Top Tweets for #aitz

Introducing our speakers for 5th GenAI Meet-up
Get ready to be wowed! Steven Manangu , a Machine Learning Engineer at PYRSOS AI, unveils a groundbreaking research breakthrough!
His work on audio embeddings promises to impact various fields, like training LLMs
#GenAIMeetup #AITZ




Wanawake wanaofikishwa kileleni wakati wa tendo la ndoa huwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu za mambo mbalimbali kuliko wale wasiofikishwa kileleni na wapenzi wao!
Chanzo:
>NSGF Survey
>Kinsey Institute Research
#AItz

Ulimi hauna mifupa lakini unayo nguvu ya ajabu inayoweza kumjeruhi mtu.Changua maneno ya kuzungumza kwa uangalifu mkubwa!
#Aitz

Tango huwa na utajiri mkubwa sana wa madini ya SILICA.Kama unataka kutunza urembo wa ngozi,kucha na nywele zako hakikisha nyumbani kwako hukosi tunda hili.Litumie mara kwa mara utaona faida zake!
NB
Litumike kama chakula!
#AItz

>Miongoni mwa tabia hatarishi zinazopelekea mwanamme augue UTI ni kubana mkojo kwa muda mrefu.
>Ukiacha tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu kisha ukaongeza unywaji wa maji mengi kila siku,UTI inaweza kubaki historia kwako!
#AItz

Tupo kwenye kipindi cha mvua kubwa,pia tunaelekea msimu wa sikukuu za Christimas na Mwaka mpya.Hiki ni kipindi ambacho homa ya mafua husambaa kwa kasi kubwa sana kuliko vipindi vingine vya mwaka.Sambaza UPENDO,usisambaze MAFUA!
#AItz
Mbegu za bamia huwa na kemikali za GOSSYPOL ambazo tafiti za kisayansi zinaitaja kama kemikali ya uzazi wa mpango kwa wanaume.Hudhoofisha ubora wa mbegu za kiume na tissue za korodani.Hii husababisha kupungua kwa ubora wa afya ya uzazi wa mwanamme
VYANZO
ResearchGate
AJRPS
#AItz

Japan,Taiwan,Indonesia,Korea ya Kusini na Zambia ni miongoni mwa nchi chache duniani zinazotoa likizo ya hedhi kwa wanawake.Mwishoni mwa mwezi October 2019,kampuni ya Shark&Shrimp imeanza pia kutoa likizo hii kwa wanawake nchini Misri.Kuna haja ya Tanzania kuiga mfumo huu?
#AItz

>Limao (ndimu) ni mojawapo ya matunda yanayo shabihiana sana na mazingira ya ndani ya mfumo wa chakula.
>Matumizi ya tunda hili huongeza ubora wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,pia huuongezea mwili uwezo wa kuzitumia vizuri aina mbalimbali za amino acids.
#AItz

Mwezi wa 12 huongoza kwa kusababisha tatizo la moyo linaloitwa HOLIDAY HEART SYNDROME,linalopelekea kubadilika kwa utaratibu wa kawaida wa mapigo ya moyo.Chanzo kikuu ni unywaji wa pombe nyingi.Tuwe makini,tujitahidi likizo na msimu mzima wa sikukuu hizi tuvuke salama!
#AItz

Wanaume wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara huwa na mbegu za kiume zilizo na afya bora kabisa. Maumbo na kasi ya mbegu hizi huwa na ubora wa hali ya juu tofauti na mbegu za wanaume wasioshiriki au wanaoshiriki tendo hili mara chache sana.
Chanzo: VeryWell Family
#Aitz

Kuwakeketa wanawake ni jambo lisilo na faida yoyote kwa afya,ni unyanyasaji wa kiwango cha juu sana dhidi ya wanawake pia kina vunja haki zao za msingi.
Tuendelee kukilaani kitendo hiki,pia tutoe taarifa kwa vyombo vya dola dhidi ya wahusika wanaofanya unyanyasaji huu.
#AItz

Sehemu za siri za mwanamke huhifadhi sukari kwa mfumo wa glycogen,huwa hazina chumvi kama baadhi ya vijana wanavyodai
Pamoja na glycogen,huwa pia na kiasi kidogo sana cha glucose.Sukari hizi kwa ujumla wake haziwezi kuongezwa wala kupunguzwa kupitia vyakula vyenye sukari!
#AItz

Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspandaa filter:videos min_likes:0
Seen from Mexico
stwindo
Seen from United States
여자방귀
Seen from Korea
minichat
Seen from Netherlands
creampie filter:videos
Seen from Peru
minichatt
Seen from United States
สาวลาวคนงาม
Seen from Thailand
anxiouspandaa within_time:2h filter:videos
Seen from United States
문
Seen from United States
vilansty
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers









