Top Tweets for #WeCreateTheBuzz
Viewers in #Africa having the chance to enjoy #MyWifeRules ๐บ
Husbands, in the kitchen, totally stressed not only because they're holding a ladle for the first time, but also their chefs who're guiding them from the living rooms ๐ฏ
#GlobalAgency #WeCreateTheBuzz

Pero que elegancia por favoooor ๐ฅ
#AnotherLove #MonteCarlo
#HandeErรงel #BurakDeniz #WeCreateTheBuzz
#AnotherLoveMIPCOM

Party warming up ๐ฅ
Stay tuned folks ...
#AnotherLove #MonteCarlo
#HandeErรงel #BurakDeniz
#GlobalAgency #WeCreateTheBuzz

Leo ni siku ya mfanano wa kuzaliwa kwa Rapa @MwanaFA, ambaye ni Mbunge wa Muheza na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Ungana nasi kumtakia kila la heri huku ukituambia, ni ngoma gani unayoikubali zaidi kutoka kwake?
#azamtvburudani #wecreatethebuzz #mwanafa

Usikose kutazama kipindi cha #Mkanda kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzmTWO kwenye kisimbuzi chako bora na pendwa cha #AzamTV, leo itachambuliwa filamu ya 'Sudden Death' ya mkali wa wakali Jean-Claude Van Damme.
#azamtvburudankwawote #wecreatethebuzz
Mnamo mwezi Machi mwaka jana, Marioo alikaririwa akiweka wazi kwamba anafanya remix ya 'hit' yake Mi Amore akimshirikisha #Davido, japo bado inasubiriwa...๐
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz

Mara ya mwisho #Badgalriri kuachia wimbo ilikuwa mwaka 2016 ambapo alitoa albamu yake ya #Anti iliyofanya vizuri katika chati na mauzo mbalimbali ya muziki duniani.
Uko tayari kwa mzigo huu mpya?
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz

Albamu hiyo imepewa jina la 'Made For Us' na itakuwa albamu ya tatu baada ya 'Afro East' ya mwaka 2020 pamoja na 'High School' ya mwaka jana (2021).
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz

Mwanamuziki wa Rap na Pop, #DojaCat anatimiza umri wa miaka 27 leo, ikiwa ni siku yake ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake...eemh tutajie ngoma kali unayoikubali kutoka kwa mkali huyu wa Marekani. ๐
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz

Filamu ya 'Shikamoo Mzee' iliwakutanisha waigizaji mahiri nchini akiwemo mwandaaji wa filamu hiyo JB, Shamsa Ford pamoja na Marehemu Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto.
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz
End your week at the #TheMagazine Show setting with spectacular entertainment and quality vibes that you do not want to miss from Tiny Bambi, Daniel Laizer and of course the one and only #IsabelAfro ๐
Catch every moment only at #AzamONE channel 101 on #AzamTV
#WeCreateTheBuzz
Fuata ukurasa wetu maalum kwa ajili ya taarifa zote za burudani ndani na nje ya nchi kupitia Instagram https://t.co/oLkcSzuFgX ili uwe wa kwanza kujua yanayojiri kwenye muziki, filamu, tamthilia, mitindo ya maisha na mengineyo mengi ya kukupa tabasamu.
#WeCreateTheBuzz

LEO USIKU KWENYE NDANI YA BOKSI: Tuko na Handan pamoja na Jihan wa #TheRevenge wakali wa kunakilisha sauti kutoka #AzamTV, wamefafanua mengi zaidi kuhusu uhusika wao kwenye tamthilia hiyo.
Usikose Jumapili hii saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz
Cheed na Killy walijiunga na Konde Gang mnamo mwezi Septemba mwaka 2020 na kwa pamoja wamefanikiwa kuachia EP moja kila mmoja (Endless Love ya Cheed na Green Light yake Killy)
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz
Tangazo hilo linakuja ikiwa leo, lebo hiyo inatimiza miaka minne tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 2018.
Nini maoni yako kufuatia taarifa hizi za wakali hao wa #BongoFleva?
#AzamTVUpdates #WeCreateTheBuzz #AzamTV

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mtangazaji kinara wa Habari kutoka #AzamTV @IvonaKamuntu, ungana nasi kumtakia kila la heri akiwa anaongeza mwaka mwingine kwenye kibubu chake umri. ๐
#AzamTVUpdates #AzamTVBurudani #AzamNews #WeCreateTheBuzz

Shangwe la Waziri @Nnauye_Nape baada ya Tanzania kushinda kinyang'anyiro cha kumpata Mjumbe wa Baraza Kuu la Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU).
Unampa alama ngapi Waziri Nape, fundi wa burudani ๐ฅ๐
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz
Usikose kutazama #Dibaji leo kuanzia saa 1:00 usiku kupitia #UTV chaneli namba 108, tunaifungua Oktoba ๐
#AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz
๐บ๐ฌ Fuatilia uzinduzi LIVE muda huu wa tamthilia mpya ya #BETREdemption itakayokuwa ikiruka Jumatatu hadi Alhamisi ndani ya #BETAfricaOriginal kuanzialeo saa 1:00 Usiku kupitia chaneli namba 160 #BET ndani ya #AzamTV
#AzamTV #AzamTVBurudani #WeCreateTheBuzz @BET_Africa @BET
Last Seen Hashtags on Sotwe
snaphack
momson() +filter:native_video
Seen from Japan
monkeyappgirls
Seen from United Kingdom
Edgyverse
Seen from Malaysia
Thundr
Seen from Netherlands
abby #kpopdemonhunters #yaoi
Seen from India
่ไนใใ
Seen from Japan
eksib di
Seen from Indonesia
omegle
Seen from France
omegle since:2026-06-26 filter:videos min_faves:0
Seen from Norway
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




