaidi yake, la hasha. Ni kiwango chake kimefifia,
Andy Boyeli was better.
@George_Ambangil As for me, I neither support nor mock Man United. I respect them as a huge Football club.
Siwashabikii wala siwabezi. Nawaheshimu kama moja ya timu kubwa.
*Hatimaye Mama na Mwana kurejea salama nchini Tanzania Ijumaa tarehe 24.07.2026.*
Tarehe 27.02.2026 Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ulitoa Tangazo la kuwatafuta Ndugu au Wazazi wa Mtoto LEAH SAMWEL ROBISON. Hatimaye Mama Mzazi wa Mtoto huyo Bi. ANNA JOSEPH MKASA amepatikana nchini Afrika Kusini akiwa salama. Mama huyo na Mwanaye watasafiri kurejea nchini Tanzania kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) siku ya Ijumaa tarehe 24.07.2026.
Ubalozi unawatakia Mama huyo na Mwanaye safari njema, maisha mema na marefu pamoja. Aidha, Ubalozi unatoa shukran nyingi kwa Nabii Sanga wa Kanisa la POWER OF GOD FAMILY MINISTRY la nchini Tanzania kwa kufadhili Tiketi zao na za Watanzania wengine 83 waliopo nchini Afrika Kusini (Jumla Tiketi 85), ambao kwa pamoja watasafiri siku hiyo.
22.07.2026
@YasTanzania_ kuna product inaitwa kibubu ktk huduma zenu, ilikuwa nzuri sana.
Kwa sasa haipo? au pengine ni kwangu tu!? Kama imesitishwa, je? Salio limepekekwa wapi?